upinzani

  1. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Upinzani upo upo tu, CCM imejisahau sana

    Katika kipindi ambacho upinzani ungetakiwa kua na nguvu na kujiimarisha ni kipindi hiki ambacho Mafisadi waneongezeka kwa kasi kubwa baada ya Chuma cha Chato kulala. Ushahidi na Maneno ya Dkt Kigwangala kwamba kuna watu wananunua majumba ya gharama kubwa Osterbay na Dubai. Upinzani wetu...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Upinzani Nchini Zimbabwe ajiuzulu ndani ya Chama chake, adai kinatumika na Serikali

    Kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe Nelson Chamisa amejiuzulu, akisema chama chake "kimechafuliwa" na "kutekwa nyara" na serikali. "Sitakuwa na uhusiano wowote na siasa za maji taka," alisema katika taarifa ya kurasa 13 siku ya Alhamisi. Alipata takriban 44% ya kura katika uchaguzi wa rais wa...
  3. Mystery

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi vile vyama 13 vya upinzani, vilivyoamua kuungana na CCM, kuwapinga Chadema, wanajisikiaje hivi sasa baada ya kuona maandamano hayo yamefanikiwa?

    Baada ya Mwenyekiti wa Chadema kuutangazia Umma kuwa chama chake kinategemea kufanya maandamano ya amani jijini Dar tarehe 24 mwezi huu, kama kawaida viliibuka baadhi ya vyama, wakiongozwa na CCM kuyapinga maandamano hayo. Kwa mujibu wa Mwenyekiti Freeman Mbowe, maandamano hayo ya amani...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna chama cha upinzani

    Nimefuatilia kwa muda mwenendo wa siasa za hapa nchini na kugundua kuwa nchi haina chama cha upinzani hata kimoja bali ni hivi vyama vingine ni miradi tu kama miradi mingine ya utafutaji pesa. Siku sheria itakapofuta ruzuku za vyama na kuelekeza pesa hizo kwenye miradi ya kweli ya maendeleo na...
  5. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa hali inayoendelea mtaani, Makonda ndio akiba pekee ya CCM upinzani imara ukitokea

    Sio siri tena hali ya mtaani inazidi kuwa tete kwa wananchi na kama haitoshi hawaoni yeyote akiwatetea,zaidi ya kuwapendelea matajiri.Mifano wanayotoa ni:- 1. Bei za nauli zinapanda bila kujali maslahi ya wananchi kwa kisingizio cha kupanda mafuta,wanauliza mbona yakishuka bei hakuna...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Upinzani DRC waitisha maandamano Kupinga ushindi wa Tshisekedi

    Viongozi Watatu wa Upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) wameitisha maandamano Nchi nzima mnamo Januari 20, 2024 siku ambayo Rais Félix Tshisekedi anatarajiwa kuapishwa kwa Awamu ya Pili kuwa madarakani. Tshisekedi ameshinda uchaguzi kwa 73% ya kura, kulingana na Tume ya...
  7. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu ADC: Tulipanga kufanya maandamano kuunga mkono miswada ipitishwe kuwa sheria lakini CHADEMA wakatuwahi

    Katibu Mkuu wa ADC, Doyo Hassan Doyo akiwa kwenye mkutano wa vyama vya siasa vya upinzani ambao hawana wabunge amesema wao walikuwa wamejipanga kufanya maandamano ya muswada wa vyama vya siasa pamoja na Tume ya Uchaguzi irudi bungeni kwa mara ya pili na ya tatu ipite kuwa sheria lakini CHADEMA...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama CCM Itamsimamisha Rais Samia 2025, Mnaonaje Freeman Mbowe Awe Mgombea wa Upinzani? Atapiga Ndege 3 kwa Jiwe Moja, Atavuna Wabunge Wengi ila...

    Wanabodi! Japo mimi ni mwanachama wa chama cha siasa na sio Chadema, ila mimi ni political advisor mzuri tuu, nimeisha wahi kuwa hired kuwa a political advisor wa taasisi mbalimbali kubwa tuu za kitaifa na kimataifa ambaye kwa sasa naendesha kipindi kiitwacho KMT kinachorushwa na Kituo cha...
  9. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Kipi kinafanya Rasimu ya katiba ya warioba ikose uhalali kwa Serikali na CHADEMA na Vyama vingine vya upinzani kuipigia kelele kuhalalishwa?

    Kila siku huwa naipitia Rasimu hii nikijiuliza hasa ni kitu gani kinafanya inakosa Uthamani mbele ya Watawala na wapinzani au Ni neno Tanganyika lililosheheni kwenye katiba hiyo? Au Ni serikali Tatu zilizopo kwenye sura ya Sita na Saba ya katiba hiyo na Ibara ya 60 na kuendelea ya katiba...
  10. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Hoja zipi zinakufanya kuchagua au kutochagua CCM, pia ni hoja ipi inakufanya uone kuwa upinzani ni mbadala wa CCM?

    Demokrasia imetutupatia machaguzi mengi ila tunahitaji kufanya au kuchukua uamuzi ambao ni busara zetu pekee zinaweza kuamua mustakabali wa jamii yetu kwa sasa na hata kwa baadae Siasa ni maamuzi ya kisera ambayo yanayojumuisha uchumi,jamii na utamaduni hivyo kwenye siasa ndio uwanja pekee...
  11. Cheology

    JamiiForums Tanzania Tanzania upinzani unatia hasira

    Tanzania ni nchi safi sana kufanya clean politics. Wananchi wake ni wepesi kukufollow na ni wepesi kukuona mchumia turbo, mlafi na mazabizabina. Mpenda kula, mpenda biashara badala ya kutembea katika mstari wa utumishi. Ukiwa upinzani inabidi zaidi uwe mtumishi wa umma. Siasa kidooogo...
  12. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Vyama vya Siasa vya upinzani vijikite kuwaandaa wagombea mapema kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    Tunapoelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 ni vyema vyama vyote vya upinzani vitakavyoshiriki vikaanza maandalizi mapema kabla giza halijazama. Wote tunakumbuka uchafuzi uliofanyika katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 ambapo vyama vya upinzani vilipata pigo moja...
  13. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Nadhani kama Mbatia ,Mnyika na Lissu wataunda Chama basi hiki ndicho kitakuwa Chama halisi cha Upinzani

    Kiuhalisia ukitoa wana harakati kama kina Mdude ,Mwabugusi na wengine wachache nchi inabaki na watu wachache sana ambao ambao wazalendo wa kweli na mioyo yao kila siku hunena mema kuhusu Tanzania . Lisu , Mbatia na Mnyika ni moja ya watu makini sana na wazalendo Tatizo hawana nguvu za kichama ...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi DRC: Upinzani waandamana kupinga uchaguzi, polisi wafanikiwa kuwazima

    Polisi katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kinshasa imewazuwia waandamanaji kukusanyika siku ya Jumatano 27/12/2023, baada ya kuandamana dhidi ya uchaguzi wa hivi karibuni katika taifa hilo tete la Afrika ya Kati. Wanasiasa wakuu wa upinzani katika nchi maskini lakini yenye...
  15. Girland

    JamiiForums Tanzania Upinzani ndani ya Kanisa Katoliki - Maaskofu wapinga kauli ya Papa, Poland, Kenya na Malawi wapinga

    Baraza la maaskofu nchini Poland limekataa kutoa baraka kwa wapenzi wa jinsia moja. Hatua hii inaifanya Poland, Kenya na Malawi kuwa nchi zilizopinga agizo la kiongozi mkuu wa kanisa katoliki. SIJASIKIA kauli ya TEC, je, wanaunga mkono kubariki wapenzi wa jinsia moja au la? Au tuwaache kwanza...
  16. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Soma orodha ya viongozi waliofanya vizuri 2023. Wa upinzani pia wamo

    Kwa mamlaka niliyojipa nimeona nitoe orodha yangu ya viongozi nilioona wamefanya vizuri majukumu yao kwa taifa. Hii orodha inajumuisha viongozi kutoka upinzani pia. Sijamweka Mama Samia kwasababu isingewezekana viongozi wa chini yake kufanya vizuri kama yeye mwenyewe asingekuwa anaupiga mwingi...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais wa Madagascar kuapishwa licha ya Upinzani kususia Matokeo ya Uchaguzi

    Andry Rajoelina ambaye ni Rais wa taifa hilo ataapishwa leo Desemba 16, 2023 kuendelea na nafasi hiyo baada ya kushinda katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika huku kukiwa na madai ya Upinzani juu ya kuwepo kwa Ukiukwaji wa Haki na Uwazi. Rais huyo aliyeingia Madarakani mwaka 2009 baada ya Rais...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ukata watesa upinzani nchini

    Pamoja na kupiga kelele kwa muda mrefu kuruhusiwa mikutano ya kisiasa nchini, hatimae pumzi ya fedha imekata upinzani, hakuna hamu tena kufanya mikutano ya kisiasa. Pesa hakuna kabisaa. Hata mikutano ambayo wameshafanya tayari tena kwa kusuasua, bado haikua na mvuto, muitikio na mahudhurio ni...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tuombee upinzani Tanzania umoja, maelewano, kupendana, kuheshimiana kuaminiana na kusikilizana

    Afya, ustawi na kushamiri kwa Demokrasia, Haki, Usawa na Maendeleo yoyote duniani mathalani kiuchumi, kijamii au kisiasa, huchochewa sana kwa namna moja ama nyingine, na uwepo na msukumo wa upinzani imara wenye, sauti moja , nia moja, mipango madhubuti, lengo na uelekeo mmoja. Tumuombe Mungu wa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Taja jimbo unaloona linakwenda upinzani 2025 endapo Tume ya Uchaguzi itakuwa ya haki

    Natafakari upya kuhusu wabunge mzigo kwa jamii. Safari hii najiuliza majimbo gani yatakwenda upinzani? Wanasiasa wapya watakuwa akina nani?
Back
Top Bottom