uraia pacha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Balozi Mulamula: Mkitaka Tanzania ifaidike na Diaspora suala la uraia pacha haliepukiki

    Balozi Malamula hivi karibuni ametoa kauli kwamba serikali inaandaa sera ili Tanzania inufaike na Diaspora. Mimi nadhani huku ni kupotezeana muda tu. Nilishalisema sana jambo la Diaspora humu ndani. Nilishaziponda sana point za Watanzania ambao wanadai kuwa tusiruhusu uraia pacha kwa kuwa watu...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Tendega asema Tanzania kutoruhusu uraia pacha kunaikosesha fursa nyingi za kiuchumi

    Mbunge wa Viti Maalum Grace Tendega amesema uamuzi wa Tanzania kutoruhusu uraia pacha kunaikosesha fursa nyingi za kiuchumi. Tendega ametoa kauli hiyo leo Jumanne, Juni 1, 2021 bungeni wakati akichangia katika hotuba ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa mwaka...
  3. Candid Scope

    JamiiForums Tanzania Uraia pacha na Tanzania

    Suala la uraia pacha, limejitokeza tena kuwa hoja nzito katika mkutano wa tatu wa uratibu wa wadau Watanzania wanaoishi ughaibuni (diaspora), huku baadhi wakiitaka serikali kuharakisha mchakato wa kuanzisha utaratibu huo. Walisema Watanzania wanaoishi nje ya nchi wanapata adha kubwa na wengine...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnasema nini kuhusu uraia pacha?

    Tunafahamu msimamo wa CCM kuhusu uraia pacha, diaspora, je, CHADEMA mnasemaje Kama mkishinda?
  5. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Je, kanuni na sheria za Uchaguzi kwa taifa letu zinaruhusu mtu mwenye uraia pacha kugombea nafasi nyeti ya urais?

    Wakuu leo katika press conference ya Ndugu Humphrey PolePole nimemsikia akisema kwamba ana taarifa kwamba kuna mgombea wa Urais ameshapata uraia wa nchi nyingine, ndio maana anachochea watu kufanya vurugu baada ya uchaguzi. Je, sheria na kanuni za uchaguzi mkuu wa nchi yetu zinaruhusu mtu aliye...
  6. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkenya mwenye uraia pacha kugombea uongozi Marekani

    Hatujawahi kujutia kuwapa diaspora wetu uraia pacha maana inawapa uhuru wa kutanua na kupaa, huku wakituma nyumbani mukwanja wa kuwekeza...... Boni Njenga, the Kenyan-born American who is vying for a position in the Hennepin County Board of Commissioner, District 5. Pool What you need to...
  7. Ubumuntu

    JamiiForums Tanzania Uraia Pacha Tanzania: Siasa ya Bernard Membe na hatma yake

    Salaam wanaJF! Katika kipindi kirefu sana kumekuwa na mjadala juu ya kuruhusu uraia wa nchi mbili 'dual citizenship' katika taifa letu. Mjadala huu umepamba moto sana haswa katika uongozi wa waziri Bernard Membe. Hata katika hotuba ya bajeti ya wizara mwaka 2011/2012, ndugu Membe alizungumzia...
Back
Top Bottom