Tangazo la Huduma za usafi

Tangazo la Huduma za usafi

Amicable Group

Senior Member
Joined
May 13, 2015
Posts
179
Reaction score
133
TANGAZO LA HUDUMA ZA USAFI

Amicable Group Holdings Limited ni kampuni inayotoa huduma za usafi wa viwango vya juu kwa watu binafsi, taasisi, makampuni, ofisi, shule, mabweni, hospitali, viwanda na maeneo mbalimbali ya biashara.

Tunapokea kazi za:
✔️ Usafi wa ofisi, nyumba, shule, vyuo na mabweni
✔️ Usafi wa hospitali, zahanati, hoteli, apartments na guest houses
✔️ Usafi wa maduka, malls, maghala na viwanda
✔️ Usafi wa kina (Deep Cleaning) wa nyumba, ofisi na majengo mbalimbali
✔️ Usafi baada ya ujenzi, kabla au baada ya kuhama
✔️ Kusafisha sakafu, tiles, marble, granite pamoja na floor polishing na scrubbing
✔️ Usafi wa madirisha, vioo vya majengo na kuta
✔️ Usafi wa mazingira, ukusanyaji na usimamizi wa taka
✔️ Fumigation, disinfection na sanitization services
✔️ Kusafisha vyoo, mifumo ya maji, septic tanks na drains
✔️ Usafi kabla na baada ya matukio pamoja na huduma za wahudumu wa usafi wa kudumu (janitorial services)

Tunazingatia ubora, uaminifu, usafi wa viwango vya juu na kuridhika kwa mteja.

Jina la Kampuni: Amicable Group Holdings Limited
Simu: 0753786858
Email: admin@amicablebusiness.com
Mahali: Dar es Salaam, Tanzania

Kwa maelezo zaidi tembelea: Amicable Group Holdings Limited | Professional Services Tanzania
 

Attachments

  • VID_1779210308680.mp4
    22.1 MB

Similar Discussions

Back
Top Bottom