The Tanzania Intelligence and Security Service (TISS) is the national intelligence and security agency of Tanzania. The Agency works closely with other National and International intelligence agencies and securities organs in the promotion and maintenance of peace, safety and security in and outside Tanzania’s borders.
----
Idara ya usalama wa Taifa (TISS) imeundwa kwa sheria ya bunge namba 15 ya mwaka 1996 (Tanzania Intelligence and Security Service act No. 15 of 1996) iliyosainiwa na Rais Benjamin Mkapa tarehe 20 mwezi Januari mwaka 1997. Sheria hiyo ndio inayoipa mamlaka Idara ya Usalama wa Taifa kufanya kazi zake ndani na nje ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na pia ina ainisha majukumu, mamlaka na mipaka ya idara ya usalama wa Taifa. Kutokana na kuwepo kwa sheria hiyo siyo rahisi kwa idara hiyo kufanya mauaji ya raia wasio kuwa na hatia kwani idara itakuwa inavunja sheria na kukiuka mamlaka iliyopewa na Bunge.
Wachokoza Mada hasa za Kiserikali na Matukio Nyeti hasa yaliyobeba Hisia za Watu.
Watu ambao huwa hawakosekani Vijiweni 24/7 ila huwa wakimya tu na hawachangii lolote.
Watu ambao hupenda mno Kuchambua mambo mbalimbali ya ndani na nje ya nchi Kiufasaha.
Watu ambao wakiondoka hapo Vijiweni huwa...
Dong Samuel Luak na Aggrey Idri walitoweka January 2017
Marekani imewawekea vikwazo maafisa watano wa ngazi za juu za Usalama wa Taifa wa South Sudan, NSS, kwa kuhusishwa na utekaji na mauaji ya wakosoaji wawili wa serikali ya Rais Salva Kiir miaka mitatu iliyopita.
South Sudan imekuwa ikikana...
Wana JamiiForums "msema kweli ni mpenzi ni mpenzi wa Mungu", hapo awali kabla sijawa karibu na Taasisi hii TISS nilijua na kuamini kuwa TISS ni washauri wa mambo ya kitaifa kwa maslahi ya Taifa na sio kwa maslahi ya CCM au kikundi cha watu fulani.
Niseme ukweli, nimeumia kujua kuwa wamekuwa...
Ndege maalumu ya siri ilokaa angani kwa miaka 2 imetua Leo mjini Florida baada ya kukamilisha operation zake kukagua usalama wa USA dhidi ya Wabaya wake
Inasemekana ni ndege pekee ambayo Ina uwezo wa kufanya orbital recording in long range,
Target ni IS na Russia
Britannica
ANGALIZO
Naomba kama unajijua kabisa kuwa uwezo wako wa kuona vitu vya umbali / unyeti / umuhimu wake basi katika huu ' Uzi ' kaa nao mbali kabisa na waachie wenye ' akili ' zao na ' Wachambuzi ' wa masuala haya ya Kijasusi ambao wapo ( tunao ) wengi humu na Sisi Mangumbaru na Mapopoma wengine...
Ukiangalia majukumu yao ya jumla ya utendaji wao wa kila siku binafsi naona Afisa Usalama wa Wilaya anafit zaidi kuwa Mwenyekiti wa kamati ya usalama ya Wilaya ukilinganisha na Mkuu wa Wilaya kama ilivyo sasa.
Mkuu wa Wilaya yuko kisiasa zaidi na mambo ya usalama yamejikita zaidi kwenye weledi...
Mbunge wa Nzega Mjini Hussein Bashe, ameomba mwongozo kuahirishwa kwa Bunge ili kutoa nafasi ya Wabunge wote kujadili matukio ya utekaji watu yanayoendelea.
https://www.instagram.com/reel/DKMTCIwtj3l/
Akiomba Mwongozo kwa Naibu Spika, Hussein Bashe amedai kuwa amefahamishwa na baadhi ya...
MARA baada ya kutangazwa kwa uteuzi wa Dk. Modestus Francis Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania (TISS) wiki iliyopita, kama ilivyo ada, baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii vilianza kujadili uteuzi huo.
Baadhi ya magazeti yaliandika kwamba uteuzi...
RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AMUAPISHA MKURUGENZI MKUU MPYA WA IDARA YA USALAMA WA TAIFA
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.John Pombe magufuli akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt Modestus Francis Kipilimba akila kiapo cha maadili ya viongozi wa Umma Ikulu jijini Dar es salaam...
Rais Magufuli amewateua Dkt. Modestus Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu, Robert Msalika Naibu Mkurugenzi Idara ya Usalama wa Taifa.
- Anaapaishwa leo mchana.
Alikuwa anafanya kazi NIDA kama Mkurugenzi mkuu.
Idara ya Usalama wa Taifa (Tanzania Intelligence and Security Service) ndiyo idara maarufu na inayoogopwa sana na wananchi walio wengi. Kutokana na kutoifahamu vizuri idara hii, wananchi wengi wanaichukia na kuiogopa kwa kudhani kuwa hii ndiyo idara inayotumika katika kuwaua na kuwatesa watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.