Raha ya Sex ni usafi

Raha ya Sex ni usafi

Wakuu habari zenu?

Nashindwa kufurahia mapenzi siku hizi , sijui niseme sina bahati. Nimetongoza mademu zaidi ya watatu, lakini wote wakati WA mechi hutoa harufu mbaya

Kwa sasa nimeamua kuwa Single.
Ulipaswa kumchagua mmoja na kumfundisha dhana ya usafi kwa wanawake
Hata hivyo am sure umekutana na vibinti ambavyo bado havijajua kujisafisha na kujiweka safi
 
Back
Top Bottom