Wakuu nina shida, mwanzoni nilienda kwenye polyclinic nikaambiwa nina UTI kali, so nikachoma sindano tano nimezimaliza juzi.
Shida ni kua nikiwa nimelala, nikisimama ghafla nasikia maumivu makali yanayotoka kwenye upande wa sikioni kushuka kwenye bega upande wa kulia.
Na kitu kingine nikiwa...
Huyu jamaa Marques Brownlee ni kama Chief Mkwawa humu. Anaijua tech na kikubwa ni anajua kuifafanua. Video yake latest alikuwa anatoa result za upimaji wa ubora wa Camera kutokana na kura za watumiaji. Jionee.
Kuna wanaokuwa vizuri lakini tuwaangalie wale walioharibika
Husika na kichwa cha habari,
Katika wale vijana kuanzia miaka 15 ambao kimaadili wameharibika, ni kwanini wengi wamelelewa na single mothers?
Ukuaji wa technology pamoja na fild zake kama AI, robots, autonomous na IoT
Umeongeza fursa hasa upande wa M2M.
Kama unampango wa kua billionea miaka ijayo anza sasa, fanya research na kuona fursa zinazokuja na hasa kwenye nyanja ya M2M
NB: Founder wa openAI alianza kujifunza ML and AI...
Katika vitu ninavyoviona vya ajabu basi ni tuhuma zinazomkabili Keshas.
Keshas huduma zake kwa ujumla ni gharama sana, kupunguza tu tumbo tu peke yake ni laki 9 lakini cha ajabu kila kukicha wateja wanazidi kumiminika kwake kuanzia wateja wa kawaida mpaka wale V.I.P mfano mmojawapo ni Zari the...
Salaam, Shalom!
Askofu Gwajima ambaye pia ni Askofu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima duniani kote, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la kawe, amerejea msimamo wa Tanzania tangu uhuru wa kutofungamana na upande wowote katika siasa za Dunia.
Ameeleza hayo akiwa ibadani wiki kadhaa zilizopita kuwa...
Habari
Nauza kiwanja Kibaha kwa mfipa chenye ukubwa wa miguu 20 kw 19
Bei ni Tshs 3,500,000 maongezi kidogo yapo
Kiwanja ni changu mwenye, kipo sehemu nzuri na huo mtaa maji, umeme na huduma zote za kijamii zipo
Njoo nikuuzie umiliki kiwanja leo hii mana kadri siku zinavyokwenda ardhi...
Wagonjwa wana haki zao. Nchi nyingi duniani kama Denmark, Hungary, Japani, Marekani, Afrika Kusini na Uingereza wanayo maandiko ya kitaifa ambayo yanaainisha haki za mgonjwa. Maandiko kama hayo yanaelezea haki za kila mtu/mgonjwa anayehitaji huduma za tiba ili kulinda hadhi, utu wake na heshima...
Kushabikia Wayahudi au Waislam katika vita hivi ni matokeo ya ujinga wa maarifa.
Wayahudi na waislam wote hawamjui Yesu. Wananyozidi kuuana wanaongeza idadi ya watu wa jehanam.
Mkristo unatakiwa kuombea amani, na katika amani hiyo hao Wayahudi wasiomjua Yesu na Waislam wakiwemo hamas wasiomjua...
Walimuona Mwenyekiti wetu mstaarabu sana na mwenye upendo kwa watu wote, wapuuzi wale wakaanza kumkejeli kumdhihaki kumtweza.
yarabi Mwenyekiti hakulelewa kwenye malezi ya aina hiyo yeye akawa mpole tu, akazidi kuwapenda mara mbili zaidi, baadae ikaonelewa vijana wanawezana kwa vijana, acha...
MTOTO AKILELEWA NA MAMA PEKEE AU UPANDE WA MAMAAKE APEWE MAJINA YA UKOO WA MAMAAKE.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Nawaamrisha Binti wote wa Tibeli, Wajomba, na Babu na Bibi ambao binti zenu walizaa watoto kisha wakatelekezwa, wakaachwa, na Baba zao. Mkawalea ninyi wenyewe. Huku Baba zao...
Baada ya 1st leg kumalizika kwa Mamelody kuibuka na ushindi wa bao 1-0 leo ni mchezo wa pili wa marudiano.
Mechi inayarajiwa kuwa ngumu kwa dakika zote.
Muda wa mechi ni 21:00
Kikosi cha Al Ahly
Kikosi cha Mamelodi
Mchezo una kasi, Al Ahly wanapambana kutafuta goli la kusawazisha kwa kuwa...
Mwaka 2013, rais wa China, Xi Jinping, alitoa Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” (BRI), ambalo miaka 10 baadaye, limesifiwa sana na jamii ya kimataifa kama ‘mradi wa karne’.
Likiwa na mtandao mkubwa wa usafiri, nishati, na mawasiliano, unaolenga kuunganisha biashara za baharini na nchi...
Vita vya upande wa Gaza vimepata umaarufu kwa vile ni vya wazi na athari zake zinaoneshwa kwa ulimwengu mzima, lakini kumbe vita vinavyoendelea kimya kimya kule ukingo wa Magharibi na Mashariki ya Jerusalem ni vikubwa zaidi.
Eneo hilo miaka michache iliyopita lilikuwa ni ardhi kubwa...
Mataifa ya Ulaya na Marekani hayawezi kuja na msimamo wenye kauli ya kuitaka Israel kuacha mashambulizi wala mataifa ya Waarabu hayawezi kukiambia kikundi cha Hamas kuja na kauli ya kutaka wafanye mazungumzo ya amani kwa kuwa hata wao wangeguswa kama ilivyoguswa Israel na Gaza wangefanya kitu...
Kuna mzozo unaendelea kati ya Canada na India. Mzozo huu ulianza baada ya kiongozi wa Sikh, Hardeep Singh Nijjar, kuuawa mnamo Juni 2023 huko British Columbia. Waziri Mkuu wa Canada, Justin Trudeau, alitangaza kuwa kuna ushahidi wa kuaminika kwamba mawakala wa serikali ya India walihusika na...
Tena kwenye upande wa shetani wala hautahitaji Kumuomba kwamba unataka kujiunga na yeye, Yeye the moment unapo muacha Mungu yeye anajileta,
Kuamini Pekee kuwa Mungu yupo haitoshi, Fanya yafuatayo,
1. Zishike Amri za Mungu na uzifuate kama zilivyoandikwa katika Biblia bila kuacha hata moja na...