upinzani

  1. J

    JamiiForums Tanzania Sukuma Gang acheni kuilaumu Chadema kuwa haikosoi Serikali, anzisheni chama chenu cha upinzani mukosoe na nyie

    Hawa Sukuma Gang kila kukicha ni kukosoa kuwa Serikali ya Samia ina ufisadi ila Chadema hawaikosoi Chadema wakikosoa tena hao hao utawasikia wakiiponda Chadema kuwa ni wapiga dili sababu walimpinga Magufuli Wakiipongeza Serika utawasikia wakisema wamelambishwa asali, yaani wapo kama kuku...
  2. Farolito

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Katiba iliyopo ina matobo ndio maana Viongozi kama Waziri wa Fedha wanalichezea Bunge. Viongozi wasiteuliwe bali wafanyiwe Usaili

    Wakuu, Leo tarehe 09.02.2023 Luhaga Mpina akihojiwa katika kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM amesema kwamba dharau anazoonesha Waziri wa Fedha Mwigulu Nchembe dhidi ya wabunge ni matokea ya matobo ya Katiba ambayo yanatakiwa kushughulikiwa. "Waziri anaulizwa maswali anajibu anavyotaka...
  3. ASIWAJU

    JamiiForums Tanzania Swali kwa upinzani: Je, tatizo lenu ni Magufuli au CCM?

    Ningependa kuwa karibisha wafuasi wote wa siasa za upinzani hapa nchini katika hili swali langu fupi kwa majibu yao. SWALI: Tatizo sugu la wapinzani wa hapa nchini je ni Magufuli na utawala wake wa awamu iliyo pita [ awamu ya tano ] au tatizo ni CCM yote ? KARIBUNI
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sio kweli kuwa CCM imesimika mizizi kiasi cha kutoachia dola. Bali hakuna upinzani madhubuti Zitto na Mbowe ni waganga njaa

    Hali ni mbaya sana kwa wananchi wa kawaida. Watu hawana hata uhakika wa kula. Leo hii nafaka zimepaa. Wananchi wanakosa hata pesa ya kupeleka shule na kununua sare. Maji mijini na vijijini yanapatikana kwa shida. CcM imefeli. Imefanikiwa kupandikiza mamluki ACT Wazalendo na CHADEMA.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Upinzani ujikite kutafuta viti vya ubunge na siyo kiti cha urais maana hicho ni cha CCM milele

    Ndugu zangu watanzania, Huo ndio ukweli wenyewe japo Ni mchungu na wakuudhi au kukasirisha au kukera au kuzichafua nyoyo za wapinzani, lakini ndio ukweli wenyewe wanaopaswa waujuwe na kuukubali tu,kiti Cha Urais wa nchi hii Ni Cha CCM Daima , Ni kiti kisicho jaribiwa Wala kufanyiwa majaribio...
  6. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa wa upinzani, Mwanasheria nguli, anatarajiwa kuwasili nchini. Hivi ni kweli Tundu Lissu bado ana ushawishi?

    Licha ya kuwa nje ya Tanzania kwa miaka mitano na ushei, ushawishi wake katika siasa za upinzani bado ungalipo. Kwa lugha nyingine ni kusema; makovu yake ya kisiasa hayajaondosha mvuto wake wa kisiasa mbele ya wafuasi wa chama chake. Tundu Lissu alisifika kwa ukosoaji dhidi ya serikali ya...
  7. Mystery

    JamiiForums Tanzania Kwanini vyombo vya habari bado vinaripoti kwa 'machale' taarifa za vyama vya siasa vya upinzani?

    Ni wazi kuwa Rais wa awamu ya 6, Dkt Samia Suluhu Hassan, ameondoa zuio haramu za kufanyika shughuli za kisiasa za vyama vya upinzani na hivyo kurejesha ukuaji wa kidemokrasia Kwa vyama vya upinzan hapa nchini, ambao ulikuwa umeminywa Kwa kiasi kikubwa Kwa zaidi ya miaka 6 ya utawala wa awamu ya...
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Hofu ya CCM kwa vyama vya upinzani ni ya kweli?

    CCM na hata Mwl Nyerere RIP hofu Yao kuu kwa vyama vya upinzani ni kuvurugika kwa umoja, amani na mshikamano wa watanzania, kuvunjika kwa muungano na vita ya wenyewe kwa wenyewe. Je, hofu hii ni ya kweli na dhahili? Je, wanasiasa wa vyama vya upinzani wanao uwezo wa kudumisha mshikamano...
  9. ASIWAJU

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni mwanasiasa bora wa upinzani kwa sasa

    Nimekuwa mfuatiliaji wa siasa za kitaifa na kimataifa kwa muda mrefu sasa. Taifa letu la Tanzania limekuwa na siasa za uonevu mkubwa wa haki za msingi kutoka kwa watawala kwenda kwa watawaliwa. Aina hii ya uonevu unao tendeka hapa nchini unao sababishwa kwa asilimia kubwa na watawala ambao ni...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini licha ya kuwa na Watanzania zaidi ya million 60 bado sura za viongozi wa upinzani ni zilezile?

    Hili swali huwa najiuliza sana pasi na kupata majibu. Niwaombe wanabodi kwa utulivu kabisa mnisaidie kujua nini kiini cha hali hii! Ni takrinani kwenye majimbo mengi yaliyowahi kuongozwa na wapinzani, ni walewale walioongoza huko nyuma wana nafasi kubwa sana ya kugombea tena hizo nafasi na...
  11. Mystery

    JamiiForums Tanzania Kuruhusiwa kwa mikutano ya kisiasa nchini nani kufaidika zaidi kati ya CCM na vyama vya upinzani?

    Kumekuwa na mijadala mirefu inayoendelea nchini, Kwa wananchi kujiuliza, hivi kuruhusiwa Kwa mikutano ya hadhara ya kisiasa, ni nani watakaofaidika zaidi, je ni CCM au vyama vya upinzani? Kwanza, kabla ya kutafakari ni nani atafaidika zaidi, tujiulize kwanza, nini chimbuko la kufungiwa Kwa...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Masharti ya mikopo yameikumba Tanzania, kupata mkopo sharti Makamu wa Rais atokee upinzani

    Asanteni wazungu juu yahili, naombea liwe ni kweli. Tulikuwa watoto mpaka tunataka kuzeeka, hatujawahi kuona nafuu ya maisha chini ya serikali inayoongozwa na ccm miaka zaidi ya 60. Maji tu yamewashinda, umeme ndio usiseme, suala la afya ni jambo la anasa kwetu, ukiuumwa na huna pesa, hata...
  13. Keynez

    JamiiForums Tanzania Ni lini maandamano ya upinzani yaliruhusiwa?

    Sekeseke la kisiasa limeanza kuibuka tena baada ya mikutano ya kisiasa ya hadhara kuruhusiwa. Moja ya mambo ambayo hayaepukiki katika siasa na ambayo ni mbinu nzuri ya uhamasishaji ni maandamano ya amani. Ukiacha yale maandamano yanayoibukaga tu baada ya mkutano wa hadhara hasa kipindi cha...
  14. S

    JamiiForums Tanzania CCM na Upinzani zingatieni amani

    Ni Msimu Wa siasa ndivyo tunavyoweza kusema, tangu mikutano ya hadhara ipigwe marufuku ni muda mrefu Sana. Lakini sasa busara imetumika kuruhusu siasa za majukwaani kuanza. Nasukumwa na uzalendo kuwaomba Wanasiasa Wa upinzani na chama tawala kuendesha siasa zenye tija na weledi ili Tanzania...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Nitakuwepo hapa kujibu hoja yoyote itakayoibuliwa na upinzani dhidi ya CCM kwa lengo la upotoshaji. Wapinzani jiandaeni maana nimejipanga vya kutosha

    Silipwi wala sijatumwa na yoyote lakini nimejitoa kwa moyo na akili yangu yote kujibu hoja yoyote itakayoibuliwa na upinzani dhidi ya CCM wakianza mikutano ya hadhara. Historia inaonesha majukwaa ya kisiasa huwa yanatumiwa kutengeneza siasa za chuki na upotoshaji na kwa kufahamu hilo sitamani...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Muda wa siasa za uhasama umekwisha

    Leo, Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki kilele cha matembezi maalum ya UVCCM ya kuadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar ambapo katika sehemu ya hotuba yake amewasisitiza vijana wa UVCCM kuachana na siasa za kuchokozana na ugomvi na hata ikitokea watakosolewa basi wajibu kwa hoja. "Zama za...
  17. Mystery

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya wasaidizi wa Rais Samia walimshauri asifanye maridhiano na CHADEMA?

    Kama tulivyomsikia majuzi, wakati anakutana na viongozi wa vyama vya siasa nchini huko Ikulu, Rais Samia Suluhu Hassan, alitoboa Siri kuwa haikuwa rahisi kufikia Maridhiano na chama kikuu Cha upinzani nchini Cha Chadema, Kwa kuwa pamoja na nia yake njema ya kuleta Maridhiano ya kisiasa nchini...
  18. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2025, Upinzani utajinyakulia viti vya kutosha Bungeni kama ilivyokuwa 2015, Endapo tu Samia atalazimisha Kusimama !!!

    Huku Kwa ground , mambo hayaendi, watu wana njaa ya Pesa, watu hawajaliwi Tena kwenye Taasisi za Umma, ongezeko kubwa la ujalifu mtaani, Viongozi wamekua na dharau zilizopitiliza, Ufisadi ukishamili. Kibaya zaidi kwenye Siasa, Makamba anawaponda Walokufa, kwamba Walokufa, Wana Roho mbaya, wao...
  19. ASIWAJU

    JamiiForums Tanzania MWL. J. K. Nyerere kuhusu vyama vya upinzani

    Habari za saa wanachama wote natumai ni njema . Kama kichwa cha mada kisemavyo "Mwalimu nyerere kuhusu vyama vya upinzani”. Ningependa kuwa karibisha wadau wote kutoa maoni na michango huru kutokana na mazungumzo mafupi katika video hii nilio weka hapa ikumuonesha Mwalimu Julius Kambarage...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani ni nani? Nina barua yake

    Wakuu heshima kwenu! Bila kuwa chosha ninaomba kujua Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani wa Bunge letu la sasa. Nina barua ambayo inapaswa kumfikia. Ninaomba msaada wa kumfahamu niweze kumfikishia.
Back
Top Bottom