Soko la biashara ya dagaa kwa upande wa Dar es salaam nalipata vipi??

SajMpambanaji

New Member
Nov 6, 2022
1
2
Naomba msaada kuhusiana na biashara ya dagaa. Nataka nianze kufanya nanunulia mwanza nauza huku Dar lakini sijapata soko. Nalipataje soko, wazoefu naomba mnisaidie kwa hili.?
 
Kwa anaehitji dagaa wa Nyasi tunapatikana MWANZA KIRUMBA MWALONI, mawasiliano yetu 0755213580
IMG_20221102_112024.jpg
IMG_20221105_102459.jpg
 
H
Naomba msaada kuhusiana na biashara ya dagaa. Nataka nianze kufanya nanunulia mwanza nauza huku Dar lakini sijapata soko. Nalipataje soko, wazoefu naomba mnisaidie kwa hili.?
Hakikisha unachukua dagaa wenye quality nzuri ili kujitengenezea wateja wengi na pia chukua dagaa wa nyasi.

Kwa wale wanao hitaji dagaa napatikana Mwanza kirumba Mwaloni.
Mawasiliano:0755213580
 
Back
Top Bottom