Mume wangu kaniambia kwa kuwa nina bima niende hospitali mwenyewe

katoto kazuri

JF-Expert Member
Feb 10, 2018
6,083
5,659
Eti nauliza mtu akitaka kujua kuwa huyu mume nilie naye ananipenda first of all nini kinamfanya mtu adhibitishe kuwa anapendwa.

Kwa maana leo badala ya mume wangu kunipeleka hospitalini ananipa hela yakwenda hospitalini. Naharaka hela hiyo hapo nenda hospitali siuna BIMA.

Basi kaishia .........Mapenzi niliyozoea kwenye hii miaka alikuwa ananipeleka hospitali nakutaka kujua hali yangu..... Ila kwa siku hizi mapenzi kwetu nikudharauliana kama hivyoo. Seriously mimi mama JJ leo nimeachwa mataa. Naumwa hapa sana .

Ila mwenzenu yupo busy. Siuna Bima seriously anakupa hela kama mfanyakazi wake so nimemzalia watoto ndio kazi nilikuwa nafanya kwake. Hii imenikeraa.

Goodmorning soon to be afternoon
 
Mmh! Make hapo kwanza ncheke! Kwani huyo Mumeo anaelekea wapi mpaka umgande muende wote ? Na huko anakokwenda , je , anaenda kufanya nini?

Sijasikia umesema? Ok, so kama anaenda kutafuta hela, imagine kama pesa zisingekuwepo katika ulimwengu huu, je angekuacha akasema anaenda shamba kulima ama?

Aki tena nakwambia mdogo wangu ukweli ni huu, Upendo unaangaliwa kwa vitu viwili tu (kwa nje ) UTU na kwa ndani HESHIMA.

Utu na Heshima havinunuliwi ama kuuzwa kwa pesa.

Ameshindwa kuthamini utu wako wala kuheshimu kilichomo ndani ya tumbo lako, ( if you don'gerrit , forgetabourrit )
 
Eti nauliza mtu akitaka kujua kuwa huyu mume nilie naye ananipenda first of all nini kinamfanya mtu adhibitishe kuwa anapendwa.

Kwa maana leo badala ya mume wangu kunipeleka hospitalini ananipa hela yakwenda hospitalini.
Naharaka hela hiyo hapo nenda hospitali siuna BIMA.

Basi kaishia .........Mapenzi niliyozoea kwenye hii miaka alikuwa ananipeleka hospitali nakutaka kujua hali yangu..... Ila kwa siku hizi mapenzi kwetu nikudharauliana kama hivyoo.

Seriously mimi mama JJ leo nimeachwa mataa .
Naumwa hapa sana .

Ila mwenzenu yupo busy. Siuna Bima seriously anakupa hela kama mfanyakazi wake so nimemzalia watoto ndio kazi nilikuwa nafanya kwake.
Hii imenikeraa .

Goodmorning soon to be afternoon
Nenda hospital usije ukafa we mwanamke.
 
Mkuu kwani ile nguo yako uliyonunuaga miaka 2 nyuma, bado unaipenda kwa upendo ule ule mpaka leo?
 
Mkuu kwani ile nguo yako uliyonunuaga miaka 2 nyuma, bado unaipenda kwa upendo ule ule mpaka leo?
Ndio ila sio sana ila naivaaga tu ili ivalike ila usifananishe material things na mwanadamu tena sisi.
 
Back
Top Bottom