uonevu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania Sabaya afikishwa Mahakamani, Mawakili wake wasema Sabaya ni mgonjwa, yaahirishwa hadi Juni 20, 2022

    KESI ya uhujumu uchumi na rushwa inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne, itatajwa kwa mara ya pili leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi. Ole Sabaya na wenzake, ambao ni Sylvester Nyegu, John Aweyo, Nathan Msuya na Antoro Assey...
  2. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya DPP na Mahakama zimegeuka vitovu vya Rushwa, wenye pesa ndio wanaachiwa na wasio na pesa wanaozea jela na mahabusu

    Sasa hivi ni rushwa na pesa yako ndio itakufanya usiende gerezani. Dpp na mahakama ndio imekuwa kitovu cha kuachia wenye pesa hata kama wanamakosa. Hayati JPM alidhibiti kabisa hii hali ya rushwa hasa mahakamani na ofisi ya Dpp. Dpp anafuta kila siku kesi za watu ambao ipo wazi kabisa wana...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Ukisikia uonevu Serikali hufanya, ni huu hapa kwa Wakulima. Haiwezekani!

    Serikali inamipango mibovu sana juu ya wakulima wa nchi hii Ni uonevu juu ya uonevu!! Haya mambo ifike mahali tuone aibu kwa kuwanyonya kiasi hiki wakulima Wakulima wa nchi hii, ni wao tu ndio wanaojua mateso wanayoyapitia, kwenye jua Kali na mvua za radi na Mawe, wao na shamba, Kwenye mvua...
  4. S

    JamiiForums Tanzania George Bush amlaumu Putin kwa kuivamia 'IRAQ' kijeshi kwa uonevu pasi na haki

    George Bush kamlaumu vikali rais Putin wa Russia akisema kuwa Putin kaivamia Iraq kijeshi kwa uonevu tu pasi na sababu yoyote ya msingi... Bush aliposhtukia kuwa anaongea mambo ya ajabu aliyoyafanya yeye mwenyewe Iraq, akacheka kwa kuchapia kisha akasingizia uzee wake. Mwaka huu tutaona mengi...
  5. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Tupac: "Keep Ya Head Up" dedication kwa Latasha Harlins

    Wengi wenu hamjui yeye ni nani lakini yeye ni muhimu. Latasha Harlins. Mnamo 1991, akiwa na umri wa miaka 15, alienda kwenye soko lake la chakula linalomilikiwa na Wakorea na hakufanikiwa kutoka kurudi kwao akiwa mzima. Mke wa mwenye duka, Soon Ja Du, alidhani Latasha kaja kuiba chupa ya juisi...
  6. Mr Sir1

    JamiiForums Tanzania Uonevu wa Traffic Barabara ya Nyerere

    Kuna tabia mpya Traffic wameanzisha barabara ya Nyerere baada ya Quality Center ikiwa unaelekea mjini wanaweka utepe kwenye uelekeo wa Service Road ilipo bank ya Absa karibu na Lifemate Furniture. Hata ikiwa dhamira yao ni kuzuia watu wanaeonda mjini wasichepuke, lakini haileti maana kwa sehemu...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu Siasa; Hakuna Siasa bila uonevu

    Herehoa! Siasa zilianzishwa Kwa maslahi ya viongozi na watu wapendao utawala! Biashara zilianzishwa Kwa maslahi ya wafanyabiashara kujipatia faida! Mtu huanzisha kitu Kwa maslahi yake au kundi litakalomuunga Mkono! Mtu Fulani huweza kuamua kutaka kuongoza wengine na kupigania maslahi ya jamii...
  8. comte

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa RC Mwanza na Viongozi wa jiji la Mwanza juu ya Mgambo ni uonevu na kukosa msimamo

    Tumekuwa na viongozi wa ajabu sana wanaofanya maamuzi kwa mihemuko. RC na viongozi wa jiji Mwanza wameafukuza kazi mgambo waliopigwa picha wakichukua ndizi za mmachinga toka kwenye toroli lake na kuziweka kwenye gari la jiji. Nina hakika na ninakumbuka wamachinga wamekatazwa kutofanya biashara...
  9. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Uonevu mwingine Jeshi la Polisi; Wafanyabiashara wasota mahabusu siku 563 na kuporwa mali zao

    Ni mwendelezo wa mateso kwa wananchi. ======= Hali ya hewa katika Jeshi la Polisi bado haijakaa sawa baada ya hivi karibuni kushutumiwa katika matukio kadhaa ambayo yanaonekana kuwa kinyume cha utaratibu wao, leo tena Machi 14, Gazeti la Mwananchi limeandika juu ya sakata jipya. Santus...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msamaha kwa 'Mwamba' ulikuwa ni wa lazima ili Taifa lipate Misaada ya Fedha nyingi kwa Watoaji wa Kimataifa wasiopenda Uonevu

    Baaada ya 'Mwamba' kutoka sasa ni wazi zile Pesa za Msaada kutoka Marekani na Uingereza zitatoka ili zingine tuzichezee, tuzifuje, tuzihifadhi kwa Matumizi 'Maalum' ya 2025 na nyingi zitakazobakia tukakijenge zaidi Kisiwa chetu na Chenji apewe Baba Mshauri wa Pwani ya Kaskazini mwa nchi.
  11. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Uonevu mnaomfanyia Mbowe na CHADEMA ipo siku Mungu atajibu mapigo

    Hakika Mbowe ameonewa sana, ameteswa sana, amedhulumiwa sana na utawala wa CCM na serikali yake ya awamu hii ya 5 Watanzania hatuko kimya tumefunga kwa kuomba na kusali na kumshtakia Mungu kwa uonevu huu. Mkakati wa kumwonea Mbowe uliripotiwa toka mwaka 2018 na leo umetimia. Hakika ipo siku...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Uganga na uchawi uliotumika miaka ya nyuma kudhibidi dhuluma na uonevu umeondoka tuombe Mungu urudi ili tudhibiti uonevu.

    Miaka ya nyuma huko Zamani za miaka ya kupata uhuru mpaka miaka tisini ukiua mtu hana hatia ilikuwa lazima uwe chizi au ufe kifo kibaya sana. Polisi alikuwa akibambikia mtu kesi lazima afukuzwe kazi au kupata ajali. Ilikuwa ukidhulumu mali ya mtu lazima ufirisike na kuwa masikini. Leo hii...
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea Mtwara ni sampuli tu uonevu wa jeshi la polisi kwa raia, matukio mengi huwa yanafichwa. Mabadiliko makubwa yanatakiwa kwa nchi nzima

    Kisingizio kikubwa huwa ni kudhibiti uhalifu kwa kisingizio cha kupambana na wahalifu wasiotii bila shuruti. Utasikia alikuwa ni mhalifu na hata ndugu wasio na uwezo wakifuatilia matukio ya ndugu zao kupoteza maisha au kuumia wakiwa mikononi mwa polisi huwa hawapati ushirikiano wowote. Namna...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Salamu za Heri: Shoo aonya dhidi ya Uonevu

    Hapa chini ni salamu za Heri kutoka kwa baba askofu Shoo. Wenye masikio na wasikie: Eeh Mola wetu ukasimame na waja wako wanaoteseka kwenye dhuluma hizi.
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hongera TCRA kusisitiza Professionalism kwenye habari! Acheni double standards, acheni uonevu. Tendeni haki kwa Watanzania!

    Wanabodi, Naomba kuanza uzi huu kwa declaration of interest. Mimi ni mdau mkubwa sana wa TCRA, nawakubali sana, na hadi vipindi vyao nafanya Ila TCRA ilichomfanyia Humphrey Polepole na shule yake ya uongozi sio sawa, sio haki, ni kumuonea na TCRA kufanya maamuzi kwa double standards...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA DIGITAL balaa, CCM yaanza kutumia Polisi kuidhibiti

    Tulionya tangu mapema sana kwamba huu mpango wa Chadema wa kusajili wanachama kwa njia ya kisasa ya kidigital utaua cccm na mamluki wake , hii ni kwa sababu Wananchi wengi sasa wamefahamu kwamba Chadema ndio Mkombozi wa kweli wa dhiki na tabu zao . Masuala ya Tozo , mgao wa maji na umeme ...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Polisi Masasi, ni wakati wa kuwaonesha maovu yenu

    Wanajukwaa Salaam! Naomba niwaeleze snario iliyopo Polisi Wilaya ya Masasi Mkoa wa MTWARA. Iko Hivi, tarehe 27 oct 2021 kulitokea tukio la kukamatana masuala ya ugoni. Bwana J ndiye Mwenye Mke ambaye baada ya kumuona mkewe amebadilika kitabia na mienendo yake mibaya aliamua kumfuatilia kwa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Namshauri Professa Assad aende Mahakamani kwa uonevu aliofanyiwa

    Pole sana Professa Assad. Mimi binafsi nilisikitika sana kwa uonevu uliofanyiwa kwa kustaafishwa bado ukiwa hujatimiza umri wako wa kustaafu. Ulisimamia ukweli, ulikuwa mwadilifu na mkweli kwa nchi yako lakini haya yote wakubwa hawakuona na bado wakakukejeli. Kama katiba inavyosema CAG ili...
  19. Bramo

    JamiiForums Tanzania New TARURA Parking Fee System inaenda kuwa aina mpya wizi na uonevu

    Waaungwana Kama heading inavyoonesha hapo juu. TARURA amekuja na namna nyingine ya kukusanya ushuru wa Maegesho ya Magari, Mfumo huu Mpya ni wa kielektroniki na uko based on Control Number. Nimefanya Research ndogo na kugundua kuwa Huu utaratibu mpya mbao ni Mzuri umegeuka kuwa ainia ya Wizi...
  20. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Polisi acheni kutumika kisiasa kuwalinda CCM, Corona ipo Upinzani tu, CCM hakuna?

    Nina mashaka kabisa kama kweli tuna jeshi la polisi hapa Tanzania kama siyo sehemu ya chama cha mapinduzi. Kwa sasa polisi bila haya wanatumika kisiasa kuilinda na kuitetea CCM huku wakikandamiza vyama viingine vya kisiasa. Kama CCM wanakagua utekelezaji wa Ilani yao, ni kazi ya upinzani pia...
Back
Top Bottom