Uchaguzi 2020 CCM kuwaengua baadhi ya wabunge na madiwani wa vyama vya upinzani na baadaye Tume ya uchaguzi kuwarejesha kumewaongezea umaarufu maradufu wagombea hao

Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
14,056
2,000
Siyo siri kuwa hizi njama zilizofanywa na hawa wasimamizi wa majimbo, ambao ni makada waaminifu wa CCM, kuwaengua kihuni wagombea wa vyama vya upinzani, kwa wingi na baadaye Tume ya uchaguzi kuwarejesha, kutakuwa kumewaongezea umaarufu mkubwa hao wagombea wa upinzani

Ni lazima hivi sasa wananchi watakuwa na hamu mno ya kuwasikiliza hao "wahanga" walioenguliwa na hao makada wa CCM na baadaye kurudishwa na Tume ya uchaguzi ya Taifa, kwa ilichokidai kuwa sababu za kuenguliwa kwao hao wagombea wa vyama vya upinzani hayakuwa ya msingi

Hivi unaweza anza jiuliza ni "makosa" gani waliyoyafanya wakati wakijaza fomu hao wagombea wa upinzani hadi waenguliwe kwa maelfu nchi nzima, wakati hakuna hata mgombea hata mmoja wa CCM aliyeunguliwa?

Hivi hawa wagombea wa CCM "waliibia" majibu ya kujaza hizo fomu kwa usahihi wa asilimia 100, hadi waonekane "malaika" na hao wasimamizi wa uchaguzi maDED na wapitishwe kwa asilimia 100?

Hao wasimamizi wa uchaguzi maDED, ambao ni makada wakubwa wa CCM, ndiyo waliopewa jukumu nyeti la kuwa "fair" la kusimamia uchaguzi ulio huru na wa haki.

Hakika kama ni mtihani wameshindwa vibaya na kama siyo bosi wao Jiwe ndiye "aliyewaagiza" kufanya madudu yote haya, wangejikuta wamefukuzwa kazi Mara moja!

Kwa Bahati mbaya walifanya "rewind" ya kile walichofanya kwenye ule uchaguzi uliopita ambao ulivurugika wa serikali za mitaa, ambao "walilazimisha" wagombea wao wa CCM kuwa wameshinda na kutulazimisha kuwa ndiyo viongozi waliochaguliwa na wananchi kwa asilimia 99.9!

Sasa ndiyo tunaweza kuamini maneno yaliyotamkwa na Jiwe kwa wakurugenzi hao nanukuu "wewe Mkurugenzi ninakulipa mshahara mnono, gari la kifahari la kutembelea na nyumba nzuri ya kuishi, halafu nisikie kwenye eneo lako, umemtangaza mpinzani kashinda, ujihesabu kuwa umejifukuzisha kazi" mwisho wa kunukuu

Hivi sasa ndiyo tutatambua hivi vitendo vya hawa makada wa CCM ambao ndiyo wasimamizi wa uchaguzi namna vilvyo "backfire"

Hivi nyinyi maccm mnategemea hizo "cheche" atakazouunguruma nazo Maalim Seif huko Zanzibar baada ya kuenguliwa na baadaye kuejeshwa na Tume vitakuwaje?

Hivi unategemea na huyu "kibonge" Jacob mgombea wa ubunge wa Ubungo, hivyo vigongo atakavyoshuka navyo vitamuweka salama Dkt Mkumbo ambaye aliamini anateleza kiulaini kama vile yuko kule mteremko wa kule Kitonga?

Wahenga walinena kuwa mwisho wa ubaya ni aibu!

Kwa hiyo nyinyi maccm ndiyo mliolikoroga wenyewe, kwa hiyo hivi sasa muwe wapole na kulinywa!
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
2,170
2,000
Mkuu Unakesha Kama Popo.....Aiii kweli UMEDHAMIRIA....😂😂

Yaani Matokeo Yakija Tofauti...Sijui Utakuwa na Hali gani....😂😂😂

Naam Pambana Mkuu Wangu
 
Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
14,056
2,000
ACHA KUBWABWAJA HAPA KWANI CCM NDO TUME YA UCHAGUZIIII? MBONA WAPINZANI MUMEVURUGWAAAA??
Hivi nyinyi maccm mbona mnaogopa mno ushindani kwenye uwanja wa mapambano?

Si ndiyo nyinyi mlikuwa mnadai kuwa upinzani hapa nchini umekufa?

Hivi kama upinzani hapa nchini umekufa kama mnavyodai nyinyi wenyewe, hivi mngetumia nguvu yote hii kufanya hizo figisu figisu za kuwaengua kihuni wagombea wetu wa vyama vya upinzani?
 
Kiongozi mkuu2020

JF-Expert Member
Aug 8, 2020
780
500

JIBU SWALI KWANZA. KWANI NEC NI MALI YA CCM?
 
Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
14,056
2,000
JIBU SWALI KWANZA. KWANI NEC NI MALI YA CCM?
Kiongozi mkuu2020
Kwani wewe hujui?

Kama siyo Mali ya mali ya CCM, hivi inakuwaje watendaji wote wa Tume ya uchaguzi wawe wateule wa Mwenyekiti wako wa CCM?

Hebu nikuulize swali jepesi tu, mathalani kule kwenye soka, itokee mpambani wa Simba na Yanga, kwa mfano timu ya Yanga ndiyo imeteua kuanzia refa wa uwanjani na washika vibendera wote wawili wa pembeni, hivi unategemea timu ya Simba, ikubali na kupeleka timu uwanjani, huku ikiwa imeridhika?
 
Jibuswali kwanza acha kubwabwajaaa, JEE NEC NI MALI YA CCM?

To a jibu moja na pigia msitari acha porojoo
 
share

JF-Expert Member
Nov 22, 2008
4,974
2,000
Siyo siri kuwa hizi njama zilizofanywa na hawa wasimamizi wa majimbo, ambao ni makada waaminifu wa CCM, kuwaengua kihuni wagombea wa vyama vya upinzani, kwa wingi na baadaye Tume ya uchaguzi kuwarejesha, kutakuwa kumewaongezea umaarufu mkubwa hao wagombea wa upinzani

Ni lazima hivi sasa wananchi watakuwa na hamu mno ya kuwasikiliza hao "wahanga" walioenguliwa na hao makada wa CCM na baadaye kurudishwa na Tume ya uchaguzi ya Taifa, kwa ilichokidai kuwa sababu za kuenguliwa kwao hao wagombea wa vyama vya upinzani hayakuwa ya msingi

Hivi unaweza anza jiuliza ni madudu gani waliyojaza hao wagombea wa upinzani hadi waenguliwe, kwa maelfu nchi nzima, wakati hakuna hata mgombea hata mmoja wa CCM aliyeunguliwa?

Hivi hawa wagombea wa CCM "waliibia" majibu ya kujaza hizo fomu kwa usahihi wa asilimia 100, hadi waonekane "malaika" na hao wasimamizi wa uchaguzi maDED na wapitishwe kwa asilimia 100?

Hao wasimamizi wa uchaguzi maDED, ambao ni makada wakubwa wa CCM, ndiyo waliopewa jukumu nyeti la kuwa "fair" la kusimamia uchaguzi ulio huru na wa haki.

Hakika kama ni mtihani wameshindwa vibaya na kama siyo bosi wao Jiwe ndiye "aliyewaagiza" kufanya madudu yote haya, wangejikuta wamefukuzwa kazi Mara moja!

Kwa Bahati mbaya walifanya "rewind" ya kile walichofanya kwenye ule uchaguzi uliopita ambao ulivurugika wa serikali za mitaa, ambao "walilazimisha" wagombea wao wa CCM kuwa wameshinda na kutulazimisha kuwa ndiyo viongozi waliochaguliwa na wananchi kwa asilimia 99.9!

Sasa ndiyo tunaweza kuamini maneno yaliyotamkwa na Jiwe kwa wakurugenzi hao nanukuu "wewe Mkurugenzi ninakulipa mshahara mnono, gari la kifahari la kutembelea na nyumba nzuri ya kuishi, halafu nisikie kwenye eneo lako, umemtangaza mpinzani kashinda, ujihesabu kuwa umejifukuzisha kazi" mwisho wa kunukuu

Hivi sasa ndiyo tutatambua hivi vitendo vya hawa makada wa CCM ambao ndiyo wasimamizi wa uchaguzi namna vilvyo "backfire"

Hivi nyinyi maccm mnategemea hizo "cheche" atakazouunguruma nazo Maalim Seif huko Zanzibar baada ya kuenguliwa na baadaye kuejeshwa na Tume vitakuwaje?

Hivi unategemea na huyu "kibonge" Jacob wa ubunge wa Ubungo, hivyo vigongo atakavyoshuka navyo vitamuweka salama Dkt Mkumbo ambaye aliamini anateleza kiulaini kama vile yuko kule mteremko wa kule Kitonga!

Wahenga walinena kuwa mwisho wa ubaya ni aibu!

Kwa hiyo nyinyi maccm ndiyo mliolikoroga wenyewe, kwa hiyo hivi sasa muwe wapole na kulinywa!

Serikali zote za kidikteta duniani ndivyo zinavyofanya. Ni dhahiri, kwa matendo haya, Serikali ya JPM ni ya kidikteta. Bahati mbaya, hawajifunzi tu, madikteta wote na Serikali zao wameishia pabaya sana. Serikali hii nayo ijiandae kwa hilo.
 
Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
14,056
2,000
Kama una akili timamu unatakiwa ujiulize swali hao watendaji wa tume wamepatikanaje, je wasimamizi wa uchaguzi na wasimamizi wasidizi wamepatikanaje?

Hapo ndio utapata jibu la hilo swali lako.
Wamkopeka
Nashukuru umempa jibu zuri sana huyo kada wa Lumumba
 
share

JF-Expert Member
Nov 22, 2008
4,974
2,000
Hawa mapungu wa Lumumba wameambiwa na bashiru kujibu hoja mtandaoni basi wanajibu bila kutumia akili. Ujinga mtupu. Akili za kuambiwa changanya na za kwako. Mmekuwa vituko mtandaoni. Kama huna hoja kaa kimya, acha kuandika uharo. Buku 7 zinakuondolea heshima!!!
 
bulicheka 4

JF-Expert Member
Mar 22, 2020
610
1,000
Siyo siri kuwa hizi njama zilizofanywa na hawa wasimamizi wa majimbo, ambao ni makada waaminifu wa CCM, kuwaengua kihuni wagombea wa vyama vya upinzani, kwa wingi na baadaye Tume ya uchaguzi kuwarejesha, kutakuwa kumewaongezea umaarufu mkubwa hao wagombea wa upinzani

Ni lazima hivi sasa wananchi watakuwa na hamu mno ya kuwasikiliza hao "wahanga" walioenguliwa na hao makada wa CCM na baadaye kurudishwa na Tume ya uchaguzi ya Taifa, kwa ilichokidai kuwa sababu za kuenguliwa kwao hao wagombea wa vyama vya upinzani hayakuwa ya msingi

Hivi unaweza anza jiuliza ni madudu gani waliyojaza hao wagombea wa upinzani hadi waenguliwe, kwa maelfu nchi nzima, wakati hakuna hata mgombea hata mmoja wa CCM aliyeunguliwa?

Hivi hawa wagombea wa CCM "waliibia" majibu ya kujaza hizo fomu kwa usahihi wa asilimia 100, hadi waonekane "malaika" na hao wasimamizi wa uchaguzi maDED na wapitishwe kwa asilimia 100?

Hao wasimamizi wa uchaguzi maDED, ambao ni makada wakubwa wa CCM, ndiyo waliopewa jukumu nyeti la kuwa "fair" la kusimamia uchaguzi ulio huru na wa haki.

Hakika kama ni mtihani wameshindwa vibaya na kama siyo bosi wao Jiwe ndiye "aliyewaagiza" kufanya madudu yote haya, wangejikuta wamefukuzwa kazi Mara moja!

Kwa Bahati mbaya walifanya "rewind" ya kile walichofanya kwenye ule uchaguzi uliopita ambao ulivurugika wa serikali za mitaa, ambao "walilazimisha" wagombea wao wa CCM kuwa wameshinda na kutulazimisha kuwa ndiyo viongozi waliochaguliwa na wananchi kwa asilimia 99.9!

Sasa ndiyo tunaweza kuamini maneno yaliyotamkwa na Jiwe kwa wakurugenzi hao nanukuu "wewe Mkurugenzi ninakulipa mshahara mnono, gari la kifahari la kutembelea na nyumba nzuri ya kuishi, halafu nisikie kwenye eneo lako, umemtangaza mpinzani kashinda, ujihesabu kuwa umejifukuzisha kazi" mwisho wa kunukuu

Hivi sasa ndiyo tutatambua hivi vitendo vya hawa makada wa CCM ambao ndiyo wasimamizi wa uchaguzi namna vilvyo "backfire"

Hivi nyinyi maccm mnategemea hizo "cheche" atakazouunguruma nazo Maalim Seif huko Zanzibar baada ya kuenguliwa na baadaye kuejeshwa na Tume vitakuwaje?

Hivi unategemea na huyu "kibonge" Jacob wa ubunge wa Ubungo, hivyo vigongo atakavyoshuka navyo vitamuweka salama Dkt Mkumbo ambaye aliamini anateleza kiulaini kama vile yuko kule mteremko wa kule Kitonga!

Wahenga walinena kuwa mwisho wa ubaya ni aibu!

Kwa hiyo nyinyi maccm ndiyo mliolikoroga wenyewe, kwa hiyo hivi sasa muwe wapole na kulinywa!
Haya wamerudishwa Wakurugenzi wamebaki walewale nani atawalindia kura zao?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom