uonevu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Serikali kuzuia mazao ya chakula kuuzwa nje inakwepa majukumu yake na ni uonevu mkubwa kwa wakulima

    Moja ya wajibu mkubwa wa serikali ni kulinda na kudumisha usalama wa nchi. Usalama wa nchi huchangiwa kwa kiasi kikubwa na usalama wa chakula (upatikanaji wa chakula kwa bei inayohimilika). Kinyume chake nchi inaweza kuingia ktk machafuko. Mfano, serikali ya Al Bashir wa Sudan iliondolewa...
  2. B

    JamiiForums Hiki kinachotokea kwa viongozi wakuu wa CWT (M/Kiti na Katibu wake) ni UONEVU wa waziwazi

    Siwafahamu kiundani,.lakini nina uhakika vyombo vya dola vinawafahamu vizuri zaidi na ndio maana vikapeleka majina yao kwa Mh. Rais kwa nafasi za Ukuu wa Wilaya. Sasa kinachoonekana kwa sasa ni kwamba, hawa viongozi wa walimu, wanaandamwa kwa sababu ya kugomea uteuzi wa Mh. Rais! Kama kweli...
  3. Sajo

    JamiiForums IRINGA MJINI: Wafanyabiashara wagoma kufungua maduka na biashara zao kupinga uonevu wanaofanyiwa na Manispaa ya Iringa

    Leo tarehe 15.06.2023 wafanyabiashara wa Iringa mjini wamegoma kufungua biashara zao baada ya askari wa manispaa ya Iringa jana kuvunja na kuharibu biashara zao kwa kuvunja vibaraza vya maduka. Jambo hilo limeharibu mali zao wafanyabiashara na pia kufungwa kwa biashara kumesababisha kukosekana...
  4. Ngurukia

    JamiiForums KERO Uonevu wa wanaokamata Wrong Parking

    Kuna jopo la watu limezagaa Dar es Salaam wanaovaa uniform za shati jeupe na suruali nyeusi wanaokamata magari kwa madai ya wrong parking. Natumia neno kwa madai kwa sababu ni kama wanaotengeza mazingira ya kukamata magari kwa nia ya kutaka kujipatia fedha. Haijalishi umekidhi vigezo vyote vya...
  5. T

    JamiiForums Video: Wananchi wakimlilia Hayati Magufuli baada ya kuchoshwa na uonevu

  6. M

    JamiiForums Yuko wapi Kangi Lugola?

    Yuko wapi Kangi Lugola? Aliwanyoosha Polisi kwa uonevu. IGP Sirro akaomba msaada Ikulu ili aondolewe uwaziri. Maarufu kama Mabendera ya taifa, huyu jamaa alistahili kuwa waziri wa mambo ya ndani.
  7. B

    JamiiForums LATRA hili la ving'amuzi ni uonevu uliopitiliza

    Kama wenye mabasi hawana udhibiti wala utambuzi wa ufanyaji kazi wa ving'amuzi vya LATRA kwenye magari yao, ni vipi kuwajibishwa wao kwa mapungufu yoyote kwenye vifaa hivi? Bila shaka hawa pamoja na kufungiwa wakiwa wamelipia vibali, kodi, bima na tozo zote husika, faini nzito nzito zitakuwa...
  8. S

    JamiiForums Kutaka Daktari awepo kazini muda wowote unaomuhitaji ni uonevu, mkitaka hivyo ongezeni pesa ya overtime

    Kumbuka udaktari ni kazi kama kazi zingine. Mtu mpaka anakuwa daktari ametumia gharama zake kufika hapo, hakushushwa tu puuuh akawa daktari. Vilevile daktari kama wafanyakazi wengine wana muda wao wa kazi ambao kikawaida huwa ni masaa 8 baada ya hapo ana haki ya kufanya au kutofanya kazi mara...
  9. The bump

    JamiiForums Tanzania yenye Amani bila Uonevu

    Kuna Jambo nimekua nikiliwaza mara kwa mara akilini mwangu lakini naona kadri siku zinavyoenda linazidi kukomaa na kushika mizizi. Tunaishi Tanzania ambayo ni nchi inayosifika kwa amani,lakini ukweli ni kwamba hii nchi amani inayoongelewa ni kukosa vita tu na wala si amani ya mtu mmoja hadi...
  10. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Unyanyasaji kwenye mtandao na jinsi ya kuukomesha

    1. Unyanyasaji wa kimtandao ni nini? Unyanyasi wa kimtandao ni uonevu unaotendeka kwa kutumia teknolojia za kidijitali. Mtu anaweza kufanyiwa kwenye mitandao ya kijamii, majukwaa ya kutuma ujumbe, majukwaa ya michezo ya kubahatisha na hata kwenye simu za mkononi. Uonevu huu huwa na tabia ya...
  11. S

    JamiiForums Tupaze sauti kuhusu uonevu na ukandamizaji wa mawazo huru

    Awamu ya 6 iweke wazi kuwa ni kosa la jinai kutoa maoni kinzani kuhusu mikopo inayochukuliwa na serikali toka mataifa makubwa. *Ndugai alivuliwa uspika. *Meneja TRC alipoteza kazi. *Askari alikutwa kajinyonga *Gerad Hando amepoteza kazi EFM. Kama taifa tunaelekea wapi?
  12. sinza pazuri

    JamiiForums TRA yafanya uonevu mkubwa, yapora milioni 700 kwenye akaunti binafsi za Diamond Platnumz

    Ama kwa hakika uonevu na unyama huu uliofanyika na taasisi kubwa ya serikali yani TRA sio wa kufumbiwa macho. Imepora sh million 700 kwenye akaunti binafsi za msanii Diamond Platnumz. Hii imefanya Diamond aamue kulalamika baada ya uonevu huu kuzidi. Haya mambo ndio yanafanya watu waichukie...
  13. Mocumentary

    JamiiForums Mbowe: Nakerwa sana na wanaodai Nalamba asali, asali ni tusi kwangu, niko upinzani kwa miaka 30 sasa nikipambana kwa Jasho na Damu

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe wakati akiongea na Diaspora nchini Marekani leo amesema anakasirishwa na wanaosema amelamba asali ili kumfanya akae kimya, na kusema hilo ni kama tusi kwake lakini anavumulia kwakuwa ni sehemu ya harakati. "Nimekuwa nikifuatilia mijadala katika...
  14. J

    JamiiForums Uhamisho wa uonevu TRA, Kamishna Mkuu tafadhali ingilia kati

    Mheshimiwa Kamishna Mkuu wa TRA, nachukua fursa hii kukuomba uingilie kati uonevu unaofanywa na wasaidizi wako kwenye uhamisho unaoendelea sasa. Nimefanya kazi TRA miaka mingi lakini hali iliyojitokeza sasa si ya kufumbia macho. Uhamisho si jambo baya kwenye utumishi, ni kawaida mfanyakazi...
  15. MK254

    JamiiForums Mpaka sasa watu 133 wamekufa Iran kwenye maandamano ya kupiga uonevu wa kidini

    Maandamano bado yanaendelea, wananchi wamechoka kulazimishwa kufuata sheria za kidini zinazowadhulumu, mwanamke kuuawa kisa kijisehemu cha nywele kimeonekana..... Wanaendelea kuuawa ila wameamua hiyo damu haitamwagika bure. On September 30, people gathered after Friday prayer in Zahedan to...
  16. MK254

    JamiiForums Maandamano Iran: Mpaka sasa wamekufa 83, maandamano yanaendelea, wamechoka uonevu wa kidini

    Tangu mwanamke auawe na mapolisi kisa kipande cha nywele kuchomoza nje ya hijab, raia wa Iran wameamua liwalo na liwe, wamechoshwa na uonevu wa kidini, wanaendelea kufa, itabidi labda serikali ya kidini iwaue wote. ===== Iranians have defied crackdowns and showed up for protests in cities...
  17. Lanlady

    JamiiForums Sekta ya elimu kuna uonevu sana!

    Kuna mwalimu anaanza na ngazi ya certificate na baadae anaenda kujiendeleza kwa ngazi tofauti tofauti. Miongoni mwa kozi anazosomea ni stashahada au shahada za utaalam tofauti, mfano ukaguzi, uongozi, IT nk. Na wengi hujisomesha wao wenyewe kwa gharama zao. Lakini katika mazingira ya kazi...
  18. Expensive life

    JamiiForums Hili la Yanga SC kuanzia nyumbani kila mwaka kwenye CAF Champions League ni uonevu

    Mimi kama mwanayanga kindakindaki naumia kwa kweli kwa nini kila msimu ni sisi tu ndio tunaanzia nyumbani na kumalizia ugenini? Mbona wenzetu Simba wanapendelewa? Sisi ndio mabingwa wa nchi hii iweje tuanzie nyumbani? Timu kubwa zote zimeanzia ugenini kwa nini sisi tu? [emoji25][emoji25]
  19. Sir robby

    JamiiForums Matumizi makubwa ya serikali ndio chanzo cha hizi kodi na tozo za uonevu

    Hakika hii Tanzania sasa imekuwa balaa. Serikali imekosa ubunifu kabisa wa vyanzo vya mapato. Haiwezekani kitu kimoja kilipiwe kodi au tozo mbili. Hivi karibuni Serikali imekuja na tozo ambayo mweka fedha benki anakatwa kila anapotoa fedha ktk akaunti yake na benki nayo wakati huo huo inakata...
  20. HIMARS

    JamiiForums Nini kifanyike kuzuia uonevu mashuleni?

    Shule zote zina watu ambao huonea wengine iwe kwa matusi, vipigo, vitisho, uharibifu, ngono n.k. Athari za huu uonevu ni mkubwa sana kwa anayeonewa, Wazazi hatukai na watoto na kujua nini kina waathiri au nani huwaonea. Je, tufanyeje kuondokana na hii hali? NB:. Binafsi nimemwambia mtoto...
Back
Top Bottom