Tujadili hili……. Kwanini wagombea wengi wa vyama vya upinzani wameenguliwa?

alliJAY4_four

Senior Member
May 4, 2017
173
94
Kwanini wagombea wengi wa vyama vya upinzani wameenguliwa?
  • Hawakuwa na maarifa/uelewa wa kujaza fomu?
  • Wengi wao wamerudisha form zikiwa kilema (baadhi ya vitu muhimu havikujazwa wala kuambatishwa)
  • Viongozi wao wa juu walikua wame-base sana kwenye mitandao ya kijamii na sio kuwaeleimisha viongozi wao wadogo wa mitaa?
  • Wananchi wamechoka propaganda za upinzani zisizokua na tija?
  • …….
  • ……..
  • ……..
 
Back
Top Bottom