upinzani

  1. T

    JamiiForums Tanzania Jambo la CCM linateka attention ya nchi yote kuwa upinzani ni kupoteza muda na malengo

    Kama Kuna mtu unadhani uahitaji kuleta mabadiliko kwenye nchi hii Kwa kupitia uongozi wa kisiasa basi ufikirie kufanya hivyo kupitia CCM. Mimi si muumuni sana wa vyama ila ni muumuni wa uwezo wa mtu hivyo ninaamini kwamba mtu akiwa na uwezo mkubwa, akapata jukwaa kubwa ni rahisi sana kutekeleza...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia kata deal mapema na upinzani kabla ya mazito kuja!

    Nilishauri haya mwaka jana lakini naona kama Raisi anachukulia ukarimu wa Mbowe vibaya na kumweka kwenye wakati mgumu kwa kukaa mwaka mzima bila kuanza mchakato wa katiba. Jaji Mutungi hakuna mtu hata mmoja anamwamini !! Raisi Samia msifanye watu watoto ! Je Mnataka katiba au mnataka kufanya...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani vimekubali maendeleo hayana chama

    Wafuasi wa vyama vikuu vya upinzani nchini CHADEMA na ACT Wazalendo Mkoani Lindi wameungana na wenzao wa CCM pamoja na wananchi katika mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye anaendelea ziara katika mikoa ya Lindi na Mtwara. Wafuasi hawa wanajua ya...
  4. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Hata kikishika dola bado CHADEMA kitaendelea kuwa chama cha upinzani

    Je, CHADEMA ni CCM B? Hili ni swali nimejiuliza kwa siku kadhaa baada ya kutokea tukio la udhalilishaji huko Mara. Tukio lenyewe ni kada wa CHADEMA aitwaye Chacha Heche kumshurutisha kwa maneno ya hovyo mzee mmoja aliyekuwa akifanya kibarua kwa ndugu Chacha kwamba avue shati la CCM. Lilikuwa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Upinzani haipo Katiba Mpya bila kutoleana uvivu

    Nani asiyejua umuhimu wa katiba mpya? Nani anaweza kuthubutu kujipa jukumu hilo peke yake na kuwasusa wengine kwa sababu zozote zilizokwisha pita? Misahafu inasema ni furaha kuu mbinguni kwa mwenye dhambi mmoja akitubu. Hivi hata ya waungwana hatuyasikii? Nini tofauti ya ya chawa uchwara...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Taifa linapokuwa na chama cha upinzani kama CHADEMa ni wastage of money and resources. Wastage at full capacity.

    Wanahadaa umma kuwa wao ni strongest opposition party. Wanachangisha michango ya kila namna. Kidigital na ya kimanual. Wanakula mapato ya wananchi. Taifa lipo na matatizo lukuki. Wanaamua kulamba asali. Hawafai kabisa maana sio watetezi wa taifa letu. Haya lambeni asali sasa.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mungu Fundi; Baada ya kuwanyima wapinzani majukwaa, sasa CCM ndio wanafanya kazi ya upinzani na wanaofanya mpaka 2025

    Wao waliamini wakiwazuia wapinzani kufanya mikutano ya siasa na kukutana na makundi mbalimbali ya jamii, basi wao watakuwa salama kisiasa na upinzani utakufa/utadhhofika. Hata hivyo, kwa jinsi Mungu aliyokuwa Fundi, kapundia meza/mkeka kama walivyofanya Yanga kule Tunisia hivi karibuni. na...
  8. Msanii

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani anzieni hapa kuelekea kushika dola 2025+

    Kutokana na uhalisia wa kwamba Chama.Cha Mapinduzi kujikita kwenye siasa zenye malengo ya kuimaliza nchi ishindwe kuwa na uwezo wa kupata maendeleo ya kweli. Nimewaza sasa kutoa ushauri kwa vyama vya siasa hususani vya upinzani kuwapa mbinu za kufikia kutwaa dola kwenye chaguzi zijazo za...
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ni chama gani cha Upinzani kitakachoweza kuendesha vema nchi hii?

    Kama itakuja Kutokea, sio Kwa sababu Kuna Upinzani wenye wanasiasa Bora, La hashaaa!!. Itakua ni sababu Watanzania kutaka tu kuona Upinzani wataongozaje na kwa mantiki hiyo, DOLA, hautokaa kuliruhusu hili. (Upinzani wa Kusubiri vijitukio vidogodogo ndo usikike, Sahizi wanamjadili KIJANA...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Senegal: Kiongozi wa upinzani afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za ubakaji

    Ousmane Sonko, mwenye umri wa miaka 48, amefikishwa katika Mahakamani Jijini Dakar huku wakili wake akiitaja kesi hiyo kuwa ni njama yaSerikali na inapaswa kutupiliwa mbali. Mwanasiasa huyo aliyeshika nafasi ya tatu katika uchaguzi wa Rais Mwaka 2019, ameshaweka wazi nia yake ya kugombea Urais...
  11. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CCM wanaoutamani urais 2025 Wakinyimwa kugombea kutimkia upinzani na kujaza fomu za kugombea Urais

    Kuna wimbi limeanza kujinadi kuchukua fomu ya kugombea Urais kupitia CCM na kundi hilo linakubalika. Iwapo fomu ya kugombea Urais kupitia CCM itatolewa fomu moja ni wazi kuwa wagombea hao wataamua kuchukua fomu za kugombea urais kupitia upande wa pili. Wananchi walio wengi wamekumbwa na...
  12. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania CCM imechoka, imefubaa, imekata pumzi. Upinzani ume-surrender, Wananchi wamebaki peke yao

    Tuambiane tu ukweli. Kwa sasa Serikali ya CCM imeishiwa ubunifu wa maendeleo kwa wananchi. Imechoka sana. Miaka 60 haina ambacho imefanya cha maana. Ubunif umeisha imekuwa business as usual. Maji bado ni tatizo pamoja na mito na maziwa yote tuliyo nayo. Umeme nao tatizo....vyakula tatizo pamoja...
  13. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Laiti Hayati Magufuli asingeliua upinzani hiki kiburi cha kina Makamba kisingekuwapo

    Ni wazi matatizo yanayoikumbuka Tanzania kwa sasa ni matokeo ya Hayati Magufuli kuufifisha upinzani huku aliamini ni salama kwake hadi hapo angemaliza Utawala wake pasiwepo wa kumsumbua. ALIJIDANGANYA! Hayati Magufuli pamoja na mazuri yote aliyopata kuyafanya lakini hilo la kuufifisha upinzani...
  14. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania 2025 Tunahitaji wabunge wengi wa upinzani kuliko kawaida

    Haina ubishi nafasi ya Uraisi inaweza kuwa ngumu. Ila Kwa wabunge Chadema msituchezee akili tunahitaji watu wa kuisimamia serikali. Naona Zitto anajipambanua kama kinara wa upinzani Kwa Sasa lakini ni empty kabisa pandikizi la CCM Kila mtu anajua. Najua siku chadema wataanza mikutano ya...
  15. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Upinzani umeridhika na utendaji kazi wa Rais Samia. 2025 ni kama kumsukuma mlevi. Njia nyeupe ili aendelee kuchapa kazi

    Kwa ujumla sisikii hata ile minog'ono kuwa kuwa serikali ya CCM chini ya mama Samia haitekelezi inavyotakiwa ilani ya CCM. Kazi inaendelea kupigwa kwa nguvu. Miundombinu inaimarishwa na bila ajizi kila kona ya Tanzania miradi ya kuimaridha miundo mbinu inaendelea. Sekta ya elimu ndio iko...
  16. Abdalah Abdulrahman

    JamiiForums Tanzania Kinachouangusha upinzani Tanzania ni nidhamu

    Nidhamu ndio msingi wa maendeleo ya kila kitu duniani, ukitaka kuwa tajiri ni lazima uwe na nidhamu ya fedha, ukitaka kuishi vema kwenye ndoa yako ni lazima uwe na nidhamu katika mahusiano yako, ukitaka kuwa na chama chenye ushawishi mkubwa na chenye uwezo wa kukamata dola ni lazima viongozi na...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kura za Urais Tanzania kuanzia mwaka 1995-2020, upinzani na chama tawala

    Tangu kuanza kwa mfumo vyama vingi Tanzania mwanzoni mwa miaka ya 1990, mchakato wa kutafita Rais umekuwa ukifanyika tangu Mwaka 1995 na unaendelea kila baada ya miaka mitano. Tujikumbushe hali ilivyokuwa kwa chama kilichoshinda dhidi ya kura za jumla za wapinzani katika kiwango cha wastani...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani mjifunze kwa Zitto Kabwe

    ZITTO KABWE anafaa kua mfano kwa viongozi wengi wa vyama vya siasa maana anajua maana halisi ya upinzania, Upinzani haina maana upinge kila kitu bali ni kupinga yasiyofaa na yanayofaa kuyaunga mkono lakini wapinzani wengine wao wanapinga kila kitu kinachokuja mbele yao. Leo katika ziara ya...
  19. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mtanzania mwenye timamu anaweza kumsikiliza Nape. Ni mnafiki na hana credibility kujifanya ana huruma na upinzani

    Mmesahau zile sauti zilipodukuliwa? Mmesahau alivyojifanya kujipendekeza kwa hayati JPM na kuomba msamaha. Leo anajinasibu ni mwanasiasa msafi na anahuruma ya upinzani ili iweze kufanya mikutano. Huyu ni hyocrite politician mwenye roho mbaya. Ana huruma gani na upinzani. Kwa nini hakusema hii...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Upinzani wa Tanzania ni wa vimatukio, Rais Samia ameumaliza kisayansi

    Ndugu zangu upinzani wa Tanzania Ni mwepesi Sanaa, Ni Rahisi Sana kuupoteza na kuufifisha, ni rahisi sana kuumaliza, kuudhoofisha, kuusambalatisha, kuuvuruga, kuugawa na kuuweka mikononi mwako na kuutumia unapohitaji kufanya jambo fulani, hii ni kutokana na kwamba upinzani wa Tanzania haunaga...
Back
Top Bottom