upendo

Upendo Ni Pamoja is an album by pianist Ramsey Lewis which was recorded in 1972. It was his first release for the Columbia label, after a decade with Chess Records in Chicago.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri kabla mwaka haujaisha tuwashike mkono wenye shida, Upendo na Maombi mtambuka

    Katika hali ya kuishi umungu ndani yetu na kumuishi mungu wetu, Kwa rehema zake tukajae mioyo ya huruma na upendo, tukawashike mkono enye shida mfano wagonjwa hospitalini Kwa chochote kile, iwe pesa, iwe chakula etc. Sambamba na hilo pia tusiwasahau wajane, yatima na wasiojiweza kama wenye...
  2. JamiiForums Tanzania Nishati ya Upendo wengi wanaipigania kufa kupona

    NISHATI YA UPENDO WENGI WANAIPIGANIA KUFA KUPONA Anaandika, Robert Heriel Ili uweze kuishi utahitaji pumzi, Pumzi ni nishati inayotuwezesha kuishi. Pumzi itokapo katika miili yetu maisha yetu yanakoma. Hata hivyo pumzi pekee yake haitufanyi tuwe hai. Zipo Nishati nyingine nyingi ambazo...
  3. JamiiForums Tanzania UKWELI MCHUNGU: Wazazi wengi hawana upendo wa kweli

    Anaandika, Robert Heriel Wazazi msiwape watoto wenu mzigo wa kununua upendo wenu kwa kuhangaika ili kuwapa pesa na mali. Upendo haununuliwi. Tabia ya kudai malipo kisa mliwasomesha au kuwazaa na kuwatunza huo ni uhuni. Kuwapenda watoto wenye vipato au wanaowapa vijizawadi ni dalili moja wapo...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Bwana yesu asifiwe! Wakuu natafuta mume ambae yuko serious kuishi na mie tufunge ndoa tuishi pamoja. Mimi ni mzaliwa wa kilimanjaro mwaka 1993 mkoani kilimanjaro. Nina Bachelor Degree ya Medicine niliyoipata Chuo cha Muhimbili na pia nina Masters Degree ya Medicine specialise kwa watoto kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenzi ambaye ni muhimu kuwa na sifa hizi

    Nina miaka 40+, elimu Shahada ya miaka 15 iliyopita. Nina shughuli zangu binafsi, naishi DSM, na wakati mwingine husafiri kwenye shughuli zangu za kikazi. Nahitaji mwenzi ambaye kadri tutakavyofahamiana ndivyo tutajua kama tunaweza kuwa wachumba au laah. Kwa maana tunahitaji kuamua kwa pamoja...
  6. JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kwa wazazi/walezi kuwabusu watoto wao mdomoni kama ishara ya kuonesha upendo?

    Salaam Wakuu, Leo nimekuja na huu mjadala ambao umechochewa na mambo kadhaa ninayoshuhudia au kukutana nayo mtaani. Binafsi ninaishi katika nyumba ya kupanga yenye watu wengi hivyo nashuhudia mengi hasa malezi na mahusiano ya watu wengi katika familia mbalimbali. Natambua kuwa ni muhimu sana...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Siri ya upendo anaooneshwa Rais Samia katika ziara mikoani ni uchapakazi wake

    Na Chacha Wangwe Jr Maelfu ya watanzania wanaojitokeza kumlaki Rais Samia Suluhu Hassan katika ziara yake Mikoani ni jambo la kuvutia lakini inapaswa ieleweke kuwa haya ni matokeo ya uchapakazi wake. Tuangazie mambo machache yanayopelekea Rais Samia kupendwa sana Mkoani Kigoma na Kagera; 1...
  8. L

    JamiiForums Tanzania "Udhati, Nia njema, Upendo, Matokeo Halisi", kama matanga ya kusukuma "Maendeleo" ya China na Afrika

    Mwezi Machi mwaka 2013, rais Xi Jinping alifanya ziara yake ya kwanza barani Afrika baada tu ya kuingia madaraka kama Rais wa China. Akiwa nchini Tanzania, alitoa hotuba yenye kichwa "Daima Tuwe Marafiki wa Kutegemewa na Washirika wa Dhati" wakati alipokutana na wenyeji wake katika Kituo cha...
  9. JamiiForums Tanzania Unataka kupendwa?

    Kama kweli unataka kupendwa na kuheshimiwa na watu fanya haya. 1) Jua thamani yako. Kujitambua 2) Jifunze kuzuia hisia zako. Husivauke, maamuzi sahihi yanapatikana kwakutokuwa na hasira wala shahuku/furaha 3) Husishobokee vitu vya watu. Iwe mke, gari, nyumba chochote kile acha shobo. 4) Jua...
  10. JamiiForums Tanzania Pesa imeshika hatamu kuliko upendo wa kweli

    Hii ni kotekote, upande ke na upande me huingia penzini kimasilahi hivyo inachangia sana mahusiano yatawaliwe na ugomvi na ndoa kutokuwa na amani, sababu mtu anaingia penzini akitarajia kitu fulani akikikosa ndipo anafungua makucha au akishakipata ndipo hufungua makucha. Shetani kasimama kidete...
  11. JamiiForums Tanzania Je, mapenzi ni upendo au ni tendo?

    Ebu leo tuzungumze ili je mapenzi ni upendo au mapenzi ni kitendo. Iko hivi mfano tuseme mapenzi ni upendo je mbona kuna mtu anaweza kuwa na mpenzi wake akaenda kusaka mpenzi mwingine hii ina maana je ana upendo na yule aliyenae? Labda tuseme mapenzi ni TENDO ndio maana mtu unaweza kwenda ata...
  12. JamiiForums Tanzania SoC02 Tuurejeshe upendo uliopoa

    UPENDO ULIOPOA Kuna aina nyingi za upendo ambazo binadamu tunajihusisha nao. Kwa sasa upendo ninaoutamani urejee ni ule upendo usio na sababu,upendo unaojali na kuthamini mazingira yote. Upendo unaothamini na kurejesha ubinadamu. Tujaribu kurejea maisha ya zamani yale ya mtoto wamjomba...
  13. JamiiForums Tanzania SoC02 Tuimbe wimbo wa amani na upendo kabla hayajatokea mauaji ya kikatili

    Ukatili ni hali ya kusababisha kwa makusudi mateso na kukosesha raha dhidi ya mtu mwingine,ilihali lipo suluhisho la wazi linaweza kupatikana kwa urahisi Unaweza kuwa ukatili wa kukatisha uhai wa mtu au mnyama, ukatili wa kingono , ukatili wa kunyima haki mtu ,kundi la watu au taasisi...
  14. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mzazi mlee mtoto kwa upendo kwa manufaa ya mtoto ya baadaye

    Habarini ndugu watanzania wenzangu Mimi Ni binti wa miaka 25 kwa sasa Ni mama wawatoto wa 4 na hapo niliolewa na miaka 14 chanzo ninaandika kuuchungu mkubwa sana Tena sana. Nilizaliwa wilaya ya hai mkoa wa Kilimanjaro na bw/bi festo na nimtoto wa pili katika familia ya watoto8 kiukweli...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutangaza ndoa, mchumba wangu kaniweka wazi ni single mother, upendo umeyeya nafikiri kumuacha

    Wakuu Nimekuwa na mahusiano ya takribani mwaka mmoja na mwanamke ninayempenda mpaka kufikia kuamua kutangaza ndoa Kila kitu kuhusu kutambulishana kilishafanyika kwao na kwetu, mahari pia nimelipa japo sijamaliza yote lakini wazazi wamebariki tuendelee na mchakato wa ndoa Huyu mchumba wangu...
  16. JamiiForums Tanzania Heshima kwa Brothers mliooa na mnaishi kwa upendo, amani na furaha katika ndoa zenu

    Wasalaam Wakuu, Basi tu nimeamka nawafikiria bros mliooa na mpo kwenye ndoa muda mrefu na ndoa zenu bado zina furaha na amani, heshima kwenu. Bros mlio kwenye ndoa hata kama zina wiki tatu ila bado mpo na furaha, amani, kuheshimiana, kusikilizana na kupendana, heshima kwenu. Bros ambao mpo...
  17. JamiiForums Tanzania SoC02 Amani na Upendo

    Kuna migogoro mingi duniani na inaweza kuwa vigumu kuiona kutoka nje. Jambo muhimu unaloweza kufanya ni kufikiria kile unachoweza kufanya ili kuifanya dunia kuwa mahali pazuri zaidi. Unaweza kuanza kwa kufanya mabadiliko madogo katika maisha yako, kama vile kufanya usafi na kutokuwa na takataka...
  18. JamiiForums Tanzania Upendo ni lugha ya vitendo sio ya maneno matupu, kama huamini mwambie mbwa I LOVE YOU kama atakuelewa

    Upendo ni jambo adhimu sana ambalo sisi wanadamu ni lazima tulifanye, sio tuliongelee tu. Mbwa ukimwambia I LOVE YOU hawezi kukuelewa. Ila ukimuonyesha upendo atakuelewa sana, na atakupenda pia. Je, huyo unayemwambia unampenda, je unamuoneshaje huo upendo? 1 KOR 13 Karama ya Upendo...
  19. JamiiForums Tanzania Kama una ushamba na wanawake fahamu haya

    Asilimia kubwa (zaidi ya 95%) ya wanawake wa leo wana wanaume zaidi ya mmoja. Usidanganywe na uzuri, dini, kabila, upole nk. Hivyo fahamu kuwa, kila demu anayelika unayekutana naye; ✍️Kuna wanaume wapya anakutana nao wanaomuwazia mipango ya kumfunua sketi, ✍️Kuna wanaume wengine anajuana nao...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Sura ya mtu huakisi hali ya moyo: Hii sura unaionaje? Ni katili iliyojaa chuki au ni ya upole iliyojaa upendo?

    Ni waziri wa mambo ya nje wa Ukraine-Kuleba.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…