uonevu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Rasimu ya katiba ya Warioba, ibara ya 54 inapendekeza raia kuwa na mamlaka ya kudai haki zilizoporwa. Hivi sasa ni uonevu mkubwa

    Rasimu ya katiba ya Jaji Warioba katiba ibara ya 54 imependekeza kuwa mahakama au chombo cha maamuzi kufanya maamuzi kwa kuzingatia haki na usawa na uhuru wa mtu binafsi Sheria za kimataifa kuhusu haki za binadamu zizingatiwe. Haki na maslahi ya jamii yazingatiwe. Kila mtu awe na haki ya...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Serikali Wilayani Misungwi izuie uonevu kwenye hospitali ya Misasi

    Wakuu habarini, Kuna vituko sana hii nchi mpaka unaweza kuchanganyikiwa. Katika hospitali ya MISASI iliyoko wilayani Misungwi, Mkoa wa Mwanza. Kuna tabia ya waganga/wauguzi kuwaambia wagonjwa wanunue baadhi ya vifaa rahisi sana vinavyotakiwa kuwa hospitali. Na vilevile walipie pesa kwa...
  3. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ipo haja kubwa kubambana na uonevu wa vyombo vya dola kwa njia mbadala

    Watanzania tumechoshwa na manyanyaso ya vyombo vya dola hasa polisi. Kila kukicha watu kupigwa risasi, kubambikiwa kesi na kuuliwa bila makosa. Hatuoni hatua stahiki zinazochukuliwa au adhabu kwa wanaofanya haya makosa. Wazee mlioko Rukwa, Kigoma, Handeni na Lushoto tunaomba mtusaidie, maana...
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Msafara wa Mgombea Mwenza CHADEMA, Salum Mwalimu wapigwa mabomu Ifakara

    Nimeona video ya mgombea mwenza wa CHADEMA akipigwa mabomu kisa kusimama na kuwasalimia wananchi. Roho imeniuma sana. Nilikuwa nikiona watu wanajivisha mabomu na kwenda kulipua sehemu nilikuwa nashindwa kuelewa kwa nini mtu anafikia hatua hiyo, ila sasa nimeelewa kwa nini watu hujitoa muhanga...
  5. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC, msiopowaita hawa raia hatutakubali huu uonevu

    NEC hivi kweli hamuoni yanayoendelea katika nchi hii kwenye huu uchaguzi na kampeni? 1. Mwiteni mgombea URais wa CCM Kamati ya Maadili ahojiwe na yeye. Kama kweli NEC mmesheheni wanasheria, Kwanini Rais Magufuli anatoa ahadi na kutekeleza miradi ya serikali wakati akiwa kwenye kampeni na...
  6. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nani anayebisha kuwa Serikali ya Magufuli ilijaa uonevu?

    Nasema imejaa uonevu kupitia kupita maelezo kwa sababu ya haya; 1. Watumishi wa umma kutopandishwa madaraja kwa wakati na wala ndani ya miaka 5 hapakuwa na increments kwa mujibu wa sheria.Watumishi zamani walikua wanapandishwa madaraja baada ya miaka 3, kwa sasa mpaka miaka 5-7 ndio...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Askari wa Usalama Barabarani wanaichafua Serikali kwa uonevu wanaofanya kwa wamiliki wa magari

    Trafiki wamekuwa kero hasa kipindi hiki cha Uchaguzi ambacho viongozi wote wa serikali wamekimbilia kwenye majukwaa ya siasa. Wamefanya mradi kwa daladala, kila ukipita umwachie 1000 au 2000 bila hivyo anakuandikia elfu 30000. Zipo video na picha zinazoonyesha namna wanavyokusanya mapato...
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Asante sana Tundu Lissu kwa kutetea Waislamu walioko jela kwa uonevu, Mungu akulipe kheri nyingi sana

    Kwako Ndugu Lissu Amani ya Mwenyezi Mungu iwe nawe Napenda kuchukua fursa hii kukushukuru kwa dhati ya moyo wangu kwa kitendo chako cha Utu na kupenda haki kwako kwa namna unavyotetea Viongozi wa dini ya Kiislamu walioko Jela kiuonevu. Umekuwa consistent sana kuhusu uonevu huu, umezungumzia...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA yaziasa NEC na Serikali kuwa muda wa kuvumilia uonevu sasa basi

    Akizungumza na waandishi wa habari, ndugu Kigaila ameitaka NEC kurudisha wagombea wote wa Chadema walienguliwa kihuni. Amesema kuna watu walitekwa na vyombo vya dola kama TAKUKURU ili wasirudishe fomu. Kuna wengine walienguliwa kwa wakurugenzi kuharibu fomu zao kwa kuongezea maandishi...
  10. Influenza

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbiliyi (Sugu) awaumbua CHADEMA, akiri walichelewa Uwanjani kumuaga Mzee Mkapa

    Leo, ilikuwa ni siku ya kuuaga Kitaifa mwili wa Rais wa Awamu ya 3, Benjamin Mkapa katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar na viongozi mbalimbali walikuwa wakienda kutoa salamu zao za mwisho Viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe walienda uwanjani hapo na baadaye kudai kuwa...
Back
Top Bottom