Uamuzi wa RC Mwanza na Viongozi wa jiji la Mwanza juu ya Mgambo ni uonevu na kukosa msimamo

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,226
5,947
Tumekuwa na viongozi wa ajabu sana wanaofanya maamuzi kwa mihemuko. RC na viongozi wa jiji Mwanza wameafukuza kazi mgambo waliopigwa picha wakichukua ndizi za mmachinga toka kwenye toroli lake na kuziweka kwenye gari la jiji.

Nina hakika na ninakumbuka wamachinga wamekatazwa kutofanya biashara katika maeneo yasioruhusiwa na watekelezaji wa amri hiyo ni mgambo. Sasa kama mgambo waliokuwa wanatekeleza amri halali- kosa lao ni lipi mpaka wastahili kufukuzwa kazi?

Tuwafanye nini sasa waliowatoa machinga pale Makoroboi na sehemu zingine?

Nawashauri mgambo hao wafungue kesi ya kufukuzwa kazi kwa uonevu
 
Hii Tanzania hata haieleweki wengine wanawatetea wamachinga wengine wanawapigania mgambo viongozi kazi wanayo.
 
Mgambo wenyewe hata hawajielewi , mnafanya kazi ya kikatili kufukuza watu Kwa ujira wa 5000 Kwa sku , na Sare zao za mitumba
 
si vizuri kudharau kazi ya mtu
Jamaa zako hawajielewi wale , sjui huwa wanaahidiwa upolisi au ujeda , huwa wanawafanyia ukatili sana hasa wamama wanaopanga vi nyanya , samaki , matunda , nishawahi wakuta wanapindua meza na kumwaga vitu kibabe na magwanda yao, mama akabaki amejikunyata tuu
 
Tumekuwa na viongozi wa ajabu sana wanaofanya maamuzi kwa mihemuko. RC na viongozi wa jiji Mwanza wameafukuza kazi mgambo waliopigwa picha wakichukua ndizi za mmachinga toka kwenye toroli lake na kuziweka kwenye gari la jiji.

Nina hakika na ninakumbuka wamachinga wamekatazwa kutofanya biashara katika maeneo yasioruhusiwa na watekelezaji wa amri hiyo ni mgambo. Sasa kama mgambo waliokuwa wanatekeleza amri halali- kosa lao ni lipi mpaka wastahili kufukuzwa kazi?

Tuwafanye nini sasa waliowatoa machinga pale Makoroboi na sehemu zingine?

Nawashauri mgambo hao wafungue kesi ya kufukuzwa kazi kwa uonevu
Kwani kumfukuza Mmachinga sehemu ni lazima uchukue vitu vyake?
 
Tumekuwa na viongozi wa ajabu sana wanaofanya maamuzi kwa mihemuko. RC na viongozi wa jiji Mwanza wameafukuza kazi mgambo waliopigwa picha wakichukua ndizi za mmachinga toka kwenye toroli lake na kuziweka kwenye gari la jiji.

Nina hakika na ninakumbuka wamachinga wamekatazwa kutofanya biashara katika maeneo yasioruhusiwa na watekelezaji wa amri hiyo ni mgambo. Sasa kama mgambo waliokuwa wanatekeleza amri halali- kosa lao ni lipi mpaka wastahili kufukuzwa kazi?

Tuwafanye nini sasa waliowatoa machinga pale Makoroboi na sehemu zingine?

Nawashauri mgambo hao wafungue kesi ya kufukuzwa kazi kwa uonevu
Ukisikia kusagiana kunguni ndiyo huku. Wewe hata hauwasikitikii mgambo husda yako inajulikana
 
Kasaga yule aliyerekodi video na kuisambaza-kama na mimi nimo na wewe utakuwemo
 
Kwanini walichukua ndizi zake?
kwa sababu alikuwa eneo asilitakiw kuwepo- alikuwa anasaidiwa kupelekewa kule anakotakiwa kuwa; au zilitumika kupata hela ya kulipia fine
 
Jibu lako la kipuuzi. Tena wafidie hizo ndizi walizoiba na kula, pia kumlipa fedha za kumkosesha income ya hata mwezi mzima. Ukiwa kwenye cheo/kazini hautakiwi kunyanyasa wananchi.
 
Kwahiyo mkaenda kukaa chini kuuza ndizi ili mpate pesa ya faini!!! Unasikitisha kwa kuwa jambazi
 
Jibu lako la kipuuzi. Tena wafidie hizo ndizi walizoiba na kula, pia kumlipa fedha za kumkosesha income ya hata mwezi mzima. Ukiwa kwenye cheo/kazini hautakiwi kunyanyasa wananchi.
ninadhani wewe u mpuuzi zaidi- no mpuuzi ni afadhali sana kuliko MWANAHARAKATI ambaye wewe unasifa zote za kuwa.
 
Back
Top Bottom