Besta Mlagila
Senior Member
- May 29, 2018
- 101
- 191
Wapinzani wa nchii hii walipofikia sio sehemu nzuri maana wanataka kuipeleka nchi kwenye machafuko kupitia uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, Kama ulikuwa haufahamu ngoja nikufaamishe mipango na mikakati yao;-
1. Walianza kulalamika kuwa wasimamizi wa uchaguzi wanawahujumu ilihali wao hawakwenda kuchukua fomu kwa wakati na waliochukua walizijaza vibaya ili watenguliwe baadae.
2. Wakaja kwenye vyombo vya habari na kuanza kuwaaaminisha wananchi kuwa kunahujuma zinaendelea.
3. Hivi sasa wanadai wagombea wa upinzani nchi nzima wametenguliwa bila sababu.
NIA YAO!
Nia yao kuu sio Serikali za mitaa ni KUWAAMINISHA wananchi kuwa wanaonewa katika chaguzi zinazofanyika tangu awamu ya tano iingie madarakani ili siku watakapowaambia wananchi kuwa wanaibiwa waamini kuwa ni kweli, kitu ambacho wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa.
LENGO LAO!
Lengo lao ni UCHAGUZI MKUU WA 2020, Baada ya kuona kazi kubwa na nzuri inayofanywa na Rais JPM wanajua wazi kuwa nafasi ya kushinda ni finyu au haipo kabisa, kwahiyo wanaanza kuandaa mbinu mbadala watakazozitumia baada ya uchaguzi kumalizika. Mbinu ambazo zinaweza kuleta machafuko.