upande

Boma Upande is a settlement in Kenya's Kilifi County.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara

    Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa kuwa wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara. Wanawake 1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770 2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764 3. Christina Solomon Mndeme Kura...
  2. Erick Mwijage alimwambia Djigui Diarra upande atakaopiga penati katika mchezo wa Yanga na Kagera sugar jana

    Ushahidi wa picha unaonesha Diarra akienda na kuinama kisha Mwijage naye akainama pale wakanong'onezana. Diarra alipangua penati ile nyepesi.
  3. Jinsi ya kupata masoko kwa upande wa Export Bandarini Dar

    Habari za saiz wapendwa samahanini nimemaliza chuo lakin nmepata kazi ambayo sijaisomea. Nimeitwa kwenye interview ya marketing officer kwenye bandari apa dar es salaam, upande wa Export lakin sifahamu jinsi gani naweza isaidia kampuni kuongeza masoko! Pia atakama nitapewa mafunzo na kampuni...
  4. Window gani nzuri kwa ajili ya fundi simu upande wa software?

    Wakuu naomba kujuzwa kati ya window 7 na 10 ipi ni nzuri kwa ufundi simu upande wa software ninazo box na sio crack
  5. Ni wakati sasa Jeshi la Wananchi lifanyiwe Maboresho makubwa upande wa Kamandi ya Wanamaji

    Kipindi cha Majanga ndicho kipindi sahihi zaidi cha kupima uwezo wa jeshi husika katika ubora na vifaa Zimetokea ajali nyingi za maji hapa Tanzania kuanzia Mv Bukoba, Vivuko Kigamboni, Zanzibar , Mwanza na sasa imetokea ajali ya ndege ziwani Bukoba Napenda tu kusema tuna jeshi la maji lisilo...
  6. S

    Soko la biashara ya dagaa kwa upande wa Dar es salaam nalipata vipi??

    Naomba msaada kuhusiana na biashara ya dagaa. Nataka nianze kufanya nanunulia mwanza nauza huku Dar lakini sijapata soko. Nalipataje soko, wazoefu naomba mnisaidie kwa hili.?
  7. Azam sports media Kwanini Mechi ya Jana CCM kirumba mlifunga kamera upande mmoja tu?

    Baada ya kuitazama Kwa makini mechi ya Yanga na Geita hapo Jana, niligundua ya kuwa Azam sports walifunga kamera upande wa magharibi tu wa uwanja na kufanya matukio makuu yasionekane Kwa ukaribu na usahihi. Azam media ni kampuni kubwa sana kushindwa kuwa na vifaa vya kutosha ni aibu. Tafadhari...
  8. Natafuta ndungu wa upande wa Baba Meck Msigwa

    AMANI ya Bwana iwe nanyi. Kama kichwa cha Habari hapo juu.natafuta ndugu wa Baba angu ambaye Alifariki kwa Ajali ya Gari miaka ya 1987. Alikuwa Akiitwa Meck Msigwa.alikuwa akifanya Biashara ya Mchele na Maharage kutoka Mbeya kwenda Dar. Mara ya mwisho alipata Ajali akiwa anasafirisha Maharage...
  9. Sio sawa kwa wazazi wenye pesa kuwaficha watoto wao upande mgumu wa maisha

    Maisha magumu hayanaga hodi, ni vema mtu uwe walau una maandalizi yake maana lolote laweza tokea. Kuna malezi haya ya dezo huwa naona ni hatari kwa watoto, ikitokea mara paap mzazi kafukuzwa kazi, biashara imeyumba, katoweka, n.k na hana ndugu wa kuendelea kumlea mtoto wake maisha ya dezo, basi...
  10. FT: Yanga SC 1-0 KMC | NBC Premier league | Benjamin Mkapa Stadium

    Karibuni katika mtanange huu wa kukata na shoka baina ya Yanga na Kmc utakaochezwa saa 1 jioni Estadio De Benjamin Mkapa. . Huu ni mchezo wa namba 69 wa Ligi Kuu ya NBC 2022/2023. . Yanga akiwa ni mwenyeji wa mchezo wa leo dhidi ya Kmc. . Karibuni Wakuu. ======= 01' Mtanange umeanza Benjamin...
  11. Ramadhan Mbwaduke ndio mchambuzi wangu bora kwa upande wa Tv

    Huyu jamaa ukimsikiliza kwa makini utagundua ana madini mengi sana. Anachambua mpira kwa data, uhalisia na ukweli. Huwa namfatilia sana kila jumapili pale AzamTv kupitia kipindi cha Sports AM chini ya Mahamoud Bin Zubery. Haya yaliyotokea jana kwa Simba, Azam na Yanga alishayaongea toka ratiba...
  12. M

    Kwa upande wangu huwa nawaona wanao zipinga dini za uislamu na ukristo kama binadamu walio firisika akili

    Kumradhi kama kuna ambaye nitamkwaza lakini huu ndio ukweli Watu wengi wamekuwa na kasumba hii...... Anauchukia uislamu ama ukristo kwa sababu tu asili yake sio Afrika na badala yake ni dini zilizo letwa tu At the same time anasema sijui dini zetu za asili tunazikataa na kuziona hazifai...
  13. Ni upi mustakabali wa sera ya kutofungamana na upande wowote (NAM)?

    Dunia inaenda kasi sana ! kihistoria dunia ina pande mbili kinzani yaani mrengo wa kulia na mrengo wa kushoto kisiasa,kiutamaduni,kiuchumi n.k Mwaka huu tunashuhudia mpamnano mkali kati ya pande hizo mbili. Hakuna anayeujua undani wa vita hii kwa jicho letu kama Tanzania zaidi ya historia...
  14. Uliza chochote kuhusu kuhama Chuo kwa upande wa vyuo vikuu

    Wanafunzi naomba muulize chochote kuhusu kuhama Chuo /vyuo vikuu .
  15. Napata maumivu makali sana kwenye magego ya upande wa kushuto, msaada wenu tafadhari

    Upande wa chini wa kinywa maeneo ya gego(meno makubwa) upande wa kushoto chini , ninapata maumivu makali sana , leo usiku sijalala kabisa , ni tiba ipi inafaa
  16. Kumvua uanachama Mbatia ni batili sababu kuna zuio la mahakama kwa upande wa wanaompinga

  17. M

    Uchambuzi: Upande mwingine wa online dating platform

    Brethren, NB: Msiniombe reference kwa vile huu ni uchambuzi na maoni binafsi mimi babu yenu kwa kushirikiana na marafiki zangu wa karibu (Hawapo JF), kwa lengo la kupeana tahadhari. Ni hivi; Utafiti ulioufanywa kwa miaka miwili mfululizo imegundulika huko mtandaoni ni mizaha mingi bila nia...
  18. ⛽Hivi Ushawahi kuazima gari au umenunua gari halafu hujui pa kuwekea mafuta [fuel tank cap] ni upande gani?

    Yani unaingia kituoni unapark gari uwekewe mafuta unajikuta umegeuza pump iko kulia wewe umeweka gari kushoto, Fuel attendant anakuona kama dish lako linayumba hivi hafu hakuelewi elewi. . Kuna wale wasee huwa hawataki aibu ndogo ndogo huwa wanashuka wanachungulia kwanza, Yani kabla hajafika...
  19. Airtel rekebisheni haraka hii changamoto ya vifurushi vya SMS

    Nianze na hili, Kwa shilingi elfu Moja unapata SMS za Wiki zipatazo 5000 na Kwa elfu 2 unapata SMS za mwezi 9000. Maajabu, Mmeweka Ukomo wa Kutumia SMS hizo, yaan Kwa siku Mteja wenu atumie SMS 300 tu, kiwe ni kifurushi cha wiki au mwezi. Tafasiri yake Kwa Mteja wa Kifurushi Cha wiki Sms...
  20. SoC02 Elimu ni mwanga ila kwa upande huu ni giza

    UTANGULIZI Elimu ni nini ? Ni ujuzi wa utambuzi wa jambo na uwezo wa kuwa na maarifa juu ya jambo fulani na kuwa na mbinu stahiki ya kuhamisha maarifa hayo katika utendaji yakaleta matokeo chanya kwa jamii. Sera ya elimu ya mwaka 2014 inaeleza katika Dira yake ni pamoja na kuwa na Mtanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…