Uchaguzi 2020 CCM haifai, tatizo ni Upinzani hauna sifa za kutawala nchi. Inabidi tuvumilie tu

Zygot

JF-Expert Member
Apr 14, 2016
2,238
2,866
Hapa JF tunapigana vijembe na hasa watu wa CHDEMA wakijaribu kuonesha kwamba wao wako fit kuliko CCM na kwa ujumla hawazungumzii vyama vingine utadhani kweli nchi hii ni ya CCM na CDM. CCM wana udhaifu wa kuwa na viongozi ambao wanahangaikia kuiba na kujitajilisha na chama kuwa maficho ya watu waharifu. Kwa upande wa pili tuna tatizo la kukosa mbadala.

Hawa wanaojiita upinzani wako hoi, taaban. Hawajitambui kabisa na wengi wao hawajawahi kushika ofisi ya serikali. Ni vyama vilivyojaa migogoro ya kuibiana pesa, kubaguana ndani ya chama, makundi na ukabila wa wanaojiona wao ndo chama na wengine wamekaribishwa tu, rushwa ya ngono ili kupata vyeo, ulevi, kuuza madwa ya kulevya, kushitaki Ulaya na US ili kupata msaada, kukubali ushoga, n.k. Hizi ni dalili za kutojua maana ya diplomasia na jinsi gani serikali huendeshwa.

Ktk hali hiyo, hata kama CCM ni wadhaifu nani awaachie serikali ya mwaka 2020? Chama kama CDM kilikuwa kizuri kabla ya mwaka 1961 ingawa pia Nyerere alikuwa ana ufahamu wa serikali inavyoendeshwa na alijivunia u-Tanzania. Siyo hawa wanaojizungusha Ulaya na US ili kusaidiwa.

Je, Wanapewa masharti gani ya kusaidiwa?
 
UPUUZI MTUPU! Hiyo tathmini kwamba upinzani hauna sifa ya kutawala Nchi uliufanya lini na wapi? Na ulitumia vigezo gani kufikia hitimisho lako? Tuondolee UPUMBAVU wako hapa!
Upinzani ni debe tupu linalovuma upepo.

CCM ni imara kwa maendeleo ya Tanzania
 
Hata inapotokea msako wa tumbili aliyekwiba mahindi kwenye shamba la mjumbe, watatokea wanyama hawa miongoni mwao wataruka futi 60 na kudai wao sio tumbili bali ni kima, na tabia za wizi wanazo hao tumbili!!!

Tatizo ni pale huyo anayejiita kima anapojaribu kuelezea tabia za kima na tabia za tumbili manake mwisho wa siku mtu hana haja ya kuwa na shahada ya wanyama pori kufahamu kumbe kima ndo tumbili, na tumbili ndo kima!!
 
Wapinzani wanaonekana hawana maana sababu ya unyonge, unyonge unagharimu upinzani.
Hata pale wanapotaka kufanya kweli wanatokea wavurugaji, mwaka 2015 walipotengeneza ukawa Zitto alijiondoa.
Lakini hata pale wanapoweza kuvunja vyama vikabaki vyama viwili hawataki.
Baya zaidi wapo double agents wale hata katiba mpya watapinga tu.
 
UPUUZI MTUPU! Hiyo tathmini kwamba upinzani hauna sifa ya kutawala Nchi uliufanya lini na wapi? Na ulitumia vigezo gani kufikia hitimisho lako? Tuondolee UPUMBAVU wako hapa!
Bila hata kutumia neno upuuzi, hivi nawe unaamini TZ inaweza tawaliwa na chama kama CHADEMA? CUF?, ACT?, TLP? DP? nk. Hebu nichagulie chama unachoona kinaweza tawala TZ mwaka huu 2020. Hawa akina LIssu tulioona wanaingiza dada zao Bunge la katiba? Hawa akina Zitto walioingiza mama zao bunge la Katiba? Hawa akina Mbowe wanaoumia usiku wa ulevi ktk umri huo?
 
Kama Wapinzani hawafai ni kwa nini mnaendelea kuwa nunua na kuwapa Vyeo !?.

Kura za Maoni tumeona namna mlivyo wabeba hao hao mlio wanunua kutoka Upinzani.Usiwe na tabia za Panya kung'ata na kupuliza.
 
Wapinzani wanaonekana hawana maana sababu ya unyonge, unyonge unagharimu upinzani.
Hata pale wanapotaka kufanya kweli wanatokea wavurugaji, mwaka 2015 walipotengeneza ukawa Zitto alijiondoa.
Lakini hata pale wanapoweza kuvunja vyama vikabaki vyama viwili hawataki.
Baya zaidi wapo double agents wale hata katiba mpya watapinga tu.
JF ya miaka ile tulijadili mambo kama haya. JF ya leo inashabikia hata kama hakuna mantiki. Kuna mtu hapa JF aliuliza akitaka kuelezwa kama kweli hadi leo hii, mwaka huu, kwa mfumo huu wa nchi, kuna chama cha upinzani kinategemea kushinda uchaguzi? Wapo wapiga kelele kama hawana vichwa , wakaripuka! Wengi wao wako CHADEMA, wanaamini kila anayekosoa CDM ni CCM. Hata wabunge wao walipowakosoa, wao wakasema hameni kama munataka. Kuna umbumbumbu ndani ya chama kiasi kwamba huwezi kuwashauri. Ukweli hawatapata nafasi ya kushika dola.

Sasa wanasema tutaibiwa, ambao ni umbumbumbu pia. Kama unajua utaibiwa kwa nini uliingia kwenye uchaguzi? Unajua uwanja hauna magoli wewe unaingia na kupoteza muda wako kiasi hicho, huku ukijiandaa kulalama! Stupidity of highest order!
 
Kila mtu analia na lake. CCM ni system, Magufuli ni kiongozi wa system. Kipi unakiona hakifai. Kwa taarifa yako, ni kheri CCM mara 1000 kuliko kikundi cha wajasiriamali wachache wanaounda saccos pale Ufipa. Usipoteze kura yako, chagua JPM.
 
UPUUZI MTUPU! Hiyo tathmini kwamba upinzani hauna sifa ya kutawala Nchi uliufanya lini na wapi? Na ulitumia vigezo gani kufikia hitimisho lako? Tuondolee UPUMBAVU wako hapa!
Kwenye saccos kuna uongozi imara?. Mbona pesa za pigwa hakuna kuhoji?. Mbona mtu akitaka UENYEKITI ana timuliwa, mbona viti maalum mpaka watoe vitu maalum?. Aah kamanda, hakuna upinzani wa kuiondoa CCM kwa Sera gani walizonazo?. Watanzania sio watu wa kufanyiwa experiment za Ubelgiji hapa. Sisii twataka maendeleo tu. Kazi tu, kazi tu kazi tu. Jipangeni mje 2040.
 
Wapumbavu kama wewe ndiyo tatizo kubwa Nchi hii kwa kumvimbisha kichwa huyo KICHAA.

Ripoti UNDP 2019: Maendeleo ya Watanzania yamerudi nyuma kwa 25%

Kwenye saccos kuna uongozi imara?. Mbona pesa za pigwa hakuna kuhoji?. Mbona mtu akitaka UENYEKITI ana timuliwa, mbona viti maalum mpaka watoe vitu maalum?. Aah kamanda, hakuna upinzani wa kuiondoa CCM kwa Sera gani walizonazo?. Watanzania sio watu wa kufanyiwa experiment za Ubelgiji hapa. Sisii twataka maendeleo tu. Kazi tu, kazi tu kazi tu. Jipangeni mje 2040.
 
Wapinzani wanaonekana hawana maana sababu ya unyonge, unyonge unagharimu upinzani.
Hata pale wanapotaka kufanya kweli wanatokea wavurugaji, mwaka 2015 walipotengeneza ukawa Zitto alijiondoa.
Lakini hata pale wanapoweza kuvunja vyama vikabaki vyama viwili hawataki.
Baya zaidi wapo double agents wale hata katiba mpya watapinga tu.
Upinzani upi huo?. Huu wa kulalamika, na jazba juu?. Upinzani ulikuwa ule wa kina Dr. Slaa na Zitto kabla hamjawatimua. Hoja kwa hoja. Unyonge mnao wenyewe kwa kukubali kuwekwa mfukoni na kakikundi ka watu wachache. Fumbueni macho, muione Tanzania mpya yenye uchumi wa juu, juu, juu zaidi inayokuja. JPM, kazi tu.
 
Kichaa mwingine huyu hapa alikuwa na hadhi kubwa Nchini na ndani ya hicho chama cha wahuni, wezi na mafisadi lakini bila woga wala aibu alionyesha kutokuwa na imani na hiyo tume ya wahuni na majizi wenyewe mnaita Tume ya uchaguzi. Siku ukitia akili kichwani utaelewa tu ZWAZWA wewe kwa sasa kichwa kimejaa kamasi.

1600793465144.png

Vichaa kama ninyi huwa sijisumbui nanyi. Mko very blind, na mtalijua hilo mtakapo tumbukizwa shimoni na hao mabeberu pamoja na mwenyekiti wa saccos. Wewe hata kadi ya saccos huna, ila hapa jukwaani wajifanya mjanjaa. Fool
 
Back
Top Bottom