Upinzani DRC waitisha maandamano Kupinga ushindi wa Tshisekedi

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Viongozi Watatu wa Upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) wameitisha maandamano Nchi nzima mnamo Januari 20, 2024 siku ambayo Rais Félix Tshisekedi anatarajiwa kuapishwa kwa Awamu ya Pili kuwa madarakani.

Tshisekedi ameshinda uchaguzi kwa 73% ya kura, kulingana na Tume ya Uchaguzi, lakini matokeo hayo Wapinzani kadhaa wanadai kuna udanganyifu na wanataka Uchaguzi urudiwe.

Wito huo umetolewa na mmoja wa waliokuwa wagombea Moïse Katumbi ambaye kwa mujibu wa matokeo rasmi alipata 18%, wengine ni Martin Fayulu (5%) na Anzuluni Bembe (1%).

Wamedai kuwa kulikuwa na udanganyifu na ujazo wa kura katika uchaguzi huo.

####

DR Congo opposition calls for inauguration day protests

Three opposition leaders in the Democratic Republic of Congo have called for a nationwide protest on Saturday, when President Félix Tshisekedi is due to be sworn in for a second term.

He won last month's election with 73% of the vote, according to the electoral commission. But the result was condemned as a "sham" by several opposition candidates who demanded a rerun.

The call for a demonstration on Saturday was made jointly at an online press conference by Moïse Katumbi, who, according to the official results, came second with 18%, Martin Fayulu, who came third with 5% and Anzuluni Bembe, who got 1%.

They have alleged that there was fraud and ballot stuffing in the election.

But the leading opposition candidates declined to mount a legal challenge to the result and the Constitutional Court has validated Mr Tshisekedi's victory.

Source: BBC
 
yaani kisa umekosa Urais unataka Raia wakavunjwe viuno wakati huo atakayeumia hakuna chochote utamsaidia zaidi ya kuhangaisha familia yake.

aise ….
 
Back
Top Bottom