uongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Chongolo: Kazi ya siasa sio uongo bali ni kuombeana mema

    =AZUUWd1OU7Rl6vvdDQtiwHMSxmWBB8ij45C04oMwTuY3Udqu5PlqIE0kP2mmadVRrgnAYhcXxUHlxET6Hh9KgDEXWLPj4mHzw-2HDXNV4KApOz4YZCdwpuxXNul2E7DX6Xa6OeOddumzlq5XMxB-Jun9&tn=*NK-R']#NUKUU YA WIKI: Kutoka kwa Ndg. Daniel Chongolo Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi. "Kazi ya siasa sio uongo, majungu, fitina...
  2. Nelson Kileo

    JamiiForums Tanzania Ni uongo gani uliwahi kusingiziwa na ukakugharimu sana japo haikua kweli?

    Kuna visa fulani hivi mtu anakusingizia jambo la uongo kabisa na akalitengeneza linaonekana kweli kabisa kwa upande wa pili na kuleta mtafaruku mkubwa unafikia hatua ya kuharibu hata Undugu Kazi, Ndoa, ama Urafiki kabiaa. Kipi kisa Chako? Ni kwa namna gani au ukubwa upi kimekuharibia katika...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Cheki ya benki ya GSM to TFF ya uongo ya kitapeli, tumeibiwa Watanzania

    Binafsi namshukuru sana msemaji wa utopwinyo kwa kutustua wana simba kwamba Mo dewji kaitapeli FCC na simba sc baada ya msemaji huyo wa yanga kuitisha press conference iliyokuwa na ma banners yenye nembo za Gsm na Utopolo fc na kusema ile cheque ya Mo dewji ni ya kitapeli ni ya mfano lakini...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Waziri Godfrey Mwambe kama hauwezi kuthibitisha uongo wa Hayati Magufuli basi unapaswa kujiuzulu mara moja

    Inasikitisha sana! Tuna viongozi wa ajabu sana Nchi hii ! CCM iko wapi? Aliyelieleza Taifa kuhusu " madudu" ya mkataba wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo alikuwa ni Rais wa JMT, Amiri Jeshi Mkuu, Mkuu wa Nchi, Raia namba moja mwenye taarifa zote muhimu 24/7 kuhusu Nchi yake kuliko raia mwingine...
  5. Ngungenge

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apewe muda, hatumii uongo wala propaganda. Anakuwa Rais wa Kwanza kuleta maendeleo ya kweli

    Awamu ya tano kona kona zilikua nyingi na huu sio wakati wa kumlaumu yoyote, kila mtu anajua propaganda na uongo na maamuzi ya mtu mmoja yalitawala. Wanufaika wakatumia kila njia kuziba mifumo wananchi na kuwatisha kwa kila namna. Kama tukifatilia mienendo ya awamu ya tano ni Rais Samia na...
  6. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Uongo wa kiserikali umefika mwisho, tujisahihishe kwa Mbowe tujenge nchi

    Mwezi April 2021, Baada ya dakika chache tu ya kufariki Rais Magufuli aliyekuwa mfuasi kindakindaki wa hayati John Magufuli bwana Job Ndugai aliyeapa kumuongeza muda wa kutawala kidikteta Tanzania atake asitake, alimgeuka mchana kweupe na kulitangazia taifa kuwa serikali ya Rais John Magufuli...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Uongo na Ukweli Kuhusu TANESCO Kuzuiwa Kufanya Maintenance

    Kama ambavyo wadau mbalimbali wamekuwa wakisema mara kadhaa, Mkakati wa Taifa kuhusu uzalishaji wa umeme ulikuwa:- Yaani, malengo hadi kufikia June 2020, tulitakiwa tuwe tumezalisha 4,915 MW. Hiyo ni Performance Audit Report iliyotolewa na CAG March 2019. Hata hivyo, ripoti ya wizara inasema...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Tujipange zaidi kwenye kuuweka Uongo Peupe

    Yaliyojiri mahakamani leo yanaacha maswali mengi yasiyoweza kuwa na majibu Ni vipi athari za shauri kuangaliwa kwa upande wa mashtaka tu? Ni vipi Jaji kuwa mshauri wa upande wa mashtaka? Vipi maamuzi yanaegamia upande wa mashtaka tu? Haupo uwezekano kuwa shitaka hili limeshaamriwa tayari...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Huu ni utoto na ushamba. Hizi propaganda za uongo zinamsaidia nini Rais Samia?

    Inasikitisha sana kuna machawa pro max wa kiwango cha dunia, alivyokuwa new york wali edit screens za matangazo za Times Square, cha ajabu nini hadi mu edit? Si hela ilipwe tu tangazo liruke kwenye zile screens Ali Kiba, Diamond, Zuchu matangazo ya albamu zao yasharuka sana Sasa kubwa zaidi...
  10. C

    JamiiForums Tanzania FCC wanaweza kupokea malalamiko yangu kuhusu tangazo la uongo la Tigo?

    Nisaidieni ndugu zangu nikashtaki wapi hawa jamaa wa Tigo, FCC au mahakamani? Wana tangazo lao la kina Mkude Simba kwamba wameongeza mzigo kiasi kwamba mtu anakaribishwa pilau ila anasema subiri kwanza namaliza kuangalia movie maana Tigo wameongeza mzigo wa dakika na mb's Kwa nini tunafanyana...
  11. Guselya Ngwandu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mtu mkweli asiyeyumbishwa

    Juzi akiwa Chato, Rais Sami alishangiliwa sana alipoonesha kwamba anataka kuongelea suala la Chato kuwa mkoa. Angekuwa mtu wa kufuata kelele za kisiasa lazima angingia mkumbo halafu kichwakichwa aseme Chato ni mkoa. Hii sio mara ya kwanza kwa Rais wetu kuonesha wazi kwamba yeye ni mtu mkweli na...
  12. 2019

    JamiiForums Tanzania January Makamba acha uongo na unafiki, maneno yako kuhusu umeme huyatekelezi

    Sijajua rais Samia alimpendea nini. Nakumbuka siku ameingia ofisini alisema umeme ukikatika meneja wa eneo hilo hana kazi. Jambo la kushangaza toka ameingia ofisini umeme umezidi kukatika kuliko alivyokuwa Kalemani. Mbagala kila umeme unakatika bila hata taarifa sijasikia meneja kafukuzwa kama...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Muungano, Makamo wa Kwanza wa Zanzibar, Adai ni Zanzibar Pekee iliyopoteza Sovereignty, Je Yuko Sahihi?

    Wanabodi, Wale wenye access na Plus TV, watch now kipindi cha Uso kwa Uso, Makamo wa Kwanza wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman asema uongo wa wazi wa mchana kweupe kuhusu muungano wetu. Mhe. Masoud anadanganya u kuwa Tanganyika na Zanzibar tulipoungana, ile 1964, ni nchi moja tuu ya...
  14. BAK

    JamiiForums Tanzania Eti Mbowe alitoa laki 6 kufadhili ugaidi. Seriously?

    Kabla ya Mbowe kusomewa mashtaka, watu waliipa Jamhuri "benefit of doubt" kwamba huenda ina ushahidi wa maana. Watu wakahisi labda Mbowe ana uhusiano na makundi ya kigaidi kama Al Shabab, Al Queda, Boko Haram etc na pengine anapeleka vijana huko kwa ajili ya mafunzo. Hayo ndio yalikua matarajio...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe na Wenzake: Polisi Wazuia watu kuingia kufuatilia, Mawakili wa Utetezi watoka nje. Kesi yarejea na kuahirishwa mpaka 17 Sept

    Freeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku. Askari magereza wanalalamika kwamba jana tumefanya...
  16. Nawatania

    JamiiForums Tanzania Rais atoe taarifa za kweli juu ya tozo na fedha za IMF

    Rais Samia awe makini kukwepa kusema uongo mbele ya umma Rais Magufuli alipenda propaganda ndio maana watu werevu walimchoka mapema kwa propaganda Alichukua pesa za michango ya rambirambi Bukoba na kwenda kufanyia mambo mengine kabisa. Mara tunajenga kwa pesa zetu Sasa na Samia ameanza...
  17. britanicca

    JamiiForums Tanzania Uongo wa Serikali ya awamu ya 5 chini ya Dkt. John Pombe Magufuli utawatesa sana Marais watakaofuata na Samia akiwa miongoni

    Tukubaliane Jambo moja la ukweli na uwazi Tanzania haijawai Pata Rais mpika takwimu na kujiaminisha Kama alivyokuwa hayati Magufuli!! 1. Tanzania tuliambiwa makusanyo ya TRA ni 2 Trillion per month ila Kwa uhalisia haikuwa hivyo tulivyoambiwa , hapa uhalisia ilikuwa Bilion 900 hadi 1.2 trillion...
  18. darcity

    JamiiForums Tanzania Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

    Nashauri serikali imfungulie mashtaka Wakili Msomi Tundu LISSU kwa kutoa taarifa za uongo na kusababisha taharuki kuwa Rais ametekwa/amewekwa mateka na Waziri Mkuu ndiye anaongoza nchi. Hata Kama yupo nje ya nchi anapaswa kuheshimu uhuru wa maoni. Mara nyingi akihojiwa na vyombo vya habari...
  19. Teleskopu

    JamiiForums Tanzania Ni uongo tu toka Day 1

    Tutazidi kujaribu kufungua macho ya kila anayependa uzima. Ni kazi ngumu lakini sasa ufanyeje? Hata nikifanikiwa mmoja, si mbaya. Hebu jiulize, kwani wanaficha nini? Hilo swali tu linatosha kukupa wasiwasi wote unaohitajika. Dawa zote zenye maboksi lazima ukute karatasi ndani ambayo imeandikwa...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?

    Je, COVID-19 ni nini? COVID-19 ni maambukizi yanayosababishwa na virusi vya Corona, virusi hivi ni sawa sawa na vile vinavyosababisha mafua ya kawaida tofauti na mafua, virusi vya corona vinaweza kuambukiza mwingine kabla hata ya huyo mtu hajaanza kuonesha dalili. Tofauti ni kwamba, watu wenye...
Back
Top Bottom