usalama wa taifa

Idara ya Usalama wa Taifa
The Tanzania Intelligence and Security Service (TISS) is the national intelligence and security agency of Tanzania. The Agency works closely with other National and International intelligence agencies and securities organs in the promotion and maintenance of peace, safety and security in and outside Tanzania’s borders.

----

Idara ya usalama wa Taifa (TISS) imeundwa kwa sheria ya bunge namba 15 ya mwaka 1996 (Tanzania Intelligence and Security Service act No. 15 of 1996) iliyosainiwa na Rais Benjamin Mkapa tarehe 20 mwezi Januari mwaka 1997. Sheria hiyo ndio inayoipa mamlaka Idara ya Usalama wa Taifa kufanya kazi zake ndani na nje ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na pia ina ainisha majukumu, mamlaka na mipaka ya idara ya usalama wa Taifa. Kutokana na kuwepo kwa sheria hiyo siyo rahisi kwa idara hiyo kufanya mauaji ya raia wasio kuwa na hatia kwani idara itakuwa inavunja sheria na kukiuka mamlaka iliyopewa na Bunge.

View More On Wikipedia.org | Ifahamu Idara ya Usalama wa Taifa
  1. JamiiForums Tanzania Njia ya Kibiti kwenda kwenye laana ya Cabo Delgado

    𝐓𝐚𝐧𝐳𝐚𝐧𝐢𝐚 𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐠𝐚𝐢𝐝𝐢 𝐲𝐚 𝐀𝐧𝐬𝐚𝐫 𝐚𝐥-𝐬𝐮𝐧𝐧𝐚. - 𝐍𝐣𝐢𝐚 𝐲𝐚 𝐊𝐢𝐛𝐢𝐭𝐢 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐥𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐲𝐚 𝐂𝐚𝐛𝐨 𝐃𝐞𝐥𝐠𝐚𝐝𝐨. - 𝐖𝐚𝐭𝐮 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐨𝐤𝐨𝐭𝐚 𝐦𝐢𝐢𝐥𝐢 𝐧𝐚 𝐯𝐢𝐜𝐡𝐰𝐚 𝐯𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐩𝐞𝐦𝐛𝐞𝐧𝐢. 𝐒𝐄𝐇𝐄𝐌𝐔 𝐘𝐀 𝟬𝟭: Tarehe 20 mwezi huu wa tano, waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga taifa, Dkt. Stergomena Tax analiambia bunge kuwa hali ya usalama katika...
  2. JamiiForums Tanzania SoC04 Jitihada za dharula zielekezwe katika kukuza TEHAMA nchini kwa manufaa ya kiuchumi na usalama wa taifa letu

    TEKNOLOJIA- SILAHA KALI YA ULIMWENGU MAMBOLEO. Ni ukweli usio fichika kwamba karne ya ishirini na moja imeshuhudia mabadiliko makubwa sana katika ukuaji wa teknlojia duniani. Sekta kama viwanda,kilimo na ata sekta za huduma kwa jamii kama hospitali na elimu zimenufaika na mageuzi haya ya...
  3. JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwandishi wa Habari mbaroni kwa kujifanya afisa Usalama wa Taifa

    Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Songwe, Augustino Senga amesema wanamshikilia mwandishi wa habari (41) (ambaye jina lake limehifadhiwa) kwa kosa la kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu, akijitambulisha kuwa ofisa usalama wa Taifa. Kamanda Senga ameyasema hayo leo Jumapili Mei 05, 2024...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Ipo haja Baraza la Usalama wa Taifa kutafakari

    Taifa letu linaelekea kwenye uchaguzi hapo mwakani. Ni rai yangu kwa bataza la usalama wa Taifa kutafakari kwa kina kuanzia mchakato mzima wa uchaguzi utakavyokuwa mpaka kupata matokeo. Vipo viashiria ipo haja kwa maamuzi magumu kufanyika pasipo kuangalia sura au jinsia ya mtu au umaarufu wake...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali iongeze umakini zaidi kwenye Idara ya Ujasusi

    Napenda kutoa tahadhari kwa idara ya ujasusi ya Tanzania kuongeza umakini juu ya ulinzi na usalama wa viongozi, uchumi, siasa na ulinzi wa RAIA. Kuna vikundi Vingi vya kijasusi kutoka nje vinaingia sana nchini kwa ajenda ambazo hazina mashiko hata kidogo na watu hawa uwa wanaenda kwenye sehemu...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Waliouza madafu kwenye futari ya Ikulu wahojiwa, mmoja ni mwanafunzi wa Chuo cha NIT. Ni wauza madafu kweli?

    Juzi Rais alialika wasanii (chawa?) wakajumuike nae Ikulu kwa ajili ya kupata futari ya mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao ndio ilikua chungu cha kwanza, jambo jema! Baada ya hapo taharuki kuu imejitokeza baada ya picha ya Rais Samia akikatiza mbele ya wauza madafu wawili ambao walikua wamesimama...
  7. JamiiForums Tanzania Je hili la Tanesco si Shambulio la Kimtandao kwa Nchi? Cyber Attack? Usalama wa Taifa hili jukumu lenu

    Haya mambo watu walikuwa wanadhani ni kwenye movie tu mnaweza jikuta nchi nzima mpo gizani watu washafanya yao. Nchi kama hizi huwa tunajisahau sana. Haya mashambulizi katika hii karne yanakuwepo sana. Sasa sijui ni Chadema wamehusika au sijui wapinzani gani . Ila watafutwe. Leo toka asubuhi...
  8. JamiiForums Tanzania Ukimya na Usiri wangu unanifanya nionekane Usalama wa Taifa

    Iko hivi 1. Mimi sinywi pombe, sigara wala siendi club hivyo sina sababu ya kwenda sehemu za starehe kama bar. 2. Sina ushabiki wa mpira, hivyo sina sababu ya kujichanganya kwenye stori za mpira au mabanda ya mpira. 3. Sina account ya mitando ya kijamii kama instagram, Facebook au Twitter, nk...
  9. JamiiForums Tanzania Zitto: Wanachama ACT Wazalendo wanataka kubadili katiba ya chama ili niendelee kuongoza. Nimewaambia naheshimu katiba

    "Sisi katiba yetu ipo wazi ina vipindi viwili na mimi ni muumini wa katiba na ukatiba kwahiyo nimeamua kuheshimu katiba, kumekuwa na shinikizo ndani ya chama kuwa tubadilishe katiba ili uweze kuendelea nimekataa kwasababu nisipo heshimu katiba naweka precedent mbaya kwa watu wengine watakao kuja...
  10. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mshauri wa Usalama wa Taifa wa Obama, Stuart Seldowitz anaonesha ubaguzi wa wazi kwa Wapestina

    Wanaukumbi. Islamophobia and blatant discrimination is widespread in many Western countries. This is supposedly a video of Stuart Seldowitz, a former advisor to President Obama threatening a food vendor. This systematic prejudice against Muslims is sadly found on both sides of the aisle...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi idara ya usalama wa taifa wa Tanzania inahusika na kila kitu hadi uuzaji wa nyanya na vitunguu magengeni?

    Siyo mjuzi sana wa habari za idara ya usalama wa taifa, Tanzania. Lakini katika pitapita zangu humu JF, nimekutana na mada kadhaa zilizonishangaza kidogo. Mtu akienda dukani akikuta bidhaa ambayo haipendi, lawama anabebeshwa usalama wa taifa. Msanii Diamond umaarufu wake ukianza kupungua...
  12. JamiiForums Tanzania Simulizi: Kisa na Mkasa wa Mauaji ya Jenerali Imran Kombe (Mkurugenzi Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa-TISS)

    Ni mauaji yaliyogubikwa na simulizi na hisia tofauti juu ya nini hasa kiini cha mauaji ya mkurugenzi mkuu wa zamani wa Idara ya Usalama wa Taifa nchini (TISS), Luteni Jenerali Imran Kombe aliyeuawa kwa kupigwa risasi Juni 30 mwaka 1996. Kumekuwepo na nadharia ya ulaji njama (conspiracy theory)...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali wapeni nguvu Usalama wa Taifa wazuie uovu NIDA na wimbi la wahamiaji haramu

    Nchi hii hasa serikali na mamlaka zake Mungu anawaona, naandika nikiwa na hasira sio NIDA wala Uhamiaji, au Polisi kote kumeoza. Wahamiaji haramu wametapakaa sio kwenye bar, shambani, kwa house girls, vibarua wa kufuga mbuzi, nguruwe, kuku ambao wako nchini kwenye maeneo mbalimbali wasio na...
  14. JamiiForums Tanzania Agenda ya Mohamed Said ina ukakasi

    Huyu mzee wangu wa gerezani aangaliwe vizuri. Nakubali ni msomi mzuri hapa nchini, nakubali ana busara ila anatumia akili zake kucheza na akili za watu. Sijawahi kusikia popote duniani mtu anajiita mwana historia kwa kubobea kwenye kata moja tu. Mohamed Said anajiita mwanahistoria lakini...
  15. JamiiForums Tanzania Kama Hamas wameweza Comfortably kujipenyeza Israel yenye Usalama wa Taifa Bora, vipi nchi zingine Afrika zinazojisifu kuwa na Usalama wa Taifa tishio?

    Ngoja sasa GENTAMYCINE nijiandae kwenda zangu Site Mapinga kujenga Nyumba za Watu ( nikiwa kama Saidia Fundi ) nikipitia njia niipendayo ya Boko Magengeni kisha naingia nayo kuelekea Mbweni Malindi kupitia Chuo cha Mafunzo Yasiyojulikana nivuke Mto Mpiji na nikatize Kiaraka kilipo Chuo cha...
  16. JamiiForums Tanzania Jengo la Usalama wa Taifa Urusi lapigwa bomu na drone ya Ukraine

    Dah! Sasa ikiwa usalama wa taifa (FSB) hawapo salama nani mwingine yuko salama....kama mashairi vile ==== A Ukrainian drone hit an FSB building in the city centre of Kursk, Russia, on the morning of 24 September, a source from Ukraine’s Defence Intelligence claims. Source: source of Ukrainska...
  17. JamiiForums Tanzania Je, Rais kavunja Sheria ya Usalama wa Taifa ya mwaka 2023 kwa kumteua aliyekuwa Mkurugenzi wa Usalama kuwa Balozi?

    Nawasalimu Kwa jina la JMT...🇹🇿 Jana katika pita pita zangu nilikutana na Taarifa kutoka ikulu ikisema kuwa Rais amemteua Bw Hussein Massoro Kuwa balozi na kumuweka Balozi Ali Idi Siwa kuwa DG mpya TISS. (kongole kwake). Japo jambo hilo lilizua mijadala mingi ikiwemo uwepo wa Tengua tengua Ya...
  18. JamiiForums Tanzania Nini Siri ya Rais Samia "Kumtumbua Boss" Usalama wa Taifa?

    Leo Rais Samia ametumbua aliyekuwa Boss wa TISS (Usalama wa Taifa), Bw. Said Hussein Massoro ambaye ameteuliwa kuwa Balozi na kumeteua Boss Mpya Balozi Ali Idi Siwa Wanajamavi, watu wenye connection, wajuzi wa mambo, tuambiane nini chanzo cha Massoro kuliwa kichwa mapema hivi? Soma: - Rais...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia amteua Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

    Rais wa Jamburi ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa. Balozi Siwa ameapishwa leo tarehe 28 Agosti, 2023 Ikulu jijini Dar es Salaam na anachukua nafasi ya Bw. Said Hussein Massoro ambaye ameteuliwa kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Usalama wa taifa wamshauri Putin kumfuta kazi waziri wa ulinzi maana aibu imepitiliza

    Wanashangaa kwanini bado yupo ilhali taifa linapitia aibu yote hii na mateso mengi tu....wanajeshi wanauawa kama senene kule kwenye uwanja wa mapambano huku drones za Ukraine zinajipigia popote ndani ya Urusi ikiwemo hata ikulu. Some in Russia's intelligence services are calling on dictator...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…