Upinzania Tanzania ujitafakari

olimpio

JF-Expert Member
Apr 5, 2023
402
834
Nchi yenye upinzani thabiti ni imara , na nchi ikikosa upinzani madhubuti italegea. Wapinzani wa Tanzania wamekua legelege sana, Nasema haya kwa sababu hizi:-

1.Wamekua wamatukio zaidi kuliko hoja
Leo umeme ukikatika wataongea kuhusu umeme week moja, baada ya hapo ikitokea vita Israel na Palestine ,watarukia habari hizo mpaka zikose mvuto. Hapa kama watanzania upinzani wa namna hii unatukosea.

Tunataka tuone mnachukua hoja moja mpaka mwisho , hawa wapinzani wa sasa hivi ,leo watadai katiba kesho Nape akiongelea VPN hao wanahama wanaanza kutukana , kesho kutwa moto Kariakoo haooo.
Yaan hawana consistency .Badirikeni 2025 mtahangaika sana.

2.Uongozi wao una migogoro mingi sana
Kumeibuka migogoro isiyoisha ndani ya vyama vya upinzani,mfano NCCR mpaka sasa wana gombana
Chadema kuna shida kubwa sana ya uongozi wa juu ambayo inafungwa fungwa , ACT Zitto ana wamanage kidogo vijana wake.

Tatueni shida za ndani ya vyama vyenu ili muingie mtaani kama kitu kimoja, Inaumiza sana kuona vijana wadogo kama akina Lema ,Sugu ,Mnyika wapo kimya kiasi hiki ,wanasubiri uchaguzi waanze harakati .Kipindi cha JPM kuna la kusingizia kwamba mlikatazwa mikutano ,sasa mnasingizia nini?

Miezi miwili mlizunguka kanda zote kwa sababu mlikua mnahubiri mambo ya bandari na katiba mpya ,sijui mmeishia wapi, mpo kimya , polisi hawawazuii ,wananchi wapo ,majukwaa yapo ,shida nini?

3.Viongozi wenu ni wahuni
Hili nalisema kwa uchungu sana , viongozi wengi wa upinzani ni wahuni wa madaraka.
Utasikia wanawahukumu Covid 19 ,hawa ni chadema ,kuwa walijipeleka bungeni how?
katika wabunge hao wana mama 19 wabunge karibu 7 ni maahawala na wake wa viongozi wakubwa ,Benson Kigaila mke wake kabisa ni mbunge wa viti maalumu, how comes?

Mnatuaminisha hamjui? Naibu katibu mkuu Salumu mwalimu ana mchumba wake aliyezaa naye ni mbuge wa viti maalumu,mnatuumiza sana wananchi na wananchama, tuwaelewe vipi?

Kaeni chini msameheane yaishe muanze upya .Watanzania wapo,majukwaa yapo njoeni na agenda safi watanzania watawapokea, CCM bila upinzani mizania itayumba , Upinzani imara unahitajika
 
Nchi yenye upinzani thabiti ni imara , na nchi ikikosa upinzani madhubuti italegea.
Wapinzani wa Tanzania wamekua legelege sana, Nasema haya kwa sababu hizi:-
1.Wamekua wamatukio zaidi kuliko hoja
Leo umeme ukikatika wataongea kuhusu umeme week moja, baada ya hapo ikitokea vita Israel na Palestine ,watarukia habari hizo mpaka zikose mvuto. Hapa kama watanzania upinzani wa namna hii unatukosea.

Tunataka tuone mnachukua hoja moja mpaka mwisho , hawa wapinzani wa sasa hivi ,leo watadai katiba kesho Nape akiongelea VPN hao wanahama wanaanza kutukana , kesho kutwa moto Kariakoo haooo.
Yaan hawana consistency .Badirikeni 2025 mtahangaika sana.

2.Uongozi wao una migogoro mingi sana
Kumeibuka migogoro isiyoisha ndani ya vyama vya upinzani,mfano NCCR mpaka sasa wana gombana
Chadema kuna shida kubwa sana ya uongozi wa juu ambayo inafungwa fungwa , ACT Zitto ana wamanage kidogo vijana wake.

Tatueni shida za ndani ya vyama vyenu ili muingie mtaani kama kitu kimoja, Inaumiza sana kuona vijana wadogo kama akina Lema ,Sugu ,Mnyika wapo kimya kiasi hiki ,wanasubiri uchaguzi waanze harakati .Kipindi cha JPM kuna la kusingizia kwamba mlikatazwa mikutano ,sasa mnasingizia nini?

Miezi miwili mlizunguka kanda zote kwa sababu mlikua mnahubiri mambo ya bandari na katiba mpya ,sijui mmeishia wapi, mpo kimya , polisi hawawazuii ,wananchi wapo ,majukwaa yapo ,shida nini?

3.Viongozi wenu ni wahuni
Hili nalisema kwa uchungu sana , viongozi wengi wa upinzani ni wahuni wa madaraka.
Utasikia wanawahukumu Covid 19 ,hawa ni chadema ,kuwa walijipeleka bungeni how?
katika wabunge hao wana mama 19 wabunge karibu 7 ni maahawala na wake wa viongozi wakubwa ,Benson Kigaila mke wake kabisa ni mbunge wa viti maalumu, how comes?

mnatuaminisha hamjui? Naibu katibu mkuu Salumu mwalimu ana mchumba wake aliyezaa naye ni mbuge wa viti maalumu,mnatuumiza sana wananchi na wananchama, tuwaelewe vipi?

Kaeni chini msameheane yaishe muanze upya .Watanzania wapo,majukwaa yapo njoeni na agenda safi watanzania watawapokea, CCM bila upinzani mizania itayumba , Upinzani imara unahitajika
Katika MAISHA Hakuna Mtu ambaye yupo kwa ajili yako au ambaye anabidi kuhakikisha hoja zako zinasikilizwa

Wewe ukiwa unahisi unaonewa unaweza kuandamana au kufanya press conference kupinga Jambo lolote .

Usiwe Mtu wa kulalamika utakufa Mapema kabla hata Ya Ahsubui ya leo
 
Nchi yenye upinzani thabiti ni imara , na nchi ikikosa upinzani madhubuti italegea. Wapinzani wa Tanzania wamekua legelege sana, Nasema haya kwa sababu hizi:-

1.Wamekua wamatukio zaidi kuliko hoja
Leo umeme ukikatika wataongea kuhusu umeme week moja, baada ya hapo ikitokea vita Israel na Palestine ,watarukia habari hizo mpaka zikose mvuto. Hapa kama watanzania upinzani wa namna hii unatukosea.

Tunataka tuone mnachukua hoja moja mpaka mwisho , hawa wapinzani wa sasa hivi ,leo watadai katiba kesho Nape akiongelea VPN hao wanahama wanaanza kutukana , kesho kutwa moto Kariakoo haooo.
Yaan hawana consistency .Badirikeni 2025 mtahangaika sana.

2.Uongozi wao una migogoro mingi sana
Kumeibuka migogoro isiyoisha ndani ya vyama vya upinzani,mfano NCCR mpaka sasa wana gombana
Chadema kuna shida kubwa sana ya uongozi wa juu ambayo inafungwa fungwa , ACT Zitto ana wamanage kidogo vijana wake.

Tatueni shida za ndani ya vyama vyenu ili muingie mtaani kama kitu kimoja, Inaumiza sana kuona vijana wadogo kama akina Lema ,Sugu ,Mnyika wapo kimya kiasi hiki ,wanasubiri uchaguzi waanze harakati .Kipindi cha JPM kuna la kusingizia kwamba mlikatazwa mikutano ,sasa mnasingizia nini?

Miezi miwili mlizunguka kanda zote kwa sababu mlikua mnahubiri mambo ya bandari na katiba mpya ,sijui mmeishia wapi, mpo kimya , polisi hawawazuii ,wananchi wapo ,majukwaa yapo ,shida nini?

3.Viongozi wenu ni wahuni
Hili nalisema kwa uchungu sana , viongozi wengi wa upinzani ni wahuni wa madaraka.
Utasikia wanawahukumu Covid 19 ,hawa ni chadema ,kuwa walijipeleka bungeni how?
katika wabunge hao wana mama 19 wabunge karibu 7 ni maahawala na wake wa viongozi wakubwa ,Benson Kigaila mke wake kabisa ni mbunge wa viti maalumu, how comes?

Mnatuaminisha hamjui? Naibu katibu mkuu Salumu mwalimu ana mchumba wake aliyezaa naye ni mbuge wa viti maalumu,mnatuumiza sana wananchi na wananchama, tuwaelewe vipi?

Kaeni chini msameheane yaishe muanze upya .Watanzania wapo,majukwaa yapo njoeni na agenda safi watanzania watawapokea, CCM bila upinzani mizania itayumba , Upinzani imara unahitajika
Naunga mkono hoja
P
 
Ukimwondoa Mchungaji Christopher Mtikila na Chama chake cha D.P. yaani Democratic Party.

Binafsi naona Wapinzani Wengi wa hapa Nchini wapo kwenye vyama kwa ajiri ya Vyeo na Ruzuku tu.

Kama Wapinzani wa hii nchi wangekuwa serious na kuleta mageuzi ya Kisiasa wangesha chukua Nchi.

Jambo hilo limepunguza sana idadi ya wapiga kura. Wengi wanaopiga kura wanapigia maslahi ya uwanachama wa Chama.

Kama Baba Nyumbani ni CUF Basi familia inaipigia kura CUF, ili kukidhi haja za Baba.

Wanachi wengi wanaojiandikisha kupiga kura wanataka vitambulisho vya kujitambulisha ukichukulia uwezo hafifu wa NIDA kutoa vitambulisho vya kitaifa.
 
Nchi yenye upinzani thabiti ni imara , na nchi ikikosa upinzani madhubuti italegea. Wapinzani wa Tanzania wamekua legelege sana, Nasema haya kwa sababu hizi:-

1.Wamekua wamatukio zaidi kuliko hoja
Leo umeme ukikatika wataongea kuhusu umeme week moja, baada ya hapo ikitokea vita Israel na Palestine ,watarukia habari hizo mpaka zikose mvuto. Hapa kama watanzania upinzani wa namna hii unatukosea.

Tunataka tuone mnachukua hoja moja mpaka mwisho , hawa wapinzani wa sasa hivi ,leo watadai katiba kesho Nape akiongelea VPN hao wanahama wanaanza kutukana , kesho kutwa moto Kariakoo haooo.
Yaan hawana consistency .Badirikeni 2025 mtahangaika sana.

2.Uongozi wao una migogoro mingi sana
Kumeibuka migogoro isiyoisha ndani ya vyama vya upinzani,mfano NCCR mpaka sasa wana gombana
Chadema kuna shida kubwa sana ya uongozi wa juu ambayo inafungwa fungwa , ACT Zitto ana wamanage kidogo vijana wake.

Tatueni shida za ndani ya vyama vyenu ili muingie mtaani kama kitu kimoja, Inaumiza sana kuona vijana wadogo kama akina Lema ,Sugu ,Mnyika wapo kimya kiasi hiki ,wanasubiri uchaguzi waanze harakati .Kipindi cha JPM kuna la kusingizia kwamba mlikatazwa mikutano ,sasa mnasingizia nini?

Miezi miwili mlizunguka kanda zote kwa sababu mlikua mnahubiri mambo ya bandari na katiba mpya ,sijui mmeishia wapi, mpo kimya , polisi hawawazuii ,wananchi wapo ,majukwaa yapo ,shida nini?

3.Viongozi wenu ni wahuni
Hili nalisema kwa uchungu sana , viongozi wengi wa upinzani ni wahuni wa madaraka.
Utasikia wanawahukumu Covid 19 ,hawa ni chadema ,kuwa walijipeleka bungeni how?
katika wabunge hao wana mama 19 wabunge karibu 7 ni maahawala na wake wa viongozi wakubwa ,Benson Kigaila mke wake kabisa ni mbunge wa viti maalumu, how comes?

Mnatuaminisha hamjui? Naibu katibu mkuu Salumu mwalimu ana mchumba wake aliyezaa naye ni mbuge wa viti maalumu,mnatuumiza sana wananchi na wananchama, tuwaelewe vipi?

Kaeni chini msameheane yaishe muanze upya .Watanzania wapo,majukwaa yapo njoeni na agenda safi watanzania watawapokea, CCM bila upinzani mizania itayumba , Upinzani imara unahitajika
Hatuna upinzani Tanzania, tuna upuuzi na ujinga tu over. Viongozi wengi wa upinzani hawajielewi! Akili zao ziko matumboni mwao.
 
"...wabunge karibu 7 ni maahawala na wake wa viongozi wakubwa" - Nukuu

Pamoja na kuzunguka kote katika kutaka kujenga hoja ndani ya mada yako, lakini ni dhahiri kuwa ulichotaka kukikazia ni kile ulichokihitimisha kupitia nukuu iliyopo hapo juu. Maisha ya kisiasa ndani ya vyama yanakutanisha watu ambao wanaweza kujenga mahusuano binafsi nje ya majukumu na wajibu wao ndani ya vyeo vyao vya kichama.

Hili ni jambo la kawaida kwa watu wazima wenye jinsia tofauti. Kama mtu yupo "single & available" inamzuia nini kuanzisha mahusiano hata kama ni kiongozi! Kundi la wanasiasa ni kama kundi la watu wengine awao wowote, wapo wenye maadili ya kidini, wapo wahuni, wapo wenye kujichunga sana na "scandals" za mapemzi hata kama wanashiriki, wapo wasiojali kitu hata kutembea na wanafunzi hasa wa vyuo vikuu, n.k.

Hawa wapo ndani ya vyama vyote wakiongozwa na viongozi wa CCM. Hata kama habari zao za mahusiano zinathibitiwa kwa usiri mkubwa, nani asiyetambua makahaba, mafisi maji, mabwabwa na wanzinzi waliojazana ndani ya CCM. Toka viongozi wa chini mpaka wa ngazi ya taifa wengi wao watoa na kuliwa papuchi mpaka!
 
Hatuna upinzani Tanzania, tuna upuuzi na ujinga tu over. Viongozi wengi wa upinzani hawajielewi! Akili zao ziko matumboni mwao.
Mkuu ukikaa ukatafakari kilichotokea kwenye uchaguzi uliopita, utawaelewa wapinzani! Wapinzani wametimiza wajibu wao. Je waliopo Bungeni na serikalini wametimiza wajibu wao? Je wapinzani wamezuia nini kufanyika?
 
Back
Top Bottom