upungufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MORUWASA: Tuna upungufu wa uzalishaji maji kwa 49% ndio maana Morogoro kuna mgao

    Mkurugenzi wa Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira wa MORUWASA, Mhandisi Thomas Ngulika akielezea hali ya upatikanaji wa maji katika Manispaa ya Morogoro amesema changamoto kubwa inayosababisha upungufu wa maji Mkoani hapo ni uzalishaji mdogo mbao hauendani na mahitaji husika Amesema “Mahitaji...
  2. Upungufu wa Homoni ya Kiume

    Je Unaijua Homoni ya Kiume/Testestrone? Leo tuzungumze kidogo kuhusu Homoni ya Kiume/ Testestrone. Kwani upungufu wa hivi vichocheo huweza kuleta madhara makubwa sana siyo tu kitandani bali hata kwenye maisha ya kawaida ya mwanaume hata Mwanamke pia, lakini usjali suluhu ipo Disclaimer: Ujumbe...
  3. Wajue madhara ya Upungufu wa Damu Kwa Mjamzito na jinsi ya kujikinga nayo

    Anaemia/ Upungufu wa Damu kwa wajawazito Je unajua upungufu wa damu huchangia 14.5% ya vifo vya kinamama(Martenal Deaths) Tanzania? Kiasi cha damu pungufu ya 11g/dl uhesabika upungufu wa damu kwa Mjamzito ambapo kikawaida hutakiwa kuwa 11.5 - 13g/dl wakati huu Fuatana nami sasa 👇🏿 Upungufu...
  4. S

    Ni ubinafsi kuoa mke zaidi ya mmoja kwasababu kuna wanaume watakosa kwa upungufu wa wanawake

    Ni kama Mungu ameumba idadi sawà kati ya wanaume na wanawake. Kwa kuzingatia idadi ya wanawake na wanaume Tanzania na hata duniani kwa ujumla. Statistics zinaonesha wanaume ni 50.4% na wanawake ni 49.6% world wide. Roughly unaweza kusema idadi ya wanawake na wanaume ni sawà japo Kuna deviation...
  5. V

    SoC04 Nishati ya ‘hydrogeni’ mbadala wa utunzaji wa umeme itasaidia kupunguza changamoto kutokana na upungufu wa umeme na hitilafu kwenye gridi ya taifa

    Uzalishaji wa umeme unapokidhi mahitaji nchini unachangia kwenye ukuaji wa uchumi kutokana na shughuli nyingi za viwanda vikubwa na vidogo kuendeshwa kwa utegemezi wa umeme Umeme unapokua wa uhakika uzalishaji wa bidhaa huongezeka na gharama za uendeshaji hupungua. Wananchi waliojiajiri kupitia...
  6. Maeneo 38 kukosa huduma ya Maji kwa zaidi ya Saa 36 jijini Dar, kutokana na maboresho ya kuondoa tope kwenye Mtambo wa kuzalisha maji

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetangaza upungufu wa Huduma ya Maji kwa Wateja wanaohudumiwa na mtambo Ruvu Chini, kuanzia Machi 5 hadi Machi 7, 2024 Kwa mujibu wa taarifa ya DAWASA upungufu huo unatokana na maboresho ya msingi yanayofanywa katika mtambo huo...
  7. Upungufu wa Gesi na maji ndio chanzo mgao wa umeme

    Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, imeweka wazi kuwa sababu ya mgao wa umeme nchini umesababishwa na upungufu wa maji na gesi. “Sababu za uzalishaji wa umeme kuwa mdogo ni pamoja na upungufu wa maji kwenye mabwawa tegemezi yakiwemo Mtera, Kidatu na Kihansi; uchakavu wa mitambo ya kuzalishia...
  8. Naibu Waziri wa Nishati: Upungufu wa umeme umepungua kutoka Megawati 400 hadi 144

    Katika jitihada za kuhakikisha maeneo yote nchini yanapata umeme wa uhakika, Serikali imeshaanza kutekeleza mradi wa kupeleka umeme wa Gridi katika Mkoa wa Rukwa kupitia mradi wa TAZA ulioanza kutekelezwa mwezi Novemba, 2023 na unatarajiwa kukamilika Mwezi Agosti, 2026. Hayo yameelezwa leo...
  9. Ufafanuzi wa JKCI: Ni kweli kulikuwa na upungufu wa Peacemaker ila hakuna mgonjwa aliyekufa kwa kutowekewa kifaa hicho

    Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) inapenda kutoa ufafanuzi wa Habari iliyosambaa katika mitandaoni ya kijamii kuwa “Huduma ya Pacemaker haipo Muhimbili, Wagonjwa wanakufa” taarifa hiyo siyo ya kweli na ipuuzwe, kwani hakuna mgonjwa aliyekufa kutokana na tatizo la kutokuwekewa kifaa cha...
  10. Kanuni: Ili kukabiliana na upungufu wa fedha za kigeni lazima Shilingi ishuke thamani

    Katika kanuni za uchumi kawaida nyumbani ni lazima kuongeza mapato na uzalishaji. Kwa level ya nchi katika kukabiliana hali mbaya ya uchumi nchi hufanya mambo kadhaa kuhakikisha uchumi unakuwa imara. 1. Kuongeza export 2. kununua dhahabu 3. kupunguza matumizi ya serikali. 4. Mikopo ya hela za...
  11. Hussein Bashe: Upungufu wa sukari nchini utaisha mwezi Machi

    Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo Kutokana na kuwepo kwa upungufu wa sukari nchini, Serikali imeeleza kuwa mvua za El Nino zinazoendelea kunyesha zimeathiri mfumo mzima wa uvunaji wa miwa na hivyo kuathiri wa uchakataji na kupelekea uwepo wa upungufu wa sukari. Akizungumza Waziri wa Kilimo...
  12. L

    Tani Elfu 50 za sukari kuingizwa nchini kukabiliana na upungufu uliopo

    Ndugu zangu Watanzania, Mkurugenzi mkuu wa bodi ya Sukari nchini Tanzania Ndugu Kenneth Bengesi amesema kuwa katika kukabiliana na upungufu wa sukari hapa nchini, inatarajiwa kuanzia mwezi huu wa januari kuingizwa kwa Tani Elfu Hamsini za Sukari kutoka nje ya Nchi. Mkurugenzi huyo ameelezea...
  13. Ushuhuda: Nilihisi nina upungufu wa nguvu za kiume nilikula sana karanga mbichi, mtindi, vipande vya nazi na mhogo bila mafanikio, NIMEPONA !!

    MUHIMU: TIBA HII SIO KWA WOTE, NI KWA WALE WENYE TATIZO LINALOFANANA NA LANGU. Nilidhani labda ndio umri umeanza kwenda maana si kwa kuhangaika kulitafuta goli la pili, na kuna kipindi ni kimoko chali kiasi cha kuwa bingwa wa visingizio kukwepa aibu. Kiukweli nilikula sana dawa asili za...
  14. Kwanini vijana wameathirika sana na upungufu wa nguvu za kiume?

    Hili ni janga la kitaifa yaani ukienda makanisan vijana wenye nguvu wanaomba waombewe kurudisha nguvu za kiume. Huko Ugangan ndio usiseme Sijapita mahospitalini usiseme NINI kimewaharibu vijana wetu n vyakula ama kurogwa? Mungu atusaidie Tulizoea kuona wazee wakiteseka na haya magonjwa nw...
  15. Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume sio kwa wanaume tu siku hizi limehamia kwa wanawake

    Ibaki hivyo, wala sijakosea. Ipi ni maana sahihi ya nguvu za kiume? Nguvu za kiume ni uwezo wa kiumbe hai kulifurahia na kulistahimili tendo la ndoa kwa muda mrefu zaidi. Hivyo hakuna kitu kinachoitwa nguvu za kike. Binadamu na viumbe vingine vyote vinavyojamiiana, vumeumbwa na uwepo wa nguvu...
  16. Upungufu wa msamiati au ni uvivu tu?

    Hivi ilikuwaje kwenye lugha ya kiswahili mpaka mke wa kaka akaitwa "shemeji" kwa ndugu wote wa mume yaani wakiume, na wa kike wanamwita "wifi". Ila mume wa dada akaitwa "shemeji" na jinsia zote mbili!?! Inamaana walikosa kabisa jina lingine? 🤔
  17. Sayari ziliwahi kuwa Tisa; zimebaki 8. Kiroho vita inayoendelea Israel ina uhusiano na upungufu huu

    Sources: https://www.youtube.com/watch?v=a4aboTbQZ5Y&pp=ygUSbWNodW5nYWppIG1hZ2hlbWJl https://www.space.com/pluto-atmosphere-may-be-disappearing Pluto's atmosphere is starting to disappear, scientists find By Chelsea Gohd published October 08, 2021 A new study shows how Pluto's atmosphere...
  18. Upungufu wa zana

    Hii haina hata haja ya salamu. ... Kama kichwa hapo juu kinavyojieleza, naomba kuwakumbusha wahusika wa kuzisambaza Zana maeneo tofauti tofauti ya Nchi kwenye vyuo, guest house, lodge, ofisi za watendaji wa kata, zahanati, mahospitalini, nk kwamba sasa Zana zimehadimika yamebakia maboksi matupu...
  19. Mhandisi Nyamo-Hanga: Uzalishaji unaendelea vizuri, kuna upungufu wa Megawati 300-350 TANESCO

    Naibu Waziri Nishati, Judith Salvio Kapinga amefanya ziara katika Kituo kidogo cha Kuzalisha Umeme kwa Gesi Asilia kilichopo Tegeta Jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 2, 2023 Akizungumza baada ya kukamilisha ziara hiyo Naibu Waziri amesema Kituo hicho chenye mitambo mitano inayozalisha Megawati...
  20. Kupiga na kutesa wanyama wasio na hatia wala akili ni kiashiria moja wapo cha kuwa na upungufu wa akili (Mbwiga)

    Na ni hasa kwa jamii nyingi za kiafrika, mtu unakuta tu anapenda kuwatesa wanyaa na kuwadharau, ni mtu huyp huyo hujivika unafiki wa kwenda kanisani / msikitini wakati hutesa viumbe vya Muumba Ng'ombe anayechelewesha msafara yuko mbele lakini unakuta mtu anamtia bakora ng'ombe wa nyuma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…