Reaction za mtu mkimya zina madhara sana tofautisha mtu mkimya na mpole, kuna jambo gumu na zito litatokea muda si mrefu stay tuned kuna upande utalia

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
1,399
3,910
Ogopa Sana kuishi na mtu mkimya asiye na maneno mengi watu wa aina hii huwa ni wavumilivu Sana na pia huwa na mioyo ya upendo lakini huwa hawapendi dharau

Watu hawa wakigundua una wadharau kitakachokuokoa usiwadhalilishe hadharani ila wakigundua kwamba unawadhalilisha hadharani na wakianza reaction zao huwa ni Mbaya sana na huwa zina madhara sana

Mimi nasema Upole wa Malkia wa kisiwa cha Mtrypol ni hatari Sana kwa wapinzani wa kisiwa hicho kuna Jambo litafanyika muda si mrefu kwenye hicho kisiwa litawaumiza sana wapinzani wa malkia stay tuned.
 
Mshaanza kuleta songombingo
 
Back
Top Bottom