kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,315
- 12,614
Wabunge na madiwani wa Kambi ya upinzani wakichaguliwa kwa taabu kubwa kisha kuhamia chama tawala wakiwa wabunge na madiwani hivyohovyo na kusababisha kufanyika kwa uchaguzi mdogo kunawauma sana na kuwakatisha tamaa wafuasi wenu waliowapigia kura, kuzihesabu na kuzilinda..
Huku ni sawa na kuwafanya mazuzu wapiga kura wenu. Kwakuwa haifahamiki ni mgombea yupi ataenda kuunga juhudi baada ya kuchaguliwa inaathili wagombea wote wa upinzani, wapiga kura hawana imani na wagombea wa upinzani, maana hawaamini kama wanaenda kuuunga juhudi burebure TU bila kupewa maokoto kwa maslahi yao.
Lazima hiyo iwe ni agenda kwenye vikao vyenu vya Siri na vya bayana. Msululu wa wagombea waliorudi CCM ni ndefu sana kiasi cha kuathili Imani ya wananchi kwa vyama vya upinzani.