The Tanzania Intelligence and Security Service (TISS) is the national intelligence and security agency of Tanzania. The Agency works closely with other National and International intelligence agencies and securities organs in the promotion and maintenance of peace, safety and security in and outside Tanzania’s borders.
----
Idara ya usalama wa Taifa (TISS) imeundwa kwa sheria ya bunge namba 15 ya mwaka 1996 (Tanzania Intelligence and Security Service act No. 15 of 1996) iliyosainiwa na Rais Benjamin Mkapa tarehe 20 mwezi Januari mwaka 1997. Sheria hiyo ndio inayoipa mamlaka Idara ya Usalama wa Taifa kufanya kazi zake ndani na nje ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na pia ina ainisha majukumu, mamlaka na mipaka ya idara ya usalama wa Taifa. Kutokana na kuwepo kwa sheria hiyo siyo rahisi kwa idara hiyo kufanya mauaji ya raia wasio kuwa na hatia kwani idara itakuwa inavunja sheria na kukiuka mamlaka iliyopewa na Bunge.
https://youtu.be/63sXH3357rs?si=3ImWk0_uC_FVkAcf
Tunafukua makaburi:
Hapo ni Bashe alipokuwa bado mbunge tu, back bencher hajalambishwa asali ya uwaziri. Baada ya hapo, aliteuliwa kuwa Waziri na kisha naye akajiunga na watekaji🤔🤔🤔 halafu kimyaaaa mpaka Leo...
Alilia na kuwa na hofu baada ya...
BAKWATA ilianzishwa mwaka 1968 kama chombo Cha kuleta mshikamano kwa Waislamu na uislam,Lakini Tukiangaza historia kwa umakini Utagundua kua Bakwata Ni chombo kilichoundwa na usalama wa Taifa,sio kwa ajili ya waislamu,kwajili ya serikali..
Swali:Bakwata ilianzishwa kwa kusudi gani??
Mapinduzi...
"Matukio haya kwa Pattern yake pamoja na kuwa mzigo wote unaliendea jeshi la polisi kwa sababu jeshi la polisi na vyombo vyake ndilo ambalo lilikuwa mstari wa mbele siku ya jana kwenye kamatakamata kwenye vipigo, kwenye matukio yote. Lakini ukiyatazama kiundani matukio ya jana kivyovyote vile...
Jaribio lolote la kutomfikisha Mahakamani Antipas Tundu Lissu Mughwai tarehe 24 Aprili 2025 litakutana na upinzani mkali wa kisheria. Tunaamini kuwa wale walio na dhamana hawatajishughulisha na mipango ya kipuuzi ya aina hiyo.
Tunataka Antipas Tundu Lissu Mughwai ashtakiwe hadharani kabisa...
Swali huwa najiuliza toka Miaka mingi Hivi Usalama wa Taifa huwa wanasoma Comment za watu Katika Mitandao ya kijamii, kuhusu comment za Raia wanavyouona Uchaguzi ktk Nchi ya Tanzania.
Je Wao kama Usalama wa Taifa wanaona Nini kimo ndani ya miyoyo na uelewa wa Tanzania.
Jeshi la Polisi Tanzania kupitia Msemaji wake, Limetoa taarifa kwa umma likiwasihi wananchi wake kuendelea kufanya shughuli zao kwa amani utulivu huku likiwahakikishia kwamba nchi ipo salama.
Aidha katika taarifa hiyo hiyo jeshi limeutaarfu umma kwamba bado linashirikiana na vyombo vingine vya...
Kuna namna unaishi inapelekea wale wajomba wanaokaa vijiweni na kwenye gahawa wanaanza kukujadili hadi kuja na conclusion kuwa wewe ni usalama wa taifa kumbe kijana wa watu hata bastola haujai kuiona live.
Unashangaa hata mtaani watu wanakuchukulia tofauti sana na hata ukienda mahala watu...
Rais Samia amebadilisha uelekeo wa soka letu kwa kutia juhudi binafsi kusuma michezo Tanzania. Hakuna asiyefahamu kuwa watu wa taifa letu wamegawanyika kwenye ushabiki wa simba na yanga kwa mamilioni.
Mtu kuahirisha mechi ya simba na yanga bila shaka anadhamiria yatokee mambo mabaya sana kwa...
Idara ya Usalama na Idara ya Uhamiaji ili upate Ajira lazima awepo mtu Mwenye Uhusiano na wew wowote kwa Sababu kulinda kuzuia Mamluki Tofauuti na Idara na majeshi Mengine
JWTZ
Najua mnafahamu kuwa endapo lolote likitokea Uganda hata leo, Rais anayefuata wa Uganda ni Generali kichaa Muhoozi Kainerugaba.
Najua mnafaham kuwa Muhoozi na Mjomba wake Kagame wanaamini sana kwenye theory ya Expansionism! Kwa Kagame na Muhoozi maeneo ya Afrika Mashariki yanapaswa kuwa...
Wakuu,
Mkazi wa Kijiji cha Busekela wilayani Musoma Mkoa wa Mara, Helment Turutumbi (45) hajulikani alipo baada kuchukuliwa na watu wasiojulikana ambao walifika kijijini hapo na kujitambulisha kama usalama wa taifa kutoka Dodoma.
Turutumbi ambaye ni mvuvi na mfanyabiashara wa dagaa katika...
1. Imagine usalama wa taifa wanalinda taifa linaloonekana lenye ardhi na roho za watu alizoziumba Mungu.
2. Dini kwa maana ya mashehe mapadri na wachungaji wanalinda roho Imani upepo visivyoonekana na vitu ambavyo havipo ni Imani tu kwamba vipo ila havipo.
3. Taifa likichafuka lawama ni kwa...
Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dar Es Salaam Hussein Egobano amewataka vijana wa umoja huo kufanya kazi ya kukijenga chama na kuacha kujiingiza kwenye kile alichokiita harakati za CCM.
Akizungumza leo Februari 01, 2025 katika Kongamano Maalum la Vijana Kuelekea...
Kocha mkuu side mnyamwezi ameushauri uongozi wa klabu ya gongowazi kuhamia south huko atapambana na timu ngumu kama mamelodi ,kaizer chief,Gallaxy na nyinginezo.....hivyo akipangwa tena makundi anapita moja kwa moja maana ligi ya NBC ni dhaifu yanga haiwezi kucheza robo kama itabaki ligi ya...
Naomba kujua hivi hawa mnaowaita sijui right handman / woman wa Marais duniani huwa wanakuwa 100% well Vetted na Idara za Usalama wa Taifa za nchi?
Nitashukuru sana nikijibiwa na hata Kuelemishwa juu ya hili kwani nimeona Hatari fulani mahala fulani na naogopa.
Wakuu salam.
Kwa wafuatiliaji wa siasa za Tanzania toka zilivyoanza kuchangamka 1995 mtakubaliana na mimi kuwa Dr. Slaa ni mmoja wa wanasiasa "Contraversial" na mwenye ushawishi kwa muda mrefu, takribani Miongo mitatu sasa.
Ni Dr. Slaa huyu huyu aliewahi kuhoji na kufanya Jack Zoka Naibu Mkuu...
Je, kwa ambaye anajua atuambie kama usalama wa taifa unaiba kura na kuharibu na kuhonga wapinzani hata kuwateka watu ina manufaa gani kwa taifa?
Je, hawa usalama wa taifa wanaofanya hivi je ni wazalendo?
Je, wewe unaye nyamazia haya kwasababu tu ya ushabiki wa vyama, maslahi binafsi au...
Wakuu,
Kama mmeona sasa hivi karibu kila siku Lugumi yuko kwenye media, mara katoa msaada kwa watoto yatima, mara anajengea yatima nyumba, mara kaalika watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu kufanya dua, mara sijui kaenda kulisha wapi, yaani ni heka heka mtindo mmoja.
Na Millard kama kawa...
Kuna viongozi wengi sana ambao ni usalama wa taifa. Mmoja ambaye nina uhakika naye kwa 💯 ni Professor Mkumbo ambaye ni waziri kwa sasa. Miaka yote hata kabla ya kuingia Chadema alikuwa usalama wa taifa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.