upinzani

  1. JamiiForums Tanzania Upinzani mnapoambiwa mwakani hakuna mbunge wa upinzani atakayerudi muwe mnaelewa

    Vyama vya upinzani na wanachama wake wasipochukua hatua kwa serikali na wasimamizi wa uchaguzi Nina maanisha watendaji kata ,vijiji na mitaa mwakani hali itakuwa mbaya sana, hakuna mbunge wala diwani hata mmoja atakayeshinda mwakani. Waache kufikiria CCM ina huruma, CCM na serikali yake...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Upinzani ulioasisiwa na mwalimu Nyerere umefeli, Je turudi kwenye mfumo wa chama kimoja?

    Ni ukweli ulio wazi kuwa Upinzani tulionao uliasisiwa kwa baraka za baba wa taifa mwalimu Nyerere baada ya 80% ya watanzania kutaka mfumo wa chama kimoja uendelee. Ndio nawauliza wanabodi, je huu ndio wakati muafaka wa kuheshimu maoni ya wale 80%? Au ifanyike kura ya maoni kuukubali au...
  3. JamiiForums Tanzania Upinzani tafuteni majadiliano na CCM, wanaogopa madudu waliyoyafanya upinzani ukiwa madarakani yataanikwa wazi

    CCM si chama chenye uadilifu katika matumizi ya pesa. Nani anafahamu budget iliyotumika katika vita ya Kagera, Tuliwahi kuhoji katika ukombozi wa bara la Afrika? Yote yalikuwa ni maamuzi ya mtu mmoja. Hata Chama kushika hatamu haikuwa ridhaa ya wananchi. Afadhali ya Nyerere yalikuwa ni maamuzi...
  4. JamiiForums Tanzania Vyama vitatu vya upinzani vyaungana Uingereza kupigania Uingereza ibakie katika Umoja wa Ulaya

    Vyama vitatu vya siasa nchini Uingereza vimetangaza makubaliano ya kushirikiana ili kupata wanachama zaidi katika bunge ambao wanaunga mkono Uingereza kubakia katika Umoja wa Ulaya. Vyama hivyo vitatu vya Liberal Democrats, Chama cha Walinzi wa Mazingira na chama cha Plaid Cymru cha jimbo la...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametangaza chama chake kutoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 kwa madai wakishiriki wanahalalisha ubatili Maamuzi hayo yanakuja ikiwa ni baada ya Wabunge wa CHADEMA kukutana leo alasiri Novemba 7, 2019 katika Kikao cha...
  6. JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani vitakavyoshiriki huu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni wasaliti wa watanzania

    Chama chochote cha upinzani kitakachoshiriki huu uhuni unaoitwa uchaguzi wa serikali za mitaa ni wasaliti wa watanzania. Kwanini nasema hivyo, matukio yote yaliyoripotiwa nchi nzima yameonyesha ukiukaji mkubwa wa sheria, kanuni na taratibu mbalimbali za uchaguzi ambazo hazijawahi tokea toka...
  7. JamiiForums Tanzania Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

    Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni Kata ya Kigamboni, Mtaa wa Feri Wagombea wote wa upinzani Hawajateuliwa. Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Kata ya Mabibo Mtaa wa Matokeo Wagombea wote wa Upinzani Hawajateuliwa. Jimbo la Ubungo, Kata ya Manzese: Mtaa Chakula Bora - Wagombea wote wa...
  8. JamiiForums Tanzania Mambo 20 yanayouponza upinzani Tanzania

    yafuatayo ni mambo 20 yanayouponza upinzani Tanzania: 1. Mitandaoni haswa Twitter Instagram na Jamii forum. Utadhani wapiga kura woote wanasoma Twitter! Utadhani tabu zao zitapatiwa ufumbuzi Twitter! Lakini kwa wenzao CCM wanawatumia mitandao hii kwa akaunti zao kama MTAGA kuelezea zaidi...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Wagombea wote walioondolewa kwa kuonewa haki itatendeka na watarejeshwa kwenye uchaguzi

    Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema wagombea wote wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao wameondolewa lakini wamekata rufaa malalamiko yao yatasikilizwa na haki kutendeka na kama wameonewa basi watarejeshwa uchaguzini. Chanzo: ITV habari Hizi ni habari njema kwa wapinzani ukizingatia ukweli...
  10. JamiiForums Tanzania Tujadili hili……. Kwanini wagombea wengi wa vyama vya upinzani wameenguliwa?

    Kwanini wagombea wengi wa vyama vya upinzani wameenguliwa? Hawakuwa na maarifa/uelewa wa kujaza fomu? Wengi wao wamerudisha form zikiwa kilema (baadhi ya vitu muhimu havikujazwa wala kuambatishwa) Viongozi wao wa juu walikua wame-base sana kwenye mitandao ya kijamii na sio kuwaeleimisha...
  11. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Njama zilizopangwa na upinzani kuichafua Serikali

    Wapinzani wa nchii hii walipofikia sio sehemu nzuri maana wanataka kuipeleka nchi kwenye machafuko kupitia uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, Kama ulikuwa haufahamu ngoja nikufaamishe mipango na mikakati yao;- 1. Walianza kulalamika kuwa wasimamizi wa uchaguzi wanawahujumu ilihali wao hawakwenda...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe macho: Tunapoelekea vyama vya upinzani huenda vikajeruhi, kuharibu mali na hata kusababisha mauaji ili kuhalalisha ''malalamiko'' yao

    Ndugu zangu, Kumekuwa na juhudi kubwa kwa vyama vya upinzani kupitia mitandao ya kijamii kupotosha yanayoendelea kuanzia kipindi cha uandikishaji, uteuzi wagombea na hatimaye uchukuaji na urejeshaji wa fomu. Kipindi cha kujiandikisha walikuja na kampeni susia susia huku wakitoa picha za...
  13. JamiiForums Tanzania Ruangwa, Lindi: Wagombea wote wa vyama vya upinzani wameondolewa

    Pia taarifa kutoka Liwale Mkoa huo huo wa Lindi viongozi wote wa upinzani wanatafutwa na vyombo wa dola
  14. C

    JamiiForums Tanzania Suala la Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Vipengele kadhaa vya Kisheria

    Nafahamu kwamba watu wengi wameanzisha threads wakijaribu kuelezea suala la CAG Kisheria! Hata hivyo, wengi wao kama sio wote walichofanya ni kurundika vifungu vya kisheria bila kutoa ufafanuzi! Mbaya zaidi, hawatoi ufafanuzi wa matumizi ya neno SHALL kwa mujibu wa sheria zetu! Nimelazimika...
  15. JamiiForums Tanzania Kuhusu fikra ya kuua upinzani, “The Law of Polarity”

    Kumekuwa na mijadala kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kuua au kutoua, kufa au kutokufa kwa upinzani Tanzania. Ukiangalia kwa ukaribu jambo hili; kuna watu wanafikiri upinzani ukifa litakuwa jambo la faida kwa taifa, ila kiuhalisia litakuwa ni jambo la hasara kwa watu wote na pengine la hatari...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Nimepokea malalamiko kutoka Kata 72 katika uchukuaji na urejeshwaji fomu za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo amesema amepokea malalamiko kutoka kata 72 kuhusu dosari mbalimbali katika uchukuaji na urejeshaji fomu kwa ajili ya kuwania nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Uchukuaji na...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Serikali hii inawafanyia hila mbalimbali wagombea wa upinzani kwenye chaguzi zinazoendelea nchini?

    Tumesikia vituko na hila mbalimbali wanazofanyiwa wagombea wa upinzani, hususani wa chama kikuu cha upinzani nchini cha Chadema katika uchaguzi wa serikali za mitaa, unaotarajiwa kufanyika hapa nchini, tarehe 24 mwezi Novemba, mwaka huu Vituko kama vile wasimamizi wa uchaguzi "kuzikimbia" ofisi...
  18. JamiiForums Tanzania Mh. Zitto na viongozi wengine wa upinzani

    Kwa kuwa nyinyi ndio viongozi ambao mmebaki angalau mkisema mnasikika, basi tunaomba muongelee suala la mikopo ya elimu ya juu. Mpaka sasa haijulikani hatima ya wanafunzi wanaotakiwa kupata mkopo kutoka Bodi ya Mikopo (HESLB). Tafadhali, saidieni kuwasemea watoto wa kitanzania ambao wamekosa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Juhudi za kuua upinzani nchini kwenye uchaguzi ujao ni kwa maslahi ya nani?

    Wanabodi, Kutokana na vitendo vinavyofanywa na viongozi wa serikali na vyombo vya dola kuna kila dalili kuwa upinzani hauhitajiki tena nchini na kwamba mfumo wa chama kimoja ndio unaohitajika kwa sasa. Mfano mzuri ni huu wa kuzuia wabunge wa upinzani kufanya mikutano kwa Uhuru na wapiga kura...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Kushabikia siasa za upinzani Tanzania yakupasa uwe na moyo kama wa Mwendawazimu

    Mosi, hakuna Tume huru ya uchaguzi Pili, uchaguzi wa madiwani unasimamiwa na makada wa CCM Tatu, matumizi ya ruzuku kwa vyama vya upinzani hayaeleweki Nne, vyama vya upinzani havifanyi uchaguzi wa viongozi wao mfano Wenyeviti ni kama wa kudumu. Tano, ukiwa mbunge ni lazima kuchangia fedha za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…