uraia pacha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ileje

    JamiiForums Tanzania Bongo Zozo ana hoja kuhusu uraia pacha kwa Watanzania

    Kulingana na hoja za Bongo Zozo raia wa Tanzania waliopo ughaibuni wananyimwa fursa ya kuendeleza nchi yao. Aidha Tanzania inakosa fursa ya kupata huduma kutoka kwao Tuna Jambo la kujadili ili tupate muafaka!
  2. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Ni nini faida za kuwa na Uraia Pacha?

    Habari za wakati huu, Kumekuwa na kelele nyingi sana kuhusu Uraia Pacha kwa Watanzania na watu wengine ambao wanahitaji kuwa na Uraia Pacha. Hili ni swala ambalo linahitaji mjadala wa kina, lakini je, ni zipi faida za Uraia Pacha? Mimi leo nataka nizungumzie zaidi faida za Kiuchumi...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Endapo Salum Kikeke atateuliwa na Rais, Diaspora tutaanza kuona njia ya Uraia Pacha ikifunguka

    Alianza Charles Hilary , akafuata Zuhura Yunusu na Sasa Salim Kikeke. Sina hoja Kwa Charles na Zuhura Kwa Sababu walikuwa raia WA Tanzania na awakuwahi kupata uraia huku ughaibuni. Kwa Salim Kikeke inazaliwa hoja ya uraia, hoja hii inakwenda kuathiri utaratibu mzima WA uteuzi kwenye secta ya...
  4. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Sababu gani zinafanya Taifa letu lisiwe na Uraia Pacha?

    Kwa wenye uelewa kuhusu uraia pacha naomba ufafanuzi kidogo. Maana Tanzania uraia pacha hatuna hii imekaaje, au ndo maana tunafeli kisoka? Maana baadhi ya nchi yenye uraia pacha kwenye soka zinatamba mfano Morroco.
  5. Logikos

    JamiiForums Tanzania Uraia Pacha na Uraia wa Pili (Dual and Second Citizenship)

    Tofauti kati ya Dual na Second Citizen Mtu anaweza kuwa na uraia wa nchi tofauti mbili (dual au Second Citizen) au hata zaidi ya hapo kama nchi ambazo ana uraia zinaruhusu mtu kuwa na uraia zaidi ya nchi moja. Uraia Pacha: Muhusika anatambuliwa na nchi zote mbili, analipa Kodi na hata kufanya...
  6. Capo_di_Tutti_Capi

    JamiiForums Tanzania Kesi ya uraia pacha kuanza kusikilizwa Mei 2

    Kitaifa Kesi ya uraia pacha kuanza kusikilizwa Mei 2 Jumanne, Februari 21, 2023 Wadau wa suala la uraia pacha wakitoka mahakamani, kusikiliza kesi ya uraia pacha iliyofunguliwa na Watanzania Sita wanaoshi nje ya chini, iliyofunguliwa Mahakama Kuu Masjala Kuu, Dar es Salaam. By James Magai...
  7. R

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ni kweli hawa wote ni raia wa Tanzania au wamejipatia pasipoti za Tanzania kimakosa?

    Tanzania hakuna uraia wa nchi mbili lakini naona kama wageni wanaomiliki Pasipoti za Tanzania na za mataifa mengine wamekuwa wengi Sana. Sikukuu za mwisho wa mwaka nilikuwa South kwa mwaliko wa familia Kula bata kidogo, katika moja ya hafla mwenyeji wangu alinikutanisha na rafiki zake ambao...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Uraia pacha

    Kumekuwa na malalamiko kadhaa nchini kuh uraia pacha. Kuna wanaotaka Tanzania iruhusu uraia pacha na wengine wanataka tuendelee na uraia huu single. Aidha wapo wanaotaka wale waliokana uraia wa Tanzania na kupata uraia wa nchi zingine basi wapewe hadhi maalum ili wapate zile haki ambazo...
  9. Abuu Abdurahman

    JamiiForums Tanzania Tanzania bila uraia pacha mnaibiwa wazi wazi

    Ameandika: Bongo Zozo Hongera sana @bernardk17 na wala sikulaumu. Hakuna angekataa fursa hiyo. ILA: @taifastars_ imepoteza bonge la mchezaji. Huyo jamaa anacheza kinoma yaani. Na hawezi kuchezea timu ya 🇹🇿 tena. ISIPOKUWA URAIA PACHA. Tanzania ilivyocheza na Benin mwaka uliopita, uwanjani...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nani kamziba mdomo Waziri wa Mambo ya Nje Mulamula, kulingana na kauli ya ahadi aliyotoa mwenyewe kuhusu uraia pacha?

    Nimesema siku zote huwa siwaamini wanasiasa. NI mara chache sana mwanasiasa ataongea kitu nimwamini, na siku zote wanasiasa wenyewe wananipa sababu za kusimama katika msimamo wangu wa kutowaamini. Generaly speaking, wanasiasa ni watu waongo. Sasa leo sintasema mengi, bali nitwakumbusha tu...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Tukuze vipaji, turuhusu Uraia pacha

    Ndiyo njia pekee ya kukimbizana na kiwango standard cha soka la dunia. Kupitia Afcon hii kama taifa tuna la kujifunza hasa tukiyaangalia mataifa madogo kama Comoro, Malawi na cape verde juhudi kubwa na uwezo waliouonyesha licha ya baadhi yao kushiriki kwa mara ya kwanza katka fainali hizi. Ni...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Suala la uraia pacha alilosema Malamula litapatiwa ufumbuzi kamba ya mwisho mwa 2021 ni lipi hasa, au tulidanganywa kama siku zote?

    Nina tatizo la waandishi wa habari wa Tanzania - huwa hawajui kufuatilia mambo, na mara nyingi wanaishi kwa ajii ya siku iliyopo tu. Kuna wakati kurugenzi ya Habari ilitangaza kwamba Chancellor wa Germany Angela Melkel kaongea na Magufuli kujenga kiwanda cha mbolea mwaka 2022. Hakuna...
  13. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Kuna hasara gani kama Taifa tunazipata kwa kutokuwa na sera ya uraia pacha au "Special Status" inaweza kuwa mbadala?

    Habari wadau...! Habari wadau ebu leo tujadili kuhusu haya mambo ,naona siku hizi mbili yamekiki sana huku kwetu tunaohishi udayasporani baada ya muingereza mtanzania kuibuka na tuzo ya Nobel. Karibuni tujadili.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Abdulrazak Gurnah na imani hasi tuliyonayo juu ya uraia pacha

    Wengi wetu ndio kwanza tumefahamu kuwa mshindi wa nishani ya Nobel wa mwaka huu kwa upande wa fasihi ni Mtanzania mwenye asili ya Zanzibar Abdulraza Gurnah. Ndio kwa mara ya kwanza tumeviona vitabu vyake mitandaoni, vilivyompatia nishani yenye heshima na yenye kuambatana na pesa nyingi takriban...
  15. Richard

    JamiiForums Tanzania Afghanstani viongozi wengi wana uraia pacha na wanaiharibu nchi hiyo. Diaspora wengi wenye pasi mbili hawana upendo wa dhati/ uzalendo na nchi zao

    Marekani na Uingereza na nchi zingine washiriki wametuma vikosi vya jeshi kurudi tena nchini Afghanistan ili kufanya operesheni ya kuwaokoa raia wa nchi hizo pamoja na raia wa Afghanistan wenye pasi mbili za kisafiria. Marekani inatuma vikosi vya wanajeshi wapatao 3000 huku Uingereza ikituma...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Usipotoshwe na watu wasioelewa maana na utaratibu wa kuwa na raia pacha. Angalia hapa maelezo ya uraia pacha na niulize swali lolote nitakujibu

    Nimekuwa nikisoma maoni na hoja za watu kuhusu Tanzania kuruhusu uraia pacha, na nimeshangaa sana na kugundua watu wengi sana wanaotoa maoni kuhusu uraia pacha hawaelewi kabisa inakuwaje mtu anakuwa na uraia pacha. Na hili nimeona hata toka kwa wanasiasa wanaopinga uraia pacha, na kuona kwamba...
  17. BAK

    JamiiForums Tanzania Waziri Mulamula: Awamu ya Sita imetambua suala la Uraia pacha linaenda sambamba na ushiriki wa Diaspora

    The question of dual citizenship remains a thorny subject in Tanzania, with the official stand remaining that it is not allowed in the country. During an exclusive interview with Mwananchi Communications Limited (MCL) yesterday, Foreign Affairs and East African Cooperation minister Liberata...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Serikali ikubali uraia pacha na kutoa likizo ya kodi kwa wawekezaji wazawa ili kuchochea ajira

    Nchi yetu imebarikiwa maji, ardhi yenye rutuba, watu wenye afya, Rasilimali lukuki lakini 60% ya raia wanaishi katika umasikini wa kutupwa. Kitu kinachowashinda wengi ni mitaji ya kuanzisha biashara. Hili si tatizo kubwa kama tukiwashirikisha diaspora. Diaspora anaweza kupata mtaji wa...
  19. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Kodi ya Miamala na Umuhimu wa Uraia Pacha

    Kama serikali imeona umuhimu wa kuwalipisha kodi watanzania wanaoishi nje lakini hutuma pesa nyumbani kwa kwa ndogu zao, basi wakati umefika kwa serikali hiyo kutambua kuwa watanzania hao si adui hata kama wamshachukua uraia wa huko wanakosihi. serikali hii itumie busara hiyo kuwatambuakuwa ni...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Diaspora Vijana Watanzania wamlilia Rais Samia uraia pacha

    Vijana wa kiTanzania walilia uraia pacha kutokana na changamoto wazipatazo huku wao wakiwa wamwzaliwa mfano raia wa Marekani ya Kaskazini na Ulaya wakati wazazi wao, bibi, babu, shangazi ni waTanzania lakini sheria za uraia za Tanzania haziwatambui na hivyo kupata wakati ngumu katika mambo...
Back
Top Bottom