Tanzania upinzani unatia hasira

Cheology

JF-Expert Member
Jun 25, 2022
323
502
Tanzania ni nchi safi sana kufanya clean politics. Wananchi wake ni wepesi kukufollow na ni wepesi kukuona mchumia turbo, mlafi na mazabizabina. Mpenda kula, mpenda biashara badala ya kutembea katika mstari wa utumishi.

Ukiwa upinzani inabidi zaidi uwe mtumishi wa umma.

Siasa kidooogo utafanikiwa.

Watanzania ni watu wazuri sana. Mtu mzuri anaweza bezwa ila sio mjinga hata kidgo. Ni Walpole na wenye sura wakati wote wanaona ni bora ibaki ccm pekee kuliko hii vyama, wengine wanakwenda mbalizaidi kwamba ni bora mkoloni yule German au Britain kuliko mkoloni mweusi.

Upinzani unakuwa kama unashindwa kucheza karata kudeal na serikali. Ni timu ambayo inafungwa magoli tu tangu mwaka 2002.

Natamani ccm ipambane imuondoe mkoloni mweusi aliye chamani upinzani unatia kinyaa.

Hata hiyo rudhuku hamstahili.

Mf.Kina halima mzee wameamua kwenda kula posho na kupiga domo bila kuwa na chama bora wangeanzisha chama.chao. bungeni wapo kama nani.

Prof lipumba kwanini hakai pembeni?

Mnapata nini huko chamani
 
Tanzania ni nchi safi sana kufanya clean politics. Wananchi wake ni wepesi kukufollow na ni wepesi kukuona mchumia turbo,mlafi na mazabizabina. Mpenda kula, mpenda biashara badala ya kutembea katika mstari wa utumishi.

Ukiwa upinzani inabidi zaidi uwe mtumishi wa umma.
Siasa kidooogo utafanikiwa.

Watanzania ni watu wazur sana. Mtu mzur anaweza bezwa ila sio mjinga hata kidgo. Ni Walpole na wenye sura wakati wote wanaona ni bora ibaki ccm pekee kuliko hii vyama, wengine wanakwenda mbalizaidi kwamba ni bora mkoloni yule German au Britain kuliko mkoloni mweusi.

Upinzani unakuwa kama unashindwa kucheza karata kudeal na serikali. Ni timu ambayo inafungwa magoli tu tangu mwaka 2002.

Natamani ccm ipambane imuondoe mkoloni mweusi aliye chamani upinzani unatia kinyaa.

Hata hiyo rudhuku hamstahili.

Mf.Kina halima mzee wameamua kwenda kula posho na kupiga domo bila kuwa na chama bora wangeanzisha chama.chao. bungeni wapo kama nani.

Prof lipumba kwa nn hakai pembeni?

Mnapata nini huko chamani
Hoja yako ni Nini hapa dogo?
 
Tanzania ni nchi safi sana kufanya clean politics. Wananchi wake ni wepesi kukufollow na ni wepesi kukuona mchumia turbo, mlafi na mazabizabina. Mpenda kula, mpenda biashara badala ya kutembea katika mstari wa utumishi.

Ukiwa upinzani inabidi zaidi uwe mtumishi wa umma.

Siasa kidooogo utafanikiwa.

Watanzania ni watu wazuri sana. Mtu mzuri anaweza bezwa ila sio mjinga hata kidgo. Ni Walpole na wenye sura wakati wote wanaona ni bora ibaki ccm pekee kuliko hii vyama, wengine wanakwenda mbalizaidi kwamba ni bora mkoloni yule German au Britain kuliko mkoloni mweusi.

Upinzani unakuwa kama unashindwa kucheza karata kudeal na serikali. Ni timu ambayo inafungwa magoli tu tangu mwaka 2002.

Natamani ccm ipambane imuondoe mkoloni mweusi aliye chamani upinzani unatia kinyaa.

Hata hiyo rudhuku hamstahili.

Mf.Kina halima mzee wameamua kwenda kula posho na kupiga domo bila kuwa na chama bora wangeanzisha chama.chao. bungeni wapo kama nani.

Prof lipumba kwanini hakai pembeni?

Mnapata nini huko chamani
Nimejitahidi kukuelewa nimeshindwa, nadhani hauko sawa kichwani
 
Ulichokiandika hata wewe mwandishi hukielewi
 
Back
Top Bottom