Upinzani wanaipenda CCM, kama hawaipendi basi waanzie kukosoa sera za Hayati Mwalimu Nyerere

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,546
2,989
Historia ya Tanzania(Tanganyika) inatuonesha muasisi mkuu wa chama cha TAA hatimae TANU(CCM) ndiye Rais wa awamu ya kwanza wa nchi Mwalimu Nyerere ndiye yeye aliyeanzisha itikadi na falsafa za chama pamoja na utamaduni huu ambao tupo based.

Lakini napata mshangao kuona majukwaa ya upinzani wanatumia ideas za Nyerere wakati ndiye alifikisha nchi hapa kwa chama wanachokipigia kelele.

Alamsiki
 
Historia ya Tanzania(tanganyika) inatuonesha muasisi mkuu wa chama cha TAA hatimae TANU(CCM) ndiye Rais wa awamu ya kwanza wa nchi MWALIM NYERERE ndiye yeye aliyeanzisha itikadi na falsafa za chama pamoja na utamaduni huu ambao tupo based.Lakin napata mshangao kuona majukwaa ya upinzani wanatumia ideas za NYERERE wakati ndiye alifikisha nchi hapa kwa chama wanachokipigia kelele.walamsiki

Nyerere aliyeanzisha CCM asingekuwa CCM hii ya wezi na walamba asali
 
itikadi za Nyerere za ccm ile ni tofauti na hii ccm yako ya leo. Nyie wahafidhina mmeanza ehee.

Unataka kutuaminisha kuwa Nyerere angekuepo leo basi angebariki uteuzi wa kaka yenu Bashite?

lol....
 
kwani tatizo la sasa syo katiba?
 
Back
Top Bottom