uongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Kuifuta CCM sio kuondoa matatizo ya taifa hili. Hiyo ni propaganda yenye uongo Mkubwa

    KUIFUTA CCM SIO KUONDOA MATATIZO YA TAIFA HILI. HIYO NI PROPAGANDA YENYE UONGO MKUBWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kuna watu wanadanganya Watanzania matatizo ya Nchi hii ni uwepo wa chama cha mapinduzi( CCM ). Huo ni uongo mkubwa. 2. Wengine wanausema uongo huo kwa makusudi wakijua...
  2. Ritz

    Hoja ya Jaji Mstaafu Warioba kuhusu vifo vya Oktoba 29 ni uongo na uchochezi wa kisiasa

    Wanakumbi. Hoja ya Jaji Mstaafu Warioba Kuhusu Vifo vya Oktoba 29 ni Uongo na Uchochezi wa Kisiasa. Katika Vita ya Kagera (1978–1979), takwimu zinazokubalika kitaifa zinaonesha wazi kuwa Wanajeshi wa Tanzania waliopoteza maisha walikuwa 373 Askari wa Kikosi cha Ukombozi cha Uganda (UNLA)...
  3. L

    Maelezo Yaliyotolewa na Malisa Ni Ya Uongo Na Uzushi Mkubwa. Wananchi Puuzeni Taarifa Hizo. Hali ya Usalama ni Shwari Kabisa

    Ndugu zangu Watanzania, Niliwaambieni humu kuwa habari na taarifa za Malisa zilikuwa ni za Uzushi ,uongo, uchonganishi na zenye lengo la kutaka kuleta taharuki na kuichafua serikali yetu chini ya uongozi mahiri,shupavu ,madhubuti na Imara wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha...
  4. Genius Man

    Uwepo wa kesi nyingi za uongo za serikali kwa watanzania inapaswa kuwa sababu nyengine kuu ya kuandamana huu ni uchizi

    Uwepo wa kesi nyingi za uongo za serikali kwa watanzania inapaswa kuwa sababu nyengine kuu ya kuandamana huu ni uchizi Hatuwezi kuongozwa na vilaza na watu wanao waza upuuzi upuuzi tu muda wote hwana mchango wowote kwenye nchi bali tatizo linalopaswa kuondolewa
  5. Mookiesbad98

    PostGE2025 Ni tabia yetu kuukataa ukweli na kuamini mambo ya uongo uongo

    Najiuliza ikiwa mode of operation ya viongozi wetu ni kuukataa ukweli uliodhahiri na kupoteza muda kwenye uongo na.uzushi utamaduni huu umwfanyika kwa muda.mrefu kiasi gani. Ukisikiliza hoja zilizoleta msuguano maandamano vurugu za Mo29 ni za ukweli lakini viongozi wote wanazikataa waziwazi na...
  6. R

    PostGE2025 Msemaji mkuu wa Serikali Gerson Msigwa awahakikishia watalii usalama na kupuuza taarifa potofu

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akizungumza na Vyombo vya habari leo Novemba 23, 2025 amewahakikishia watalii wote kutoka mataifa mbalimabali kuwa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inawakaribisha wote nchi yetu itabaki kuwa ya amani na wazi kupokea wote wanaowiwa kuja...
  7. Cute Wife

    PostGE2025 Uchunguzi wa CNN wasema huenda kaburi la halaiki lipo katika Makaburi ya Kondo, Dar es Salaam

    Wakuu, Uchunguzi wa CCN umesema huenda makaburi ya halaiki yapo katika eneo la Kondo, Dar es Salaam. Japokuwa walishindwa kuthibitisha moja kwa moja kuwa walizikwa hapo, kupitia picha za satelait, za kabla na baada ya uchaguzi inaonyesha eneo hilo lilichimbwa na vijana wanasema walipewa kazi...
  8. Mshana Jr

    Tukatae kwa nguvu zote kuzoezwa uongo!

    Kuna hulka moja kuhusu uongo! Ukirudiwa mara nyingi huzoeleka na kuwa ukweli wa kulazimishwa! Taratibu zote za uchaguzi mkuu zilizokiukwa kwa kiwango cha juu sana, zinaondoa uhalali wote na wowote wa uchaguzi wa tarehe 29.10.2025 Kampeni ya wanamageuzi na wazalendo wa Tanganyika ilikuwa ni...
  9. Heparin

    PostGE2025 Jumanne Muliro azikataa Video za mauaji kipindi cha maandamano zinaosambaa mtandaoni, adai zimetengenezwa

    Akihojiwa na Idhaa ya Kiswahili (DW), Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Jumanne Muliro amesema Video za mauaji zinaosambaa mtandaoni zimetengenezwa na watu, na kwamba jeshi hilo kwa nyakati fulani limewahi kufanyia uchunguzi baadhi ya video zilizodaiwa kuchukuliwa kwenye baadhi ya maneno...
  10. covid 19

    Uongo unaangamiza taifa

    Uongo imekuwa siyo tu tabia ya viongozi na serikali imegeuka kuwa sehemu ya maisha yetu. Hii ndiyo sababu tumefika hapa tulipo: taifa likiendeshwa kwa hila na uongo badala ya ukweli. mfano ni huu uchaguzi wa mwaka huu unadhani ulikuwa huru? Tunasema mshindi alishinda kwa kura milioni 32 kati...
  11. MamaSamia2025

    CHADEMA na Askofu Mwamakula acheni kuchapisha mitandaoni habari za uongo

    Inasikitisha sana kuona huyu Askofu wa CHADEMA, ndugu Mwamakula pamoja na chama chake wakipost mara kwa mara habari za uongo ili mradi kuishambulia CCM. Wakikamatwa na kufunguliwa mashtaka watamlaumu mtu? Jana Askofu wa CHADEMA kazusha kuwa Rais Samia kahojiwa na THE REPORTER KE na kujibu jinsi...
  12. M

    GE2025 Chama hakiwezi kupata viti maalum viwili, ni uongo

    Jamiiforums, Kimahesabu Hakuna uwezekano wa chama chochote Katika bunge lenye viti maalum 115 kupata viti viwili. Namba huwa hazidanganyi. Kitu Kama hicho ni uongo. IPO Hivi, ili ushiriki kupata viti maalum Inabidi uwe na angalau asilimia 5 ya kura za wabunge. Ukiwatoa wale wa kura za...
  13. K

    Utamaduni wa uongo! Umetufikisha hapa

    Watanzania wote tunajua hakuna hata Watanzania milioni 15 walioenda kupiga kura! Leo hii tunaambiwa eti wapiga kura ni milioni 32 sasa hawa vijana wakichoma nyumba zetu tunawalaumu wakati pesa za mikopo wenyewe ndiyo walipaji. Lakini kuna kizazi cha Watanzania wenyewe ni wa kujiaminisha uongo na...
  14. Pascal Mayalla

    Hawa Wakenya, Wana nini na Tanzania?! Wanatutukania Rais Wetu kuwa She Was Nobody na Kumuita Dikiteta Iddi Amini Mama!, Tusikubali na Tusiwanyamazie!

    Wanabodi Hebu msikilizeni huyu jamaa, Mkenya anaitwa Rodgers Kakasungura https://youtu.be/FFVNsTEI690?si=g-1g15frbAOn6yYz Anatema uongo kumhusu Rais Samia, anamtukana na kumuita Dikteta Iddi Amini Mama, pia amemtukana rais wake Ruto kuwa ni Dikiteta Iddi Amini Baba, na kusema Uganda kulikuwa na...
  15. Genius Man

    Siku nyengine hakuna atakaye fanya huu ujinga na ukandamizaji wa wananchi au upinzani na kesi za uongo kwisha

    Siku nyengine hakuna atakaye fanya huu ujinga na ukandamizaji wa wananchi au upinzani na kesi za uongo kwisha. Tuheshimiane tunachukua taifa letu tunaenda kulijenga upya
  16. R

    GE2025 John Mnyika: Said Mohamed ametoa madai ya Uongo, Tunasubiri uamuzi ya Jaji Septemba 29, 2025

    Leo Septemba 26, 2025 Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ametoa kauli kufuatia madai ya aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar Said Issa Mohammed kuwa ni ya uongo, hii ikiwa ni muendelezo wa Kesi ya Mgawanyo wa Mali CHADEMA ambayo itasikilizwa tena...
  17. britanicca

    Polisi acheni uongo juu ya Padri aliyetekwa

    Najua mambo mengi kuhusu kanisa Roman . Kwanza mapadre au Mafather maisha Yao yote ya kitume yanagharamiwa na Kanisa, kila kitu anachokuwa nacho Padre anakuwa kapewa na Kanisa. Sasa hayo Madeni yametoka wapi? Maana kama ni hela za Nini?. Kila kanisa PAROKIA Kuna nyumba za mapadri. Ukitumia...
  18. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Polisi Lindi: Hakuna aliyekamatwa kwenye mkutano wa Chama cha AAFP, wanatoa madai ya uongo

    Jeshi la Polisi mkoani Lindi limetolea ufafanuzi madai ya mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Wakulima (AAFP), Kunje Ngombare Mwiru ambaye alisema vurugu zilizotokea jana kwenye eneo Kilwa Masoko zilisababisha ashindwe kufanya mkutano. Soma Pia: Chama cha AAFP yaahirisha mkutano wa kampeni...
  19. Genius Man

    Tukatane barabarani tarehe 29 kwa wingi sana ili watuuwe wakatafute raia machawa wengine wa kuwaongoza

    Tukatane barabarani tarehe 29 kwa wingi sana ili watuuwe wakatafute raia wengine wa kuwaongoza. Hatuwezi kufanya amani kwenye utekaji na mauwaji na ufisadi na kutubambikia kesi za uongo. No reforms no ELECTION
  20. E

    Polepole kanatudanganya juu ya bima ya afya na hesabu zake za Abunuwasi apuuzwe kabisa

    Polepole kanatudanganya juu ya bima.ya afya na hesabu zake za bunuwasi apuuzwe kabisa, Hana akili yoyote ya Actuarial Science haiwezekani haje na graph zake, a bunuwasi kuja kusema mambo ambayo hata mtoto mdogo anaona ni uongo kabisa. Apuuzwee polepole.
Back
Top Bottom