Kuna homeboy tulisoma naye zamani, lakini tukapoteana kwa miaka kadhaa baada ya chuo. Miaka mitatu ilikuwa imempita akiwa mtaani hana kazi, hana ramani, hana pa kuanzia.
Siku moja akanipigia simu. Aliomba aje mjini (Dar) aanze maisha upya. Hakuwa na pa kuishi, hakuwa na hata pa kupafikia...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kisesa CCM kwa zaidi ya miaka 20, Luhaga Mpina sasa kaondoka kwenye Chama hicho na kujinga na ACT Wazalendo, huko amefika tu na kupewa nafasi ya kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu ujao
Kwa kipindi chote akiwa CCM, Mpina alikuwa mpinzani wa ubadhirifu wa mali ya...
POLISI, MAGEREZA, ASKARI WA MBUGA, n.k.
Kwangu wataishia kuwa marafiki wa kujuana kidogo, kupiga vistori vya kupoteza muda na kuwatumia iwapo kuna hitaji connection au msaada wa haraka.
Kuwa na rafiki mwenye kazi inayofusisha au kafunzwa kuua au kuumiza wengine ni jambo hatari kuwa na rafiki...
URAFIKI WA JULIUS NYERERE NA ZUBERI MTEMVU
Kuna mambo mengi nimeyasikia udogoni kuhusu wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika ambayo kwa wakati ule sikujua kuwa ni mambo yatakayokuja kuwa muhimu na watu watapenda kuyafahamu kwa kina.
Katika video moja kuhusu nguvu ya TANU na jinsi chama...
Unakuta mwanaume anavaa zake hivi na sendo na vest anaingia zake town alafu hana habari
Kama wewe ni mshkaj wangu bora urafiki uishe maana unakuwa ni utoto na uvulana , mwanaume kamili hawezi kuvaa hivi
Tafiti iliyofanyika nchini Marekani ionyesha kwa asilimia kubwa Vijana wanatumia akili Unde ( Artificial Intelligence AI) Kwa ushauri wa Mahusiano, kama rafiki wa karibu zaidi ya Uhalisia na msaada kitaaluma
Ripoti mpya kutoka shirika la Common Sense Media inaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 70...
Katika ulimwengu wa biashara, kuna mambo madogo sana yanayoonekana kama ya kawaida—lakini yakiwa hayajadhibitiwa, huwa kama saratani ya kimya kimya. Moja ya mambo haya ni mazoea ya kupitiliza na urafiki usio na mipaka. Haya ni magonjwa ya ndani yanayoweza kuivuruga biashara yoyote, haijalishi...
Katika maisha yako jitahidi kuweka mipaka usiruhusu watu wakujue sana , hata urafiki uchoree mstari uwe na mipaka yake kuna maeneo usivuke. Kuna nguvu kwenye kuwa msiri,
Adui anayekufahamu ana nguvu kuliko asiyekujua, adui asiyekujua hajui aanzie wapi kukushambulia
Polisi Tanzania: Ni Wakati wa Kujenga Urafiki na Wananchi na Vyama vya Upinzani, ikiwemo CCM- Mpinzani Mtarajiwa wa siku za baadae.
Katika jamii yoyote yenye misingi ya kidemokrasia, jeshi la polisi muna nafasi ya kipekee kama muhimili wa kulinda haki za watu, usalama, amani na haki za kila...
Taswira ya kweli ya wanaume wawili waliopigwa picha kutoka Damascus mwaka 1889:
Mkristo Samir alikuwa mlemavu wa kupooza na pia alikuwa mfupi. Na Mohammed, Mwislamu kipofu aliyekuwa akimbeba Samir mgongoni.
Samir aliyekuwa mlemavu wa kupooza alimtegemea Mohammed katika safari zake mitaani...
Mtu anatoka kazini, anarudi nyumbani.
Anafanya shughuli zake. Labda aende dukani.Akiwa njiani, salamu kwa majirani—hakuna mazungumzo marefu.Ni maisha ya kawaida, ya utulivu.
Ule urafiki wa “buda niko base, pita” umeisha.
Sasa ni “tupange weekend” lakini weekend ikifika kila mtu ana shughuli...
Mai wa Jesse anasema haiwezekani Mond huyu aliejenga Brand yake kwa Gharama kubwa eti aende tu Nigeria kujichoresha kumfuta machozi na kamasi Jux katika harusi😂😂👋🏼.
Hata mimi nimefikiria sana hili jamani, anyways anamalizia kwakusema urafiki wao sio wa kawaida ila neno kawaida mtaelewa wakubwa...
Simaanishi kuwabeza marafiki, Hapana !! Maisha yetu kwa kiasi kikubwa tunazungukwa na watu wa nje hivyo katika haya mazingira unaweza kuwa na marafiki shuleni, Vyuoni, Mitaani, kazini, Bar, Biashara, n.k. lakini kawaida yao huja na kuondoka hivyo sio wa kuwapa kipaumbele sana.
Kuna rafiki...
Hizi sehemu mbili mazoea na urafiki ziogopeni sana na ndio zina haribu biashara za walio wengi.
Biashara ikishakwenda kwenye mazoea wengi hawa badiliki wanaona poa tu na mwisho wa siku ujikuta biashara imekufa.
Biashara ikishafika steji ya urafiki sana tegemea kufa haraka sababu wengi...
Kampuni ya Tanzania-China Friendship Textile Company Limited (FTC), inayojulikana zaidi kama Urafiki Textile Company Ltd., ilikuwa miongoni mwa viwanda vikubwa vya nguo nchini Tanzania, iliyoanzishwa mwaka 1968 kwa msaada wa Serikali ya China chini ya mpango wao wa msaada wa kiufundi...
Binafsi nimewahi kuwa na marafiki wa kiume kadhaa katika ukuaji wangu, lakini waliishia kunitaka kimapenzi kisha urafiki ukafa hapo.
Je, kuna haja ya kuwa na urafiki wa hizi jinsia mbili? na nini kifanyike kuulinda huu urafiki uendelee kuwa urafiki na siyo maswala ya mahusiano ya kimapenzi?
Utafiti wa The Kennel Club unaonyesha asilimia kubwa ya wanawake walio-single wanapendelea urafiki wao mkubwa na Mbwa kuliko kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume.
Kwa mujibu huo wa The Kennel Club inayotambulika duniani kwa jukumu la kusimamia shughuli mbalimbali za mbwa zinasema...
Na siku hizi wamekuja tofauti, zamani unatumiwa ujumbe moja kwa moja, sikuhizi utatumiwa meseji habari yako, hellow, vipi, n.k.
Unaweza kudhani ni mtu mnafahamiana labda huna namba yake, unamjibu kwa heshima ghafla unatumiwa meseji "Samahani naitwa fulani nilikuwa naomba urafiki naomba unisevu...
Kuna jamaa mmoja mtaani tukajenga mazoea! Mara hayo mazoea kayapeleka kwa mtoto wangu kiasi cha kumuachia kitu cha thamani ya kwamba atakipitia. Huyo mtoto kakiacha sehemu si salama kikaibiwa! Japo jamaa kaonyesha kutomind, lakini kwa uthamani wa hicho kitu nathani sijui itakuwaje! Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.