urafiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Garang

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namuonea huruma huyu dada, nilitaka urafiki wa kawaida na si mapenzi

    Nawasalimu kwa jina la JF, shuhuda ziendelee. Wakuu imepita takribani miezi kadhaa hivi tangu ni fahamiane na huyu dada, nikiri kwa hii hali iliyofikia mie ndiye wa kulaumiwa. Ilikuwa majira ya jioni nimetoka pindi nikechoka nikaona sio mbaya nitafute mtu stranger nipige naye story nimzingue...
  2. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Hivi ilikuaje hadi urafiki wa baba na jirani yake tolu kuvunjika?

    Wakati wa uhai wake, marehemu baba aliwahi kuwa na urafiki na majirani zake, mmoja wapo ni tolu. Hata pale baba alipopata uongozi wa kijiji ushauri mwingi aliutoa kwa jirani tolu. lakini katika siku za mwisho za uhai wake hapa duniani, baba alikosana mno na jirani yake tolu, wakawa hata...
  3. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Unataka urafiki wenu uendelee kudumu? Basi usijenge nyumba jirani na yule "best friend" yako

    Good afternoon JamiiForums. Je, unataka urafiki wenu uendelee kudumu miaka na miaka? Basi usijenge nyumba jirani na yule "best friend" yako. Usifikiri mkijenga majirani ndio mtadumisha urafiki wenu mkuu. Hapana kwa sababu kuu moja kwamba, wewe na yeye mnaweza kuwa "best friends" lakini wake...
  4. J

    JamiiForums Tanzania CCM yatangaza kuachana na siasa za kibabe na kurudi kwenye siasa zake za asili za Upendo na Urafiki mwema!

    Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongollo amesema CCM haitajiingiza katika siasa za kibabe na visasi bali itajikita kwenye siasa zake za asili zilizosheheni Upendo na Urafiki. Huu ni mwanzo mzuri sana kwa sekretarieti mpya ya CCM na vyama makini vya upinzani ikiwemo ACT wazalendo wamepongeza. Kazi...
  5. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Tengeneza Urafiki na watu wanaofanya biashara unayoifanya au utakayotaka kuifanya "utafanikiwa"

    Kufanya biashara kila mtu anaweza ila shida inakuja kwenye kudumu katika biashara mtu anayofanya na si tu kudumu ila kufanikiwa katika biashara aliyodumu akiifanya. Watu wengi ni wafanyabiashara ila ni wale watu shika hiki acha shika kile acha (mapepe) kuna mtu anafungua biashara ila hana...
  6. Kansigo

    JamiiForums Tanzania Urafiki na Rwanda vs Urafiki na Kenya upi una Manufaa Kwa Tanzania?

    Kumekuwa na maneno na hofu kutoka kwa baadhi ya Watanzania hasa baada ya Raisi Samia kufanya juhudi za kuurejesha tena uhusiano na Kenya ambao ulidhoofika sana awamu ya Tano. Awamu ya Tano iliona Ni muhimu zaidi kuikumbatia Rwanda ya Kagame kuliko Kenya. Ikafikia wanyarwanda hadi wanakuwa...
  7. Ncha Kali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna urafiki wa mwanaume na mwanamke

    Tuliweke sawa hili. Mimi nasema HAKUNA urafiki wa namna hiyo. Ukisikia mwanamke anasema ana marafiki wengi wa kiume kuliko wa kike, ujue kuna namna anawatumia hao wanaume. Ananufaika big time. Na wanaume sio wajinga, katika huo urafiki hata ikiwa mwanamke ameolewa au ana bwan’ake ujue wapo...
  8. Mboka man

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi unawezaje kujenga urafiki na Ex wako aliyekuacha kwa maumivu makali?

    Kuna wakati nakosa majibu lakini pia kuna wakati kuna huwa ninawashangaa unakuta mtu kaachwa lakini bado analazimisha urafiki Ex wake ambaye amemuumiza na kumkosesha raha lakini bado anamfuatilia. Inafika wakati Ex wake anampiga mizinga hatari halafu anachokipata anahonga mpenzi wake mpya...
  9. Ladslaus Modest

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simple Friends and Real Friends

    Simple Friends and Real Friends Anyone can stand by you when you are right, but a Friend will stand by you even when you are wrong. A simple friend identifies himself when he calls. A real friend doesn't have to. A simple friend opens a conversation with a full news bulletin on his life...
Back
Top Bottom