upendo

Upendo Ni Pamoja is an album by pianist Ramsey Lewis which was recorded in 1972. It was his first release for the Columbia label, after a decade with Chess Records in Chicago.

View More On Wikipedia.org
  1. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Njia ya kuongea na mwanamke ipasavyo ili afunguke kukwambia kila kitu

    Ili mwanamke afunguke kwako lazima ajisikie amani na usalama kwako. Wanaume wengi huwa wanawapotezea wanawake zao kwenye kuongea, ndio mana wanawake wao pia huwapotezea kitandani. Sababu mwanamke anaona haujali hisia zake. Njia hii ya kumfanya mwanamke aongee unaweza kuitumia kwa mama yako...
  2. Silivian

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anakulipia hela ya kunyoa, halafu anakwambia kuhusu kukaribia kuisha kwa kodi yake ya pango

    Mwanamke anakulipia hela ya kunyoa, halafu anakwambia kuhusu kukaribia kuisha kwa kodi yake ya pango. Anakununulia boxer na t-shirt, halafu anakukumbusha kuhusu zawadi kwenye siku ya kuzaliwa kwake. Anakununulia vocha, kisha anakwambia ubovu na kuichoka simu yake ya sasa. Sent from my TECNO...
  3. MzeeKipusa

    JamiiForums Tanzania Ifahamu siri ya kubwa ya ndoa

    Hamjambo wanangu? Kama mwanamke mpumbavu anao uwezo wa kuivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe, je, vipi kuhusu mwanaume mjinga, anaweza kuivunja ndoa yake kwa kutumia nini? Anyways, kutembea kwingi kuona mengi. Sasa nisikilizeni wanangu na wajukuu zangu; mwanamke katika ndoa anahitaji...
  4. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Fanya Hivi Kama Mwanamke Alikupenda Ila Sasa Amepunguza Upendo Kwa Kuwa Haukumjali Lakini Bado Unamuhitaji.

    Aidha ulikua unamchukulia poa tu au kazi zimekulemea kiasi kwamba mahusiano yakaterereka. Kipindi chote iko mwanamke huvumilia lakini akishachoka kuvumilia basi. Mwanamke hupenda taratibu vilevile upendo hupotea taratibu, na kipindi chote hiko hukupa ishara kwamba fanya mpango unijali la sivyo...
  5. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Kama mwanamke anakulalamikia haumjali kisa haumtumii ujumbe au kumpigia simu kila saa, mwambie hivi...

    Ukiwa na mwanamke asiyejiamini atataka umpigie na kumtext kila muda ili ajisikie kupendwa na aone unamjali. Mara nyingi wanawake ambao hawakupata upendo mzuri wakiwa wadogo hufanya hivo, kila muda wanataka wapetiwe wajisikie wanapendwa. Pia ukiona mwanamke anakukera kwa kutaka muda wote...
  6. Mr Sir1

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwaka ajitafakari. Upendo ukiisha ni busara kukubali kuachia na maisha yaendelee

    Kuna kipindi sisi wanaume huwa tunajipalilia maanguko yetu sisi wenyewe. Haijalishi umempenda mtu kiasi gani, ikifikia wakati upendo ukaisha ni busara kukubali kuachia na maisha yaendelee. Kupitia hili sakata la Mwaka na mke wake, Mwaka anaweza akahisi ameshinda, ila daima mwanamke sio wa...
  7. Izogi

    JamiiForums Tanzania Kuolewa ndio kipimo cha upendo?

    Kuna ile kwamba mwanamke akiolewa anajiona yeye ndo anapendwa zaidi kwakuwa kaolewa. Je, kuna ukweli katika hili? Hii mada haichagui jinsi, yoyote anaweza kuchangia.
  8. Silivian

    JamiiForums Tanzania Njia ya kuwa na mahusiano na mwanamke kwa urahisi

    Hiki ni kitendo rahisi sana cha kunasa hisia za mwanamke yeyote yule na kuchukua moyo wake pasipo yeye kujua. "Mpigie simu mara kwa mara kama sehemu ya kumjulia hali tu uone kama hatajaa mwenyewe." Hii mara nyingi huwa inafanya kazi kama mwanamke atakuwa single au yupo kwenye mahusiano...
  9. APPROXIMATELY

    JamiiForums Tanzania Je, kumpiga mwanamke,kwenye uhusiano kunaongeza heshima au kunavuruga upendo ndani?

    Habari zenu.... Katika maisha yangu nilijiapia sitakuja kumpiga mwanamke,mwanamke pekee niliyempiga tena kwa kumnyoosha ni mdogo wangu tu? Kipindi alikuwa anavunja ungo alikuwa asikii la mtu mimi ndo niliyemnyoosha kama nisingekuwa mimi ndo alikuwa anaenda kuharibu maisha yake kwa kubeba mimba...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Lema: Mateso, vifungo, kufilisiwa vimejenga upendo CHADEMA

    Siku chache zilizopita Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetimiza miaka 30 tangu kilipopatiwa usajili wa kudumu Januari 21, 1993. CHADEMA kimekuwa kikiimarika kila kukicha, licha ya kupitia katika wakati mgumu katika uendeshaji wake, licha ya changamoto hizo bado kimekuwa mioyoni...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Dkt. Mwaka yavunjika. Imemaliza upendo kabisa

    Baraza la Mashekh wa Mkoa wa Dar es Salaam Chini ya Mwenyekiti wake Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam limevunja rasmi ndoa ya Bi. Queen Masanja ambaye alikuwa Mke wa Dk. Mwaka leo hii Tarehe 25/1/2023. “Ndoa hii imepoteza malengo na makusudio hakuna upendo wala maelewano baina yao hadi sasa zaidi...
  12. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Bila upendo na umoja ni ngumu sana kuuondoa umaskini kwenye familia

    "Bora mtu baki kuliko ndugu" Hii ni kauli maarufu sana nyakati hizi kwasbabu ya upendo wa wanafamilia wengi kupungua baina yao. Wanafamilia wamekuwa hawapendani na kupelekea umaskini kuzidi kushamiri. Kwanza tujue kuwa bila familia imara hakuwezi kuwa na taifa imara. Mafanikio ya taifa yanaanza...
  13. kwisha

    JamiiForums Tanzania Wakristo tumefundishwa hivi kuhusiana na upendo

    Wakristo sisi tumefundishwa hivi; Mathayo 5:43-44. Mmesikia kwamba imenenwa, umpende jirani yako, na umchukie adui yako; 44 lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi. Ila sijui wenzetu wa upande wa pili wamefundishwa nini kuhusiana na upendo?!
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Amri Kuu Kuliko Zote ni Upendo! Mpende Mungu, Ipende Nchi, Wapende Viongozi, Mpende Jirani Yako Kama Nafsi Yako!. Jirani yako ni Nani?, Unampenda?

    Heri ya Krisimasi, Merry Christmas Sikukuu ya Krisimasi kwa mwaka huu imedondokea siku nzuri ya Jumapili! Hii ni Makala ya Jumapili ya Krismasi. Kwa mafundisho ya dini ya Kikristu, tuliyopewa na huyu Masiya aliyezaliwa leo, Bwana wetu Yesu Kristu, aliulizwa amri kuu kuliko zote ni amri gani...
  15. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Marafiki na ndugu yangu wananirudisha nyuma

    Habari, Katika maisha huwezi kukwepa kuwa na rafiki, lakini mimi hilo nimelikataa maishani mwangu kabisa; ila nina watu ambao tuna fahamiana sana. Lakini watu hawa wamekuwa kichomi kwangu, pindi napokuwa mimi nashida hakuna anaenisaidia na kuhisi mimi sina shida natania. Sasa siku mmoja...
  16. kwisha

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu weusi hatupendani kabisa?

    Ukiangalia vizuri tabia zetu sisi watu weusi Utagundua Mungu alikuwa ana sababu ya kubariki wenzetu weupe alafu sisi akatuacha. Watu weusi hatupendani kama wenzetu weupe. Watu weusi tuna wivu wa kijinga, katika siku hizi za karibu nchi kama USA, Canada, Sweden na nyingine nyingi zimekuwa na...
  17. whiteskunk

    JamiiForums Tanzania Wachaga kwenda Moshi December ni ishara ya upendo na mshikamano

    Ukitaka kujua Moshi kuna watu njoo mwezi huu, mitaa inameremeta kama maua. Huu utamaduni unaashiria wachaga ni kabila lenye upendo na mshikamano, na pesa ipo pia. Kipindi nasoma same boys watu wa kanda ya ziwa walikuwa hawaendi makwao likizo wanajibana kwa watu, kuja kuchunguza ndo nikaambiwa...
  18. ASIWAJU

    JamiiForums Tanzania Je, dini ni upendo au ni chuki? Vita na mauaji yaliyokithiri

    Habari za saa wanachama natumai ni njema. Mjadala wa leo kupitia maswali umejikita katika kufahamu,je upi msingi wa hizi dini zilizopo hapa duniani kwa sasa hasa hasa hizi dini kubwa tatu maarufu ukristo, uislam na uyahudi ni nini?. kutokana na wanayo ya hubiri na wanayo ya tenda. Ukiifuatilia...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kiapo cha Baba Mkwe; Upendo wa Baba Kwa Binti Yake; Moja ya sharti atakalompa Mkwe wake(atakayeoa binti yake)

    KIAPO CHA BABA MKWE; UPENDO WA BABA KWA BINTI YAKE, MOJA YA SHARTI ATAKALOMPA MKWE WAKE(ATAKAYEOA BINTI YAKE). Anaandika, Robert Heriel Hakuna atakayebisha kuwa Baba yeyote anaupendo mwingi Kwa mabinti zake. Halikadhalika, mabinti wengi huwapenda Baba zao zaidi kuliko Mama zao. Wakati kina...
  20. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Ushauri kabla mwaka haujaisha tuwashike mkono wenye shida, Upendo na Maombi mtambuka

    Katika hali ya kuishi umungu ndani yetu na kumuishi mungu wetu, Kwa rehema zake tukajae mioyo ya huruma na upendo, tukawashike mkono enye shida mfano wagonjwa hospitalini Kwa chochote kile, iwe pesa, iwe chakula etc. Sambamba na hilo pia tusiwasahau wajane, yatima na wasiojiweza kama wenye...
Back
Top Bottom