unajua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sipendi kuambiwa "Oya Vepe?" Ni ujumbe gani ukiuona tu, unajua unaye-chat naye hana akili?

    for educational purposes and enjoyment ... Heb tutiririke jumbe ambazo kwako wewe huwa ni za kifala as per your perceptions. Tukiziona tujirekebishe ili tusionekane mazutwa kwa watu. Mimi mtu akinisalimia tu "VEPE .. " basi kanikosa ... Simjib text Hadi kesho . Akirudia Tena bas naachana nae.
  2. Fun Fact: Unajua kuwa firigisi ni meno ya ndege?

    Ndege hawana meno ya kusagia chakula kama binadamu. Hivyo tumboni mwao wanafirigisi inayofanya kazi kama meno. Firigisi ina misuli yenye nguvu ambayo ikijikunjakunja, pamoja na mawe yaliyomo ndani yake, mawe yale husaga chakula kama vile mbegu ngumu. Kwa watu wa machimbo, firigisi ni kama...
  3. Kila mtu ana upekee kwenye alama zake za vidole

    Alama za vidole ni za kipekee sana kutokana na mchanganyiko wa sababu za kijenetiki na matukio ya nasibu wakati ukikua kama kijusi tumboni kwa mama yako na hivyo kusababisha kutofautiana kwa mifumo ya matuta na mistari kwenye ncha za vidole. Tofauti hizi, ikiwa ni pamoja na umbo, saizi...
  4. Je, unajua? Ubatizo wa maji mengi ni ishara ya mtu kufa na kufufuka na Yesu Kristo

    Ubatizo wa maji mengi ni ishara yenye maana sana kiroho. Mtu anapozamishwa ndani ya maji mengi, wakati wa kubatizwa, anaonyesha kuwa utu wake wa kale uliojaa dhambi, umekufa na kuzikwa pamoja na Kristo. Na anapotoka majini, ni ishara ya kufufuka pamoja na Yesu na kuanza maisha mapya ya...
  5. Je, unajua kwa nini maziwa ya Jersey ni ghali sana? 🐄✨

    Ng’ombe wa Jersey wana uwezo wa kutoa kati ya lita 15 hadi 25 za maziwa kwa siku 🥛, kutegemea na lishe, mazingira, na huduma bora ya mifugo. Ingawa si wengi hutoa lita nyingi kama Friesian (ambao wanaweza kufikia lita 30–40 kwa siku), maziwa ya Jersey yana ubora mkubwa kwa mafuta – jambo...
  6. Unajua kwanini ni muhimu sana kufanya Meditation.!

    Shalom Wapendwa. Katika kutafuta utulivu wowote wa kile ambacho unacho na kile ambacho hauna unashauriwa kufanya kitu inaitwa Meditation. Binadamu wengi wanasumbuliwa na Attachment katika mambo mbali mbali , hivyo kupelekea kuumia ndani kwa ndani . Attachment - ni kushikiria Vitu au WATU...
  7. PreGE2025 Kanisa Katoliki lahoji uhalali wa Tume ya Uchaguzi, lasema wajumbe ni wateule wa Rais

    Wakati Mufti akisema tusianzishe chokochoko zitakazosababisha vita, wenzao wa Kanisa Katoliki wamehoji juu ya Haki ya Kupiga kura. Msimamo wa Kanisa umewekwa wazi kuwa wana shaka na tume huru ya uchaguzi
  8. Je Unajua? 🐔🥚 Mwanga unaathiri Sana Kuku Wa Mayai?

    Kuku wanahitaji takriban saa 14–16 za mwanga kila siku ili kudumisha uzalishaji bora wa mayai. Ikiwa mwanga ni hafifu au haupatikani kwa muda mrefu, uzalishaji wa mayai unaweza kushuka kwa kasi. Hii ndiyo sababu wafugaji wa kisasa hutumia taa maalum za LED kudhibiti mwangaza, na hivyo...
  9. Hivi ukisika Neno CHATO huwa unapata picha gani au unajua ikoje?

    Je CHATO imeendelea saba. Je CHATO ni mji wa kibiashara au wewe mwenzangu unapata picha gani?
  10. Ukiwa kwenye 30s alafu unamuona dogo wa 20s anavyoteseka na mapenzi, wewe unabaki unacheka tu

    Unakuta dogo anajipa moyo sana huku ameweka nyimbo za mapenzi aki reflect situation yake😂 Unakuta una experience ya haya mambo, 😂😂, muda mwingine unamshauri anakuwa mbishi kweli kwa hio unamuacha apigwe na kitu kizito ili na yeye akifika miaka ya makamo achukulie kuwa mapenzi ni isidingo. "Ooh...
  11. Unajua zinaa na uzinzi vinabeba baraka zako?

    Nitakujuza tu yoyote unayemvulia chupi ama suruali yako kama sio mkeo wa ndoa kitendo cha kuingiza dudu lako kwake nikujuze anaondoka baraka zako Haijalishi amevaa hajavaa condom nitakujuza NDUGU pambana na roho ya uzinzi Watu wengi sana walikuwa matajiri wakajifanya wajanja Leo ni masikini...
  12. Kusubiria matokeo ya Mechi ya Mume Mtemi na Hawara Mlaini wakati unajua Hawara Mlaini atagawa tu Uroda ni kupoteza muda

    Kila la Kheri wale ambao Jumatano hii wana Jukumu la Kitaifa na kuanzia Wiki mbili zijazo watakuwa na Jukumu la Nje.
  13. W

    Je, unajua maana ya rangi tofauti za maua unapopokea au kumpa maua?

    Rangi za maua zina maana maalum, na ni muhimu kuchagua rangi sahihi ili kuwasilisha ujumbe sahihi kwa mhusika. Maua meupe yanawakilisha usafi, heshima, ujasiri, na mwanzo mpya, na mara nyingi hutumika kwenye harusi na mazishi. Maua mekundu yanawakilisha upendo, na ni chaguo bora kwa...
  14. Hongera Mh. Lissu, lakini unajua maana ya ushindi wa 51%?

    Maana yake Kuna 49% wapo kama hawapo, hawakukuunga mkono.. Wengi wapewe na wachache wasikilizwe, lakini hapo hakuna wengi walioshinda na wachache walioshindwa; they are more or less the same. Together we stand!!!
  15. JE UNAJUA WA KUKUSAIDIA KWENYE UWEKEZAJI NA USHAURI WA KIFEDHA, Mfahamu MWAKAWASILA

    MWAKAWASILA CONSULTANT Ni mshauri wa kifedha ni mtaalamu anayetoa ushauri wa kitaalamu kuhusu usimamizi wa fedha, uwekezaji, na kufanikisha malengo ya kifedha. Huduma zake mara nyingi hujumuisha: 1. Mipango ya Uwekezaji Kushauri kuhusu hisa, mifuko ya uwekezaji wa pamoja (mutual funds)...
  16. AY na Mwana FA unajua kwanini walitengana? Soma hapa.

    Mwana FA na AY waligombana baada ya FA kuajiriwa na kitengo idara pendwa ya jengo la mwewe. AY akamuona huyu tayari kashakula shavu ukudani kwa wakuda. Alamsiki.
  17. Unajua kuwa Tanzania Haina Admiral wa Navy?

    Kijeshi, Admiral wa Navy ni cheo sawa na General wa Army. Muundo wetu sasa hivi unataka kuwepo na General mmoja tu kwenye TPDF ambaye ndiye CDF. Hiyo inakinzana sana na muundo wa jeshi zima, kwani vyeo vya Navy viko juu sana ya vyeo vya Army. Kwa mfano Captain wa Army ni sawa Lieutnant wa Navy...
  18. Ni text Gani ukiiona unajua unachat na fala?

    Me naanza 1. Xaxa, vp, p, xkul Hapo Huwa sijibu tena 2. Kuniita boss Unaniitaje boss wakati sikulipi, hapo najua ni fala 3 Ela za UNICEF umeziona Hapo sijibu najua hili si fala tu Bali farasi 4 Dear nikawambie kitu Hasa sms ukitoka jinsia ya kike Huwa najua hili ni zwazwa 5 Mwanaume...
  19. Msaada: Nimepoteza barua ya ajira na inahitajika kwenye madai ya malimbikizo ya mshahara, nifanyeje?

    Wakuu nimepoteza barua ya ajira na inahitajika kwenye madai ya malimbikizo ya mshahara! Nishauri kama unajua kitu Wakuu msaada tafadhari.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…