Huu ni upendo, utu wema au mtego?

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,693
40,957
Nilikwenda mahali kupata huduma.

Aliyenipokea ambaye baadae nikaja jua kua ni mmiliki ni dada mmoja mrembo tu. Wakati naweka oda yangu tulipata wasaa wa kuzungumza kidogo. Nikapewa muda wa kwenda kuchukua bidhaa yangu. Sasa wakati wa kuichukua nikaona movements ambazo sizielewi na pia sura yake ili badilika kidogo mara moja nikahisi kutakua na tatizo.

Akaja pale na ile bidhaa yangu akaomba radhi na pia akanipa muda wa kuja kuichukua tena ikiwa imefanyiwa marekebisho. Siku nafika pale naikuta bidhaa yangu ipo sawa kama nilivyoagiza na akaandaa na nyingine tena kama ile. Kwakweli nilishangazwa maana kwa maisha ya sasa wema ule ulinishtua. Nikawa nawaza, huu ni mtego? Wema wake? Au labda ni upendo wa kuhitaji mahusiano?

Nilichukua kadi yake lakini nasita kumtafuta.
 
Nilikwenda mahali kupata huduma.

Aliyenipokea ambaye baadae nikaja jua kua ni mmiliki ni dada mmoja mrembo tu.

Wakati naweka oda yangu tulipata wasaa wa kuzungumza kidogo.

Nikapewa muda wa kwenda kuchukua bidhaa yangu.

Sasa wakati wa kuichukua nikaona movements ambazo sizielewi na pia sura yake ili badilika kidogo mara moja nikahisi kutakua na tatizo.

Akaja pale na ile bidhaa yangu akaomba radhi na pia akanipa muda wa kuja kuichukua tena ikiwa imefanyiwa marekebisho.

Siku nafika pale naikuta bidhaa yangu ipo sawa kama nilivyoagiza na akaandaa na nyingine tena kama ile.

Kwakweli nilishangazwa maana kwa maisha ya sasa wema ule ulinishtua.

Nikawa nawaza, huu ni mtego?? Wema wake?? Au labda ni upendo wa kuhitaji mahusiano ??

Nilichukua kadi yake lakini nasita kumtafuta.
Anha kumbe wewe ndio kale kajamaa kalikuwa kanalalamika

Usiwaze,sio mtego...tunathamini wateja wetu,hakuna la zaidi
 
Hiyo bidhaa unayotuelezea ni bidhaa gani? isijekuwa tunajadili habari za sado ya nyanya
Hapana mkuu sio nyanya.

Ila wema ule na ukata huu kwakweli nilihisi kuna jambo la ziada.

Maana hiyo nyingine ina ubora zaidi ya ile ya mwanzo.

Ni sawa uagizi kitu cha elfu 20 halafu upewe hicho na kingine cha elfu 30.
 
Mi nliwahi penda cadet kwa duka la mrembo fulani,ikaw ndogo nikaomba anitaftie ya namna ile lakini saizi yangu, ilichukua cku kuipata ko nlipata ka mara mbili tatu ivi, cku alivyoipata alinipatia hiyo cadet na staff jeans mpya, by the time ckuwa navaa staff jeans, na mimi ukarmu ule ckuelewa na nlivyoenda uliza bei nikaambiwa 38,na nguoa nliyonunua ni 28 nikashindwa elewa, bt in future I went back and bought 3 of them kutoka dukani kwake.. it's business tactics
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom