upinzani

  1. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe amekiuza ACT Wazalendo, ameuza upinzani, ameiuza Zanzibar

    Hatua ya Zitto Kabwe kufanikiwa kuwapokea wanachama wa CUF karibu wote walioshusha tanga, ilikuwa turufu kubwa ya kisiasa kwa upande wake! Hatua ya pili ilikuwa ya kumuweka Othman Masoud Othman katika nafasi ya Makamu wa Kwanza wa Rais baada ya kifo cha Maalim Seif Shariff Hamad. Hapa Zitto...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali ya Guinea yamteua Kiongozi wa upinzani kuwa Waziri Mkuu mpya

    Jeshi linaloongoza Serikali ya Guinea limemteua Mamadou Oury Bah aliyekuwa kiongozi Mkuu wa Upinzani kuwa Waziri Mkuu siku chache baada ya Watu wawili kuuawa (Februari 26, 2024) baada ya Polisi kukabiliana na Waandamanaji wakati wa mgomo wa Wafanyakazi Nchini kote wakidai kupunguzwa kwa bei ya...
  3. JamiiForums Tanzania Naipongeza kambi ya upinzani iliyoko bungeni kwa sasa

    Watu wengi wa CCM hata upinzani wamekuwa waoga kujitokeza kuwapongeza wabunge wa kambi rasmi ya upinzani ikiongozwa na wabunge 19 wa viti maalum kupitia CHADEMA na mmoja wa kuchaguliwa CHADEMA. Mimi leo nimeona nijitokeze kuwapongeza kina mama hawa shupavu kutoka CHADEMA wanaoweza kujenga hoja...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayoweza kuipeleka CCM kuwa chama cha upinzani 2025

    Sisi wananchi ndo wenye nchi na sisi ndiyo tulioiweka CCM kwenye uongozi lakini kadri mambo yanavyoenda inaonekana CCM haitujali imelewa madaraka. Yafuatayo ni mambo yanayoweza kuipeleka CCM kuwa Chama cha upinzani 2025. (1) Ukosefu wa umeme. Hili ni tatizo. Umeme ni jawabu la asilimia kubwa...
  5. JamiiForums Tanzania TANZIA Kiongozi wa Upinzani Urusi na mkosoaji mkubwa wa Rais Putin, Alexei Navalny afariki dunia akiwa gerezani

    Mamlaka zimesema kuwa kiongozi wa upinzani nchini Urusi, Alexei Navalny, amefariki ndani ya gerezani la Arctic. Akionekana kama mkosoaji mkubwa wa Rais Vladimir Putin, Navalny alikuwa akitumikia kifungo cha miaka 19 kwa makosa yanayochukuliwa kwa kiasi kikubwa kuwa ya kisiasa. Alihamishiwa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nionavyo mimi: Changamoto za migongano anazokabilili Rais Samia ndani ya CCM ni kubwa kuliko anazokabili toka vyama vya upinzani

    Watu wengi wakisikia maneno ya kina Tundu Lissu , Mbowe na kadhalika, yakionyesha kutoridhishwa na raisi Samia katika majukumu yake kama raisi wa Tanzania, wanapata hisia kwamba watu wa upinzani ndio wanaomnyima raisi Samia usingizi wa usiku. Ukiwaza hivyo uko nje kabisa ya mstari. Changamoto...
  7. JamiiForums Tanzania Kinachowafanya wapinzani wasihangaike kuonesha wanafaa kushika uongozi ni sababu Makonda anawasafishia njia

    Friends and our Enemies, kindly go and listen the beautiful song of the late Lucky Dube ''Reap just like you sow''. Move ya wapinzani kuingia barabarani na kuandamana kwa Amani huku wakipewa ulinzi na vyombo na Dola kwa kiasi kikubwa imeonekana kama ni pigo kwao na ushindi Kwa CCM kwa kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania CCM wenye akili na vyama vya upinzani wote wamegoma kucheza ngoma ya Makonda

    Friends and our enemies, 'Anyone can become angry - that is easy.But to be angry with the right person,to the right degree,at the right time,for the right purpose,and in the right way - this is not easy.(ARISTOTLE,The Nicomachean Ethics). 'How you do anything,is how you do everything'...(Dante...
  9. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye akiwa anasonga ugali

  10. JamiiForums Tanzania Anayokutana nayo Makonda ziarani mikoani ni yaleyale ambayo yangetatuliwa kupita shule ya uongozi ya Humphrey Polepole bila matumzi makubwa ya fedha

    Katibu Mwenezi, Itikadi na sisa wa CCM Paul Makonda, yupo barabarani akizungukia maeneo mbalimbali ya nchi ambako amekutana na shida lukuki. Kuna shida zingine ni rahisi sana kutatuliwa bila kutumia nguvu wala migogoro. Shida zingine wananchi hukutana nazo kutoka kwenye idara za serikali...
  11. JamiiForums Tanzania Kizazi cha dhahabu katika siasa za upinzani Tanzania kilikuwa ni hiki hapa. Hawa wa sasa wamekata pumzi

    (1) Freeman Mbowe Yule wa mwaka 2005-2015, alikuwa mpinzani kweli kweli, chuma hasa hasa! Alikuwa mhimili sio tu kwa chadema Bali kwa vyama vyote vya upinzani. Kwa sasa amekata pumzi anapigania mkate na huruma ya watawala! (2) Maalim Seif Huyu hatuna mfano wake amekufa akiwa shujaa...
  12. JamiiForums Tanzania Waitara awataka Upinzani wahamie CCM

    Mbunge wa Tarime vijijini Mwita Waitara, amewataka wapinzani wahamie CCM kwa kuwa ni sehemu salama. "Niwaite na wale wote waliokwazwa ndani ya kile chama waje hapa ndiyo sehemu salama, huku unazungumza kwa uhuru walioko nje wamechelewa kuja, unamuona Profesa Kitila sasa hivi ni Waziri, Silinde...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuzungumze mipango ya Upinzani Tanzania kuelekea 2025

    Wanalenga nini hasa hili kundi? Kumuomdoa incumbet mamlakani? kwa hoja na mipango gani... Kupata nguvu na nafasi za kisiasa kwa kushiriki na kushinda uchaguzi? Je wanatumia mbinu na mtindo gani wa mawasilianao ya wao kwa wao na kuwasiliana na umma? Na je wanayo winning formular ya kushinda...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Politics is a strategic minds set- game; upinzani unatakiwa uwe na watu wenye high level ya intelligence na uzoefu wa manipulative strategies

    Yes, politics is a strategic minds set- game; playing around the mind set of the target audience. The strategy is to capitalize on the weakness (udhaifu na ujinga), njaa, shida na manyanyaso ya target audience; hata kama baadhi ya vitu hivyo ni wewe umevisababisha, once you win their mind set...
  15. JamiiForums Tanzania Upinzani upo upo tu, CCM imejisahau sana

    Katika kipindi ambacho upinzani ungetakiwa kua na nguvu na kujiimarisha ni kipindi hiki ambacho Mafisadi waneongezeka kwa kasi kubwa baada ya Chuma cha Chato kulala. Ushahidi na Maneno ya Dkt Kigwangala kwamba kuna watu wananunua majumba ya gharama kubwa Osterbay na Dubai. Upinzani wetu...
  16. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Upinzani Nchini Zimbabwe ajiuzulu ndani ya Chama chake, adai kinatumika na Serikali

    Kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe Nelson Chamisa amejiuzulu, akisema chama chake "kimechafuliwa" na "kutekwa nyara" na serikali. "Sitakuwa na uhusiano wowote na siasa za maji taka," alisema katika taarifa ya kurasa 13 siku ya Alhamisi. Alipata takriban 44% ya kura katika uchaguzi wa rais wa...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi vile vyama 13 vya upinzani, vilivyoamua kuungana na CCM, kuwapinga Chadema, wanajisikiaje hivi sasa baada ya kuona maandamano hayo yamefanikiwa?

    Baada ya Mwenyekiti wa Chadema kuutangazia Umma kuwa chama chake kinategemea kufanya maandamano ya amani jijini Dar tarehe 24 mwezi huu, kama kawaida viliibuka baadhi ya vyama, wakiongozwa na CCM kuyapinga maandamano hayo. Kwa mujibu wa Mwenyekiti Freeman Mbowe, maandamano hayo ya amani...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna chama cha upinzani

    Nimefuatilia kwa muda mwenendo wa siasa za hapa nchini na kugundua kuwa nchi haina chama cha upinzani hata kimoja bali ni hivi vyama vingine ni miradi tu kama miradi mingine ya utafutaji pesa. Siku sheria itakapofuta ruzuku za vyama na kuelekeza pesa hizo kwenye miradi ya kweli ya maendeleo na...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa hali inayoendelea mtaani, Makonda ndio akiba pekee ya CCM upinzani imara ukitokea

    Sio siri tena hali ya mtaani inazidi kuwa tete kwa wananchi na kama haitoshi hawaoni yeyote akiwatetea,zaidi ya kuwapendelea matajiri.Mifano wanayotoa ni:- 1. Bei za nauli zinapanda bila kujali maslahi ya wananchi kwa kisingizio cha kupanda mafuta,wanauliza mbona yakishuka bei hakuna...
  20. JamiiForums Tanzania Upinzani DRC waitisha maandamano Kupinga ushindi wa Tshisekedi

    Viongozi Watatu wa Upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) wameitisha maandamano Nchi nzima mnamo Januari 20, 2024 siku ambayo Rais Félix Tshisekedi anatarajiwa kuapishwa kwa Awamu ya Pili kuwa madarakani. Tshisekedi ameshinda uchaguzi kwa 73% ya kura, kulingana na Tume ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…