ChatGPT ndio inayoongoza kwa matumizi ya AI kote ulimwenguni mwaka 2025, ikiwa na alama ya jumla (Final score) ya 0.81 na watu zaidi ya mara bilioni 46.59 wanaoitembelea kila mwaka. Hii inamaanisha kuwa asilimia 48.36% ya soko zima la matumizi ya akili mnemba (AI) linamilikiwa na ChatGPT. Maoni...
Uchumi wa kenya uko juu japokuwa hawana rasilimali nyingi kama Tanzania
Kenya inajangwa upande wa kasikazini, Tanzania yetu hii uchumi umeganda haueleweki kama unapanda au unashuka rasilimali tunazo nyingi sana Mungu ametubariki ila ndo taifa Masikini Afrika ,what a shame my broh?
Ukiwa na elfu...
Wakuu,
kama unajua ulitumia hivi vibatari, Punguza Sukari na mafuta.kisha Kumbuka kulala mapema. Muda umeenda sana saivi ni hekaheka tu huwezi mapambano tena ushakua mzee wa siku
Awamu hii naona vyombo vya habari kama vile magazeti redio na tv vinaandika na kutangaza habari ambazo zingepaswa kuandikwa au kutangazwa na vyombo vya habari vya serikali au Chama tawala.
Vyote vimekuwa kama vipaza sauti au wasemaji wa serikali. Hata habari na vichwa vya habari kwenye...
Wakuu, hivi nyinyi imeshawakuta yaani unampiga mtu tafu kile kidogo kabisa ulichonacho yaan ndio akiba yako hio mtu anaitaka hio hio umsaidie unaingia unavunja kibubu unampa kwa moyo mmoja kabisa sababu ya kukamilisha kutenda matendo ya Huruma.
Ila baada tu ya kumsaidia mtu huyo anaanza kukuona...
Ogopa sana mtu anayesimama na ukweli tena kwa ajili ya watu wake Mungu humpenda na Kumlinda
Tundu Lissu anapigania haki juu ya Watanzania wote,anataka tuwapate Viongozi wa kweli watakaopatikana kwa kura za wananchi ambao watalinda rasilimali zetu siyo hawa wanaopita kwa rushwa na vimemo amabo...
Watu wengi wanafikiri kwamba ili uwe mkarimu lazima uwe na pesa na mali nyingi. Na wengine wanaogopa kupokea wageni kwa sababu wanaona hawana chakula cha kutosha. Leo, nakupa habari njema: unaweza kuwalisha wageni kumi nyumbani kwako kwa slesi au kipande kimoja tu cha mkate, wakala na kushiba...
Mfumo wa GPS (Global Positioning System) ni huduma ya bure kwa watumiaji wa kawaida duniani, lakini uendeshaji na matengenezo yake si bure kabisa. Mfumo huu unamilikiwa na serikali ya Marekani kupitia jeshi lake la anga (U.S. Space Force) na unajumuisha mtandao wa satelaiti zaidi ya 30...
Kama umeishi kwenu au ulikuwa na kwenu penye familia yenu hadi ukaondoka kwenda kuanza maisha yako shukuru sana, watu wengi sana huwa mnachukulia poa kuwa na kwenu lakini ni utajiri mkubwa sana. kuishi nje ya kwenu "YATAKA MOYO" ni bahati kwenda sehemu isiyo kwenu na ukaishi vizuri.
Unakaa...
Mimi nina mambo ya kuwaambia watu lakini hawaelewi hawaeleweki yaan hata ukiwaambia dini au misimamo yao ya kisiasa au kwa kuwa wana elimu ndio atakuona poyoyo
Nikisema jamaan watu tujiandae kuna janga kubwa sana duniani linakuja nan atakuelewa si atajua watu wapo busy hakuna wa kumlaumu...
Sio mara ya kwanza hivi karibuni umeona sehemu mbalimbali kwamba Marekani kutumia B-2 Spirit Stealth Bomber kufanya mashambulizi ya “precision” dhidi ya Iran. Lakini je, tunafahamu B-2 ni nini? Inaweza kufanya nini? Ina gharama kiasi gani? Na je, kama taifa kama Tanzania, tunaweza hata...
Nilicheka sana, Samia mbele ya public alisema uchumi wa Tanzania unafanya vizuri kuliko uchumi wa Ulaya na Marekani, what a shame.
Samia unaijua Marekani? Ngoja nikupe elimu ndogo, hivi unajua Jimbo la South Carolina Lina uchumi mkubwa mala tatu ya Tanzania? South Carolina ni jimbo dogo sana...
Watu wengi wamekuwa wakisikia kuhusu soko la Forex lakini wachache sana wanaelewa kuwa Forex si soko moja tu, bali ni mtandao mkubwa wa masoko yanayoendeshwa katika sehemu mbalimbali duniani. Hebu fikiria — kila kona ya dunia, kuanzia Sydney hadi New York, watu wanabadilishana fedha saa 24 bila...
Sababu kubwa zinazofanya watu wanaoielimisha jamii kuhusu unyonyaji fulani kupewa kesi za uchochezi ni:
1. Kutishia maslahi ya wenye mamlaka.
– Mara nyingi wanaosema ukweli huibua maovu yanayohusu viongozi, taasisi au makundi yenye nguvu.
– Hii huonekana kama tishio kwa mfumo uliopo.
2...
Mojawapo wa wageni wa kwanza kabisa kualikwa nchini Zaire (DRC ya sasa) na Laurent Kabila, baada ya kumwondosha Mobutu Seseseko kama raisi, alikuwa mwalimu Julius Nyerere. Alikubali mwaliko huo. Kipindi hicho wala hakuwa Raisi wa Tanzania, alikuwa ameshang'atuka.
Sasa katika moja ya hotuba...
Naongea na wewe uliyeachana na mwenzi wako wa kwanza na kuoa au kuolewa tena. Nakujulisha kuwa huyo mke/mume uliye naye sasa sio wako mbele za Mungu — unazini.
Katika dunia ya sasa ambapo talaka na ndoa ya pili au ya tatu zinaonekana kama jambo la kawaida, ni muhimu sana kwa watu wanaotamani...
Wewe kama raia una wajibu wa kuhakikisha unadumisha uhuru,amani na umoja katika nafasi mbalimbali ili kuimarisha huduma za kijamii na kiuchumi.
Kama raia unatakiwa kudumisha uhuru,amani,umoja na kulinda rasilimali za nchi
Ikiwa raia hatalinda hatotekeleza wajibu huo basi anaweza kushtakiwa...
Tofauti ni mbinu tu, si muujiza!
Wakulima wengi wa mpunga hapa Tanzania huvuna gunia chache sana kwa ekari – na kwa bahati mbaya, wengi huamini kuwa hilo ni jambo la kawaida. Lakini je, unajua kuna wakulima wanaovuna hadi gunia 40 kwa ekari moja?
Ndiyo! Wakati wewe unavuna gunia 5 au 7, mkulima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.