Hii nayo inafikirisha kwa sasa kupata unachokitaka inahitaji uweke uongo uongo mwingi not necessarily uongo lakini uwe uongo uongoNiliosoma mahali kwamba mtu asiyeweza kabisa kudanganya ana matatizo ya afya ya akili.
Kama kuna ukweli mchungu, basi na uongo mtamu utakuwepo.🤷🏾♂️
Where there is money, Man betray man.Kuna boss wangu aliongea uongo khs mm ili nifukuzwe kazi, imagine mtu anayelipwa mamilioni anamuonea Wivu Mtu anayelipwa laki 😂
Unatakiwa useme uwongo ukiwa umeangalia mbele zaidi, yaani uwe na abstract and systems thinking.Ukisema uongo mambo yataenda haraka, ukisema ukweli mambo yataenda slow lakini yataenda
Tawire 🤝It's not about hela ni kuhusu anachoona kwako labda alihisi siku moja utachukua nafasi yake
Kuna Lies na kuna Deception mtu anaweza kukutega kwa uongo ufanye kitu kwaajili yake, imagine unamtega mtoto mzuri akupe uichape maana daktari kasema usipoichapa utaugua ugonjwa wa mashine.Unatakiwa useme uwongo ukiwa umeangalia mbele zaidi, yaani uwe na abstract and systems thinking.
Ukileta uwongo wa kitoto basi unanaswa kirahisi.