uongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kumtambulisha Nusrat Hanje kama mwakilishi wa BAVICHA huko Nyamagana ni uongo wa wazi na ni kumdanganya Rais Samia

    Kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kumtambulisha Nusrat Hanje kama kiongozi wa Bavicha, na kwamba ule ndio uwakilishi wa vijana wa Chadema kwenye Mkutano wa Rais na Vijana huko Nyamagana Mwanza ni kumpiga changa la macho Mh Rais .BAVICHA haikuhudhuria mkutano huo na wala haikutuma mwakilishi...
  2. JamiiForums Tanzania Uongo wa Zitto Kabwe

    Fack check Supreme leader and Chief Advisor wa ACT Wazalendo Bw. Zitto Kabwe ameandika kwenye mtandao wa Twitter kua Tanzania haijawahi kutokea mkuu wa mkoa, RC ama mkuu wa wilaya DC kushtakiwa akiwa ofisini katika historia ya Tanzania. Zitto hua sio mwanasiasa wa kumuamini, wanasiasa wote ni...
  3. JamiiForums Tanzania Maafisa uhamiaji Walivyomtesa mtuhumiwa, Je, Sheria inawaruhusu?

    Nianze kwa kukiri huyu jamaa kama amedanganya kwa kile kinachosemwa amekosea na ni mtuhumiwa anapaswa aadhibiwe kwa mujibu wa Sheria. Lakini haya yanayofanywa kwenye hii video ni moja ya majukumu ya hawa maofisa waliomkamata huyu Jamaa? Je, tunafahamu athari zake ikiwa vyombo hivi vitaachwa...
  4. JamiiForums Tanzania Wilfred Mwalusanya Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Mbozi aachiwa huru baada ya kusota rumande kwa miezi 8

    Alikamatwa siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020 na kupewa kesi ya uongo ya kutakatisha pesa na Uhujumu uchumi kwa amri ya CCM na DPP Biswalo Mganga, ambaye jana ameapishwa kuwa jaji wa Mahakama kuu. Leo ameachiwa huru baada ya Mahakama kuona kwamba Mashitaka yake yalikuwa ya uongo , ya...
  5. JamiiForums Tanzania Kurudishwa pesa Simba vs Yanga ni uongo wa hali ya juu na haiwezakani

    Baada ya sintofahamu iliotokea siku ya jumamosi tarehe 8 palipo kua na mchezo mkubwa wa mpira wa miguu Simba vs Yanga, katika nchi ya Tanzania na Africa kwa ujumla baada ya mechi iyo kuota mbawa pasipo kua na sababu maalumu. Kichekesho kikubwa ni hiki kuludisha pesa kwa waliokata tiketi ivi huu...
  6. JamiiForums Tanzania Ninakemea uongo, uzushi na fitna kwa Rais Samia. Wote mnaokosoa hamtafanikiwa

    Leo imenibidi niliongee hili ili niae huru kwa maana moyo unauma kuona uongo uzushi chuki na fitna kwa Mama Samia. Ninaona ni kama watu wamejipa ajira ya kudumu ya kukosoa maraisi. Kukosoa sio dhambi Ila inategemea na unachokosoa. Hadi Sasa sijaona kama kuna jambo la kumkosoa Mama Samia...
  7. JamiiForums Tanzania Hii sinema waliikosea sana, huyu jamaa kulia kwa Dkt. Shika bila shaka alijua hela inayotajwa na Shika ilikuwa uongo mtupu, hebu mwangalieni

    Hawa watu hata namna ya kutunga uongo hawajui !
  8. JamiiForums Tanzania Nyalandu na uongo wake

    Kaka yangu Lazaro Nyalandu kama wajumbe walikua 30, Lissu akapata 24 ilikuaje ukamgaragaza? Hizi hesabu zako mbona hazifuati formula ya MAGAZIJUTO? Kama Lissu alipata 24 kati ya 30 it means wewe uliipata kura 6. Kwahiyo unataka kutuambia ulimgaragaza kwa kura 6? Halafu kwa maoni yangu nadhani...
  9. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Bukoba imemwachia huru aliyekuwa mgombea Ubunge Bukoba Mjini (CHADEMA), Chief Kalumuna na wenzake 6

    Tulionya Mapema sana kwamba Shetani hajawahi kumshinda Mungu katika lolote , na nadhani hata nyinyi wenyewe ni mashahidi, wote waliojipa uungu Mtu na kujimwambafai wanazidi kupukutika huku wengine wakiwa njiani. Video hii inaonyesha umati wa watu wa Bukoba wakishangilia baada ya aliyekuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Manukato/perfume yasababisha niachwe na mwanamke aliyenipenda

    Habarini za asubuhi bandugu zanguni hapa katika jukwaa poleni na mvua za Jana haswa maeneo ya jiji la Dar es salaam twende kwenye mada. Jana ndio siku rasmi niliyoachwa na mwanamke aliyenipenda sana hakika haikuwa siku nzuri sana kwangu mpaka sasa nimehuzunika sana. Ilikuwa ni hivi kuna binti...
  11. JamiiForums Tanzania CHADEMA wanajua kuwa ni waongo na hawamuogopi hata Mungu kwa kuongopa na wanautetea uongo kwa nguvu zote

    Chadema inajua kabisa kwamba uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ilishindwa kihalali kabisa lakini kwa tabia hizi hizi za uongo uongo siasa za utapeli utapeli wanataka kulazimisha na kuwaaminisha watu kuwa uchaguzi uliporwa hawa watu ni waongo sana na hawatakiwi kuaminiwa tena. Nilidhani baada ya...
  12. JamiiForums Tanzania Mabinti wa kisasa hebu acheni uongo usio na maana

    Habarini wadau. Naandika hii kitu hapa baada ya kukerwa na tabia za baadhi ya mabinti especially hawa wamjini ambao wameanza kurithi tabia zile walizokuwa nazo wanaume za "kuna hela na isikilizia" halafu baada ya dakika kumi utasikia "una elfu tano au kumi ya karibu hapo". Ipo hivi, kuna wadada...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu: Kusanyeni kodi kwa kutumia akili, sio nguvu

    Mheshimiwa Rais Mama Samia amemuonya Waziri wa wizara ya Fedha kuacha kutumia nguvu kwenye kukusanya kodi badala yake watumie akili. Mama Samia ameonya tabia ya Watendaji wa Serikali kutumia nguvu kukusanya kodi, kufungia biashara zao, kunyang'anya fedha kwenye akaunti kisa Sheria inawaruhusu...
  14. JamiiForums Tanzania TZ Trends & Analysis: Hoja 30 za The Economist Kumhusu President Samia. Kuna za Kweli, za Uongo na Uzushi na Kutaka Kumpangia Watakacho Mabeberu, Jee?

    Wanabodi, Salaam, Kati ya eneo gumu sana kwenye tasnia ya habari ni eneo la uchambuzi wa habari, news analysis. Japo Tanzania tuna vyombo vingi vya habari, na waandishi wengi wa habari, ni vyombo vichache ndio vina waandishi wenye uwezo wa kufanya news analysis. Kwenye print media ndio...
  15. JamiiForums Tanzania Long distance ni mapenzi ya uongo vijana acheni ujinga

    Wakuu Huwa nawashangaa sana watu eti ana mchumba yupo mwanza kikazi na yeye yupo Dodoma kikazi ...halafu wanadai eti wanaaminiana ..! Kiuhalisia wote wawili ni wachepukaji wazuri sanaa ila ukiwakuta wanaongea kwenye simu sasa "ooh nimekumisi hadi naumwa".. Huo uongo hata shetani anashangaa...
  16. JamiiForums Tanzania Uongo kuhusu ATCL ni tone tu kwenye bahari, Tumedanganywa mengi tu!

    Mambo sasa yanaanza kujianika kwenye mkeka wa uhakika. Ukweli unauzidi nguvu uongo kama mbegu inapochomoza kwenye udongo. Ukweli unaanza kutamalaki kama mashabiki kindakindaki au mwalimu na chaki. Tumedanganywa sana na kwa muda mrefu. CAG amemwambia Mhe. Rais kuwa ATCL imekuwa ikijiendesha kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Hivi hili Taifa tutaacha lini kupenda Umbea, Majungu na Uongo?

    Anaandika Paul Makonda katika mitandao ya kijamii Hivi hili Taifa tutaacha lini kupenda Umbeya, Majungu na Uongo. Na hata kama hakuna habari mbaya bado tunalazimisha tu ziwepo. Unaambiwa kabisa siyo kweli we bado unabisha tu ulazimishe ni kweli. Ona sasa ukitumia akili kidogo tu utagundua hata...
  18. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

    Yaani inaudhi tumepitia huku kila baada ya miezi kadhaa sijui wapi wanaombea au kumngojea Rais aumwe? Ili kiwe nini? Kama anaumwa vya kutisha mnasema, kama ni uzushi mnasema na hata kumwonyesha kama alivyofanyiwa Dr. Mpango. Nililisema hili hata wakati wa zile tetesi nyingine wakati ule. Rais...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amuonya Maulid Kitenge kwa uzushi wake usiovumilika

    Ni taarifa ambayo bado ya moto moto kabisa ya kama dakika 15 tu zilizopita Tumekuvumilia mara nyingi sana lakini kwa sasa uvumilivu umetushinda, Kwanini kila siku ni ww tu kuiongopea Simba mambo ya uongo? Unaitumia mara kadhaa @wasafifm kuelezea migogoro hewa kuhusu Simba na kutaka kuichafua...
  20. JamiiForums Tanzania Hiki Kigari Suzuki Swift nimekiona kina Uongo fulani tofauti na Nyenzie

    Nimetoka Airport nikawa nimeingia mandela road nimekamata hii barabara mpka riverside mbele yangu Kilikuwepo kigari kidogo aina ya Suzuki Swift. Aiseee huyu jama kakiwekea Uongo fulani hiki kigari mpaka nikawa nacheka. Gari inanesa utadhani Range Rover au Prado Mayai ninayoiendesha. Akipunguza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…