Tanzania bila uraia pacha mnaibiwa wazi wazi

Abuu Abdurahman

JF-Expert Member
May 9, 2017
1,447
1,770
Ameandika: Bongo Zozo

Hongera sana @bernardk17 na wala sikulaumu. Hakuna angekataa fursa hiyo.

ILA: @taifastars_ imepoteza bonge la mchezaji. Huyo jamaa anacheza kinoma yaani. Na hawezi kuchezea timu ya 🇹🇿 tena.

ISIPOKUWA URAIA PACHA.

Tanzania ilivyocheza na Benin mwaka uliopita, uwanjani upande wa Benin, hakuna mchezaji aliyekulia Benin. Wengine ilikuwa mara yao ya kwanza kufika Benin. Bibi yako Mbenin = wewe Mbenini, ingawa una uraia wa Ufaranza.

Nasikia sana na wala sipingi: Afrika iko nyuma sababu Wazungu waliiba mali ya Afrika. Ila hamwoni mali kubwa sana Afrika ni watu wake? Hasa wanamichezo. Mnaibiwa WAZI WAZI.

Na hakuna Mtanzania atakayekataa uraia wake wa kitanzania kama angeruhusiwa uraia pacha. Maana Tanzania ni kuzuri kijamii kuliko nchi zote za Magharibi. Kinachowavutia Watanzania ng’ambo ni kutafuta maisha. Ila mwisho wangependa kurudi Tanzania na hela hizo wajenge, wasaidie Tanzania na vitu walivyojifunza nje. Wana mchango mkubwa sana.

DAWA NI URAIA PACHA. Tuwageuze wanaotuibia watoto wetu. Fanyeni kazi, ingizeni hela, halafu leteni hizo hela mnunue aridhi, mjenge, mstaafu Tanzania.

Haya ni maoni yangu. Sema imeniumiza sana kuwa watoto wangu pia inabidi wachague kati ya 🇬🇧 na 🇹🇿
 
Attachments

  • FB_IMG_1654266222156.jpg
    FB_IMG_1654266222156.jpg
    52.5 KB · Views: 32
Ameandika: Bongo Zozo

Hongera sana @bernardk17 na wala sikulaumu. Hakuna angekataa fursa hiyo.

ILA: @taifastars_ imepoteza bonge la mchezaji. Huyo jamaa anacheza kinoma yaani. Na hawezi kuchezea timu ya tena.

ISIPOKUWA URAIA PACHA.

Tanzania ilivyocheza na Benin mwaka uliopita, uwanjani upande wa Benin, hakuna mchezaji aliyekulia Benin. Wengine ilikuwa mara yao ya kwanza kufika Benin. Bibi yako Mbenin = wewe Mbenini, ingawa una uraia wa Ufaranza.

Nasikia sana na wala sipingi: Afrika iko nyuma sababu Wazungu waliiba mali ya Afrika. Ila hamwoni mali kubwa sana Afrika ni watu wake? Hasa wanamichezo. Mnaibiwa WAZI WAZI.

Na hakuna Mtanzania atakayekataa uraia wake wa kitanzania kama angeruhusiwa uraia pacha. Maana Tanzania ni kuzuri kijamii kuliko nchi zote za Magharibi. Kinachowavutia Watanzania ng’ambo ni kutafuta maisha. Ila mwisho wangependa kurudi Tanzania na hela hizo wajenge, wasaidie Tanzania na vitu walivyojifunza nje. Wana mchango mkubwa sana.

DAWA NI URAIA PACHA. Tuwageuze wanaotuibia watoto wetu. Fanyeni kazi, ingizeni hela, halafu leteni hizo hela mnunue aridhi, mjenge, mstaafu Tanzania.

Haya ni maoni yangu. Sema imeniumiza sana kuwa watoto wangu pia inabidi wachague kati ya na
CCM ni waoga wa raia pacha kwa sabb ya wana diaspora wataleta siasa mpya upinzani mkali kuelimisha mbumbu wao wa darasa la saba wapiga kura, wanao pewa kanga na Tshirt za CCM kushabikia chama.
 
Tz inakadiria kuwa na diaspora wangapi?
 
Ameandika: Bongo Zozo

Hongera sana @bernardk17 na wala sikulaumu. Hakuna angekataa fursa hiyo.

ILA: @taifastars_ imepoteza bonge la mchezaji. Huyo jamaa anacheza kinoma yaani. Na hawezi kuchezea timu ya 🇹🇿 tena.

ISIPOKUWA URAIA PACHA.

Tanzania ilivyocheza na Benin mwaka uliopita, uwanjani upande wa Benin, hakuna mchezaji aliyekulia Benin. Wengine ilikuwa mara yao ya kwanza kufika Benin. Bibi yako Mbenin = wewe Mbenini, ingawa una uraia wa Ufaranza.

Nasikia sana na wala sipingi: Afrika iko nyuma sababu Wazungu waliiba mali ya Afrika. Ila hamwoni mali kubwa sana Afrika ni watu wake? Hasa wanamichezo. Mnaibiwa WAZI WAZI.

Na hakuna Mtanzania atakayekataa uraia wake wa kitanzania kama angeruhusiwa uraia pacha. Maana Tanzania ni kuzuri kijamii kuliko nchi zote za Magharibi. Kinachowavutia Watanzania ng’ambo ni kutafuta maisha. Ila mwisho wangependa kurudi Tanzania na hela hizo wajenge, wasaidie Tanzania na vitu walivyojifunza nje. Wana mchango mkubwa sana.

DAWA NI URAIA PACHA. Tuwageuze wanaotuibia watoto wetu. Fanyeni kazi, ingizeni hela, halafu leteni hizo hela mnunue aridhi, mjenge, mstaafu Tanzania.

Haya ni maoni yangu. Sema imeniumiza sana kuwa watoto wangu pia inabidi wachague kati ya 🇬🇧 na 🇹🇿
Kwanini kusiwe na hadhi maalum tu kwa wale waliokana uraia lkn sheria iendelee kuwabana wageni watakaoutaka uraia wa Tanzania kwa nia ovu?
 
Back
Top Bottom