DPP afuta kesi za Viongozi 6 wa Upinzani na kuahidi kuwaachia waandamanaji zaidi 200

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,379
8,123
haji-og_image.webp

Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP) wa Kenya, Noordin Haji amefikia uamuzi wa kuondoa kesi hizo katika Mahakama ya Sheria pamoja na kuahidi kufuta zaidi ya kesi 200 dhidi ya Wafuasi wa Azimio nchini kote.

Waliofutiwa kesi ni Mbunge wa Ugunja, James Opiyo Wandayi, Seneta wa Kilifi, Stewart Madzayo, Mbunge wa Kilifi Kusini, Richard Chonga, Mbunge wa Malindi, Amina Laura Mnyazi pamoja na George Yogo Obure na Esther Oromi ambao ni kati ya viongozi waliokabiliwa na mashtaka Mikusanyiko isiyo halali na uharibifu wa mali.

Uamuzi huo unakuja siku moja tangu Rais William Ruto amsihi Kiongozi wa Upinzani, Raila Odinga kusitisha Maandamano ili kupisha njia ya Mazungumzo kuhusu madai yao. Odinga alikubali ombi hilo na kusitisha Maandamano yaliyotakiwa kuendelea leo Aprili 3, 2023.

============

The Director of Public Prosecutions (DPP) Noordin Haji has withdrawn cases against six leaders allied to Azimio la Umoja coalition.

On Monday, DPP withdrew the cases at Kahawa Law Courts and promised to also withdraw over 200 cases against Azimio supporters countrywide.

Ugunja MP James Opiyo Wandayi, Kilifi Senator Stewart Madzayo, Richard Chonga (Kilifi South MP), Amina Laura Mnyazi (Malindi), George Yogo Obure and Esther Oromi are among the leaders who faced charges of unlawful assembly and malicious damage of property.

Lawyer Danstan Omari, who has been representing Azimio supporters in court said that those who appeared before Kibra and Makadara law courts will also be released.

“The court has accepted to release them and their bonds will be refunded. I thank the courts for being steadfast,” Omari said.

The lawyer added that the accused were not charged legally, and their freedom will bring peace and unity to the country.

While calling off mass protests on Sunday, Azimio leader Raila Odinga demanded the unconditional release of all who had been arrested in connection to the demonstrations.

CITIZEN DIGITAL
 
Back
Top Bottom