upinzani

  1. S

    JamiiForums Tanzania Je, bado inafaa kwa wanasiasa wa upinzani kupima corona ndani ya nchi hii na hasa wabunge wa upinzani kupimwa corona Bungeni kama ilivyotangazwa?

    Baada ya Makonda kutangaza mtoto wa Mbowe kuwa ameugua korona,jambo ambalo lina muelekeo wa kisiasa,naanza kujiuliza kama bado ni sahihi(salama) kwa wapinzani kupima ugonjwa huu humu ndani ya nchi na hasa wabunge wa upinzani ambao watapaswa kupimwa sambamba na wenzao wa CCM kabla ya kushiriki...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Corona: Zanzibar yaonyesha ukomavu waweka itikadi pembeni Waziri wa afya kutoka chama cha upinzani aongoza mapambano!

    Zanzibar ni nchi ndogo lakini ina mikakati imara kila linapotokea swala au janga la kitaifa. Waziri wa afya mh Hamad Rashid ni mpinzani kutoka chama cha ADC lakini ndiye aliyepewa majukumu muhimu katika vita hii. Nadhani Tanzania bara tuna jambo la kujifunza kutoka Zanzibar na ni jambo jema...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa upinzani wakishazoea kukaa jela au mahabusu,hawakuwa na hofu ya kuhamasisha wafuasi wao kuandamana na kufanya mambo mengine ya aina hiyo

    Kila jambo unalolifanya huwa na faida na hasara zake. Kwa msingi huo huo,hata katika kudhibiti wanasiasa kwa kuwafunga jela au kuwaweka mahabusu mara kwa mara,moja ya athari yake ni kuwafanya wanasiasa hao kuzoea kukaa jela au mahabusu na hata kuwafanya kuwa sugu na matokeo ya hali hii ni...
  4. JamiiForums Tanzania Wana-CCM vileeni vyama vya upinzani visife

    Kuna watu bila kujali itikadi yao ya kisiasa ambao kazi yao ni siasa. Watu wa aina hii lazima wafanye siasa maana maisha yao yote yanategemea siasa. Kuna tofauti kubwa kati ya chama cha siasa na mwanasiasa. Mwanasiasa anaweza kufukuzwa na wenzake kutoka ndani ya chama au anaweza kukihama chama...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wengi hawajaielewa kauli ya Dkt. Ally Bashiru kuhusu CCM kutumia faida ya kuwa na dola kuendelea kubaki madarakani

    Nimeona tafsiri potofu/uelewa finyu kuhusu Kauli hiyo ya BASHIRU, Msingi wa kauli hiyo ni dhana ya kitaaluma ya INCUMBENCY ADVANTAGES inayotumika katika Political Science. Chanzo cha tafsiri hio POTOFU inaweza kuwa uelewa hafifu wa dhana ya INCUMBENT ADVATANGE au inafanyika maksudi ili kupata...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Dr Bashiru ni uhakika wahamiaji kutoka Upinzani akiwemo Mwita Waitara aliyekuwa Chadema hawatarudi bungeni

    Dr Bashiru amesema wabunge wote walioko madarakani watapimwa kwa namna walivyotimiza ahadi zao na jinsi walivyoielezea na kuitekeleza ilani ya CCM. Kimsingi hakuna mbunge wa upinzani au wale waliohamia CCM aliyetimiza ahadi alizoahidi. Naibu waziri Mwita Waitara kwa mfano amelikimbia jimbo la...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Upinzani Tanzania: Epukeni kujibizana hadharani, wapuuzeni wapambe

    Mada inahusika. Katika kipindi hiki kwenu kilichojaa fitina na majungu na nia ya dhati ya kutaka kusambaratishwa na watawala, umakini unahitajika sana. Kwanza ukomavu wenu ni muhimu na mapitio yenu yawaunganishe kama kundi moja lenye common intrest Tumieni uzoefu mlioupata kwenye UKAWA 2015...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Chadema isipokufa mwaka huu basi 2021 kitakuwa chama " halisi" cha Upinzani

    Mwaka uliopita 2019 Chadema imepita katika mapito magumu lakini kwa kuwa kinapokea ruzuku ya serikali kimeweza kusurvive. Mwaka huu ni wa uchaguzi na ruzuku itakata rasmi baada ya bunge kuvunjwa hivyo chama kitaendeshwa na wananchi. Endapo Chadema itaingia mwaka 2021 ikiwa imara basi haitakufa...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akutana na Viongozi wa vyama vya Siasa nchini, Maalim Seif(ACT-Wazalendo), Prof. Lipumba (CUF) na James Mbatia (NCCR-Mageuzi)

    Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli akiagana na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam. My take,hizi ndo siasa safi. ===== Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa chama kikuu cha Upinzani, Freeman Mbowe ametengwa au amejitenga?

    Tangu serikali ya awamu ya 5 iingie madarakani sijawahi kumshuhudia KUB Mbowe akitimba Ikulu iwe kwa niaba yake au ya chama chake. Leo maalimu Seif ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili. Leo Prof Lipumba ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili. Leo mh Mbatia katimba Ikulu. Mzee Lowassa akiwa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini chama cha CHADEMA hakifanyi tathmini ya hali ya uchumi kama alivyokuwa akifanya Prof Lipumba? Au hakina wataalamu!

    Wakati Cuf kilipokuwa ni chama kikuu cha upinzani na KUB akiwa Hamad Rashid kilikuwa kinafanya tathmini ya hali ya uchumi kila baada ya muda fulani. Na uchambuzi yakinifu ulikuwa unafanywa na mbobezi wa maswala ya uchumi duniani ambaye pia ndiye chairman wa CUF. Tangu Chadema wawe chama kikuu...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani twende na Membe 2020!

    Nianze kwa kuomba samahani kwa niliowakwaza kwa heading hapo juu! I am a realist and I wish to remain so! Upinzani haujafa kama JPM alivyotamaani ila umeumia! Our house isn't in orderWe can't realistically mount a challenge against Membe come 2020! I want to forget about JPM because he is...
  13. JamiiForums Tanzania Kufukuzwa Membe CCM: Hakika siasa ni Mchezo kama ilivyo Karata na Draft

    Wanabodi Salaam. Ikiwa taarifa za kufukuzwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu. Bernard Camilius Membe zikiwa bado zinatikisa mimbari ya siasa Tanzania, nimejikuta ninakumbuka matukio machache kabla ya uchaguzi mkuu uliopita mwaka 2015. Ikumbukwe wakati ule mgombea aliekuwa anapewa nafasi...
  14. JamiiForums Tanzania CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Humphrey Polepole amesema kuwa Membe aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje ya Tanzania amefukuzwa ndani ya chama hicho Amesema uamuzi huo umekuja baada ya taarifa zake ndani ya chama kuonesha mwenendo wake kutoka mwaka 2014 kuwa amewahi kupata...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Vyama vya Upinzani msipoteze muda kuweka wagombea Urais

    Natoa ushauri tu kwa vyama vya Upinzani kujitafakari na kutopoteza muda na pesa kuweka mgombea urais. Hii ni kwa sababu utendaji kazi wa rais JPM tayari umeshampa ushindi mkubwa. Kudhibiti mianya ya rushwa kwenye halmashauri, ujenzi wa miundo mbinu kama daraja la busisi (umeashaanza) kurudisha...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Nyerere alisema upinzani wa kweli utatoka CCM. Mrema, Sumaye na Lowassa wameshindwa. Je, kuna mwingine?

    Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa Upinzani wa kweli na mpinzani wa kweli atatoka ndani ya CCM na kwamba bila CCM madhubuti nchi yetu itayumba. Alikuwepo Lyatonga Mrema, akaja Lowassa na Sumaye lakini upinzani bado ni shaghala bagala yaani tia maji tia maji. Hivi hii...
  17. J

    JamiiForums Tanzania 80% ya Watanzania waliokataa mfumo wa vyama vingi walikuwa sahihi, kizazi cha Upinzani wa kweli bado hakijazaliwa

    Ikumbukwe kuwa ni takribani 20% ya wananchi ndio walisema wanapendelea mfumo wa vyama vingi uanzishwe nchini na 80% waliukataa kwa madai kuwa kwa wakati ule taifa halikuhitaji na wala halina wapinzani wa "kweli". Baba wa taifa akasema wachache wapewe na wengi wasikilizwe, ndipo ukaanzishwa huu...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaorejea ndani ya CCM kutoka Upinzani watakiwa kutoleta makundi ndani ya Chama hicho

    KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, amewataka wanachama ambao walikihama chama hicho na hivi sasa wameamua kurejea wasiwe chanzo cha kuanzisha makundi ndani ya chama. KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, picha mtandao Amewataka wanachama wa CCM...
  19. JamiiForums Tanzania Waliohamia CCM kutoka upinzani watazeeka kwa aibu sana muongo ujao

    Ni jambo la kusikitika sana, ukitafakari siasa za Tanzania. Kitendo cha wanasiasa walioaminika na wananchi kwa kupigiwa kura kuhamia CCM kwasababu za kipumbavu kama wanazotoa ni jambo litakalohojiwa sana na vizazi vijavyo. Nadiriki kusema miaka kumi ijayo hawa WALIOHAMIA CCM watakuwa wazee ila...
  20. JamiiForums Tanzania Upinzani Bandia na Wapinzani bandia

    Linapokuja suala la siasa za upinzani hapa Afrika huwa niña kigugumuzi kwakweli.Hii inanirudisha mwaka 1992 wakati wa ile tume ya maoni ya wangapi wanataka vyama vingi na wangapi wanataka kuendelea na mfumo wa chama kimoja ambapo kwa mara ya kwanza Tanzania tulianza kuutumia mwaka 1965 baada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…