Wakuu,
Nimekuwa nikijiuliza sana bila majibu kwamba ni kwanini viongozi (Top Brass) hawavai barakoa za hospitali (surgical masks) badala yake wanavaa ambazo haziwezi kutumika kwenye mazingira ambayo zile za hospitali zinatumika? Zile za kihospitali zina dawa ila hizi zingine zisizo za...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla amewapa miezi mitatu chama cha bodaboda kuhakikisha wanajipanga na kusajili vituo vyao.
Naye mwenyekiti wa bodaboda amesema wameitikia mwito wa Makalla kwa moyo mkunjufu na wanawasiliana na Injinia wa Tarura ili zoezi lianze mara moja.
Lengo ni...
Ni jambo la heshima sana kwa nchi kufikia hatua hii. USALAMA wa CHAKULA ni suala linaloangaziwa duniani kote. Nichukue fursa hii kuipongeza serikali ya JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
KAZI IENDELEE.
=====
Nairobi. African countries are becoming food-secure by lowering food prices, improving...
Jumatatu taarifa ya habari ITV saa mbili usiku ulionekana ukitushawishi wananchi tupate mafunzo kwenye chuo nilichokitaja kinachotoa mafunzo ya uokoaji wa raia majini, pamoja na mafunzo ulitueleza kuwa ada ni nafuu.
Pamoja na ada kuwa nafuu bado ni vizuri utueleze kama sheria za nchi...
Shirika la Kimataifa la Amnesty limesema litafunga Ofisi zake zilizopo Hong Kong Nchini China kutokana na Sheria mpya ya Usalama wa Taifa.
Amnesty ambayo imefanya kazi Jijini humo kwa zaidi ya miaka 40 imesema Sheria hiyo inafanya Mashirika ya Haki za Binadamu yaliyo Hong Kong kushindwa kufanya...
Wale wenzangu Wazee wa Kuweka Mzigo,
Shughuli za Kumkula Kanji zinaendeleaje?
Sasa bana juzi nilikula hela kwenye hii kampuni ya 22 bet nikajaribu kutoa hela imegoma, yaan hela imepungua kwa akaunti lakini kwa mpesa haijafika. Jana nikasema ni swala la mtandao tu labda, nilikua nina balance...
Nilianza kupata ubuyu huu kwenye mjadala wa vijana flani nikashtuka Sana, katika udadisi na kujielimisha kupitia maandiko mbalimbali ya huduma mtandao ( e- services) nikagundua ipo haja yakuikumbusha serikali umuhimu wa kufanya ukaguzi maalumu katika mifumo ya utoaji huduma zinazolipiwa kwa...
Katika Mambo ambayo sijawai kuyakataa katika taifa letu ni juu ya ulinzi wa Rais.
Mwalimu Nyerere alinusulika kupinduliwa zaidi ya Mara tatu kwa sababu ya misimamo yake na uzalendo wake kwa nchi.
Ukitaka ulinzi wako uwe wa kawaida kuwa shamba la Bibi.
Magufuli watu walimlalamikia Sana juu ya...
Mimi nashauri badala ya kuongeza vibao ya 50kms/ kwenye barabara kuu
Tuanze kufikia suluhisho ambalo ni kuweka vivuko vya juu au chini vya waenda kwa miguu
Mfano: Barabara ya Arusha kwenda Dar; kutokea Arusha hadi Same miji inaunganika kwa kasi sana, sasa bila kuanza kufikiria suluhisho...
Ebwana kama upo mkoani unafanya kazi au biashara unapata average income usijaribu kuwaza kuja jijini DAR, kwa sababu huko mkoani usafiri, hali ya hewa, usalama viko vizuri sana.
Kama uko Mbeya, Iringa, tulia usafiri wa mbeya ni rahisi na magari ni mazuri sana, hali ya hewa shwari, nyumba za...
Katika miaka ya hivi karibuni Syria imekuwa ikikabiliwa na vita na harakati kubwa za makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono na Marekani na sehemu ya ardhi ya nchi hiyo ikadhibitiwa na kukaliwa kwa mabavu na magaidi.
Hadi sasa vita hivyo vimesababisha maafa na mauaji ya makumi ya maelfu ya wananchi...
Mkuu wa wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha ,Frank Mwaisumbe amemsimamisha kazi mwenyekiti wa Kijiji cha Engaroji ,Ngarama Mapema Kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo kuhamasisha wananchi kushambulia Kwa mawe msafara wake na kuvunja vioo vya magari likiwemo gari lake la ofisini.
Akitoa ufafanuzi Mbele ya...
Katika miaka ya hivi karibuni mtandao wa Internet umekuwa ni moja ya maeneo yenye maendeleo ya kasi duniani. Kuanzia ujenzi wa miundombinu ya mawasiliano kwa njia ya internet, vifaa vya mawasiliano kwa njia ya internet kama simu na kompyuta, na hata matumizi ya internet, serikali mtandao...
The Taliban wants its envoy to address the annual United Nations General Assembly’s high-level meeting of world leaders this week, a UN spokesman said on Tuesday, raising the question of who should represent Afghanistan in the intergovernmental organisation.
The Taliban, which captured power on...
Hali ya Ugaidi duniani NI Ajenda muhimu kwenye mkutano wa Baraza la ulinzi la umoja wa mataifa.
Naomba Raisi wetu atakapohutubia Baraza Hilo aelezee pia juu ya kundi hatari zaidi la kigaidi Tanzania ambalo bado halijapatiwa jina lenye watu wanne ili dunia ilijue na ikabiliane nao.
Kundi Hilo...
Shirika la Umoja wa Mataifa Linalohudumia Watoto (UNICEF) limesema Watoto Milioni 1 huenda wasiende Shule kutokana na matukio ya utekaji nyara yanayolenga Wanafunzi
Zaidi ya Wanafunzi 1,000 wametekwa nyara na magenge ya uhalifu katika Majimbo kadhaa Nigeria tangu Desemba 2020, huku mamia bado...
Serikali inakusudia kufanya marekebisho kadhaa katika Sheria ya Usalama Barabarani, Sura ya 168. Marekebisho yaliyowasilishwa Bungeni kupitia Mswaada
wa Marekebisho ya Sheria ya makosa ya Barabarani ni pamoja na:-
1. Marekebisho katika Kifungu cha 21, kwa kuweka sharti la lazima kwa mtu yeyote...
Nashauri serikali imfungulie mashtaka Wakili Msomi Tundu LISSU kwa kutoa taarifa za uongo na kusababisha taharuki kuwa Rais ametekwa/amewekwa mateka na Waziri Mkuu ndiye anaongoza nchi.
Hata Kama yupo nje ya nchi anapaswa kuheshimu uhuru wa maoni.
Mara nyingi akihojiwa na vyombo vya habari...
Habari za leo wana Jf.
Hakika ni ijumaa njema yenye baraka.
Hivi karibuni nimefika eneo moja la michezo ya watoto hapa jijini.
Awali lilikuwa limefungwa kwa ajili ya ukarabati kwa sasa wamefungua.
Eneo hilo lilikuwa lina maeneo matatu.
Eneo la kwanza unalipia kuna farasi magari na midoli...
Kuna haja ya kufanya mabadiliko kwenye kitengo cha propaganda cha jeshi la Polisi ili kiendane na hali ya sasa , hawa waliopo hawakiwezi ama wamepwaya mno , Huwezi kudanganya kwa kiwango cha chini kiasi hiki .
Mmezuia Mikutano na Makongamano kwa sababu ya Hatari ya usalama kutokana na kadhia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.