unajua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania 🌾 Je, unajua unaweza kuvuna gunia 40 za mpunga kwa ekari moja mpunga?

    Tofauti ni mbinu tu, si muujiza! Wakulima wengi wa mpunga hapa Tanzania huvuna gunia chache sana kwa ekari – na kwa bahati mbaya, wengi huamini kuwa hilo ni jambo la kawaida. Lakini je, unajua kuna wakulima wanaovuna hadi gunia 40 kwa ekari moja? Ndiyo! Wakati wewe unavuna gunia 5 au 7, mkulima...
  2. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Unajua kauli moja inaweza kubadilisha joto la kisiasa nchini?

    Hata kama siyo wote , lakini wengi wataweza kuelewa wakiona mtuhumiwa ameamua kubadilika toka moyoni! Fikiri, kwa mfano, alkijitokeza na kusema, "Ndugu Watanzania wenzangu, naomba mnisamehe! Nimetambua makosa yangu, na ninayajutia sana. Mnisamehe, na mnipe muda nirekebishe nilikoharibu" Kwani...
  3. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Unajua watu fulani wako hatarini kupigwa marufuku kukanyaga Marekani?

    Unaweza ukasema, "kwani Marekani ni Mbinguni?" Lakini ukweli ni kwamba wakubwa wengi wanapenda kwenda huko ama kwa ziara rasmi au kwa ajili ya kutumbua hela! Hata mimi kuna siku nitafika USA! Taarifa iliyopo ni kuwa Marekani inalifuatilia sakata la wanaharakati kutoka nchi jirani kudhalilishwa...
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wapo humu heti wanatutisha "Tundu Lissu hatoki" unajua nimeshangaa sana na wana uwezo mdogo sana wa ufahamu

    Kuna watu wapo humu heti wanatutisha "tundu lissu hatoki" mnatoa tu maneno yenu bure unajua nimeshangaa sana na wanauwezo mdogo sana wa ufahamu inasikitisha. Nimesikitishwa kwa hilo kwasababu yoyote anayeshabikia mtu asiye na hatia na kumsingizia mambo ya uongo huku yeye ndio mbaya muuwaji...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na mwislamu ni kamsalimia 'Amani iwe nawe' ni kashangaa kakasirika. Ni kamwambia unajua maana As-salamu alaykum

    Ndo yale yale ukimtukana mtu kwa kingereza hawezi kukupiga ila mtukane kwa kiswahili. Watu wengi ndugu zangu waislamu kwa kwani lugha mnayotumia kwenye dini ikiwa kwa kiswahili mnaona kama dini ijakamilika au ?. Kwa Kiswahili, As-salamu alaykum tafsiri yake ni: “Amani iwe juu yako” au “Amani...
  6. Setfree

    JamiiForums Tanzania Je, unajua? Shetani anaweza kukupa mapesa, lakini...

    Kuna watu wanakiri kwamba wamepata utajiri baada ya kupewa "dawa" na waganga wa kienyeji au wachawi. Kulingana na Maandiko, inawezekana shetani akakupa mali lakini lazima ukubali kumsujudia. Katika Luka 4:5–7 imeandikwa: "Akampandisha juu, akamwonesha milki zote za ulimwengu kwa dakika moja...
  7. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Unajua kwanini wanawake wanapenda wanaume wachaMungu?

    Wanawake wanapenda wanaume wachamungu na wafia dini ili akikunyima unyumba usiweze kuchepuka maana ni dhambi Mwanaume mwenzangu ulieoa stuka! Shauri yako
  8. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Askofu Ruwaichi: Unajua kuwa NSSF, DCI, DPP na PCCB wanatumia Msimbazi Center kama "Kidnapping Center" ya wadeni wa NSSF tangu jana?

    Askofu Jude Thadeus Ruwaichi, JImbo Kuu la Dar es Salaam kilipo Kituo cha Msimbazi Nchini Tanzania, utekaji haramu ni kosa la jinai chini ya kifungu cha 253 cha Sheria ya Makosa ya Jinai, Sura ya 16, Toleo la 2022. Kifungu hiki kinasema kwamba: “Mtu yeyote ambaye anamteka mtu mwingine kinyume...
  9. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Unalalamikiaje uwepo wa viporo vya Simba wakati unajua ukweli huu?

    Ndugu zangu, wakati mwingine tuache kulalamika kwa vitu ambavyo vipo wazi kabisa. Mashabiki wa Yanga wanalalamikia TFF na Bodi ya Ligi kwa kuwapa Simba viporo vingi, wakilinganisha na viporo ambavyo Yanga ilikuwa navyo msimu wa 2022-23. Kuna mambo kadhaa ambao wanajisahaulisha, mojawapo ni...
  10. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Hivi unajua tofali la kuchoma ni imara na bora kuliko tofali hizi za block za cement?

    Tofali za kuchoma ni imara zaidi kuliko tofali za block za saruji. Zina nguvu na uimara mzuri, na zinaweza kuhimili uzito mkubwa, hivyo zinatumika sana katika ujenzi wa kuta za kubeba uzito. Sababu za Uimara wa Tofali za Kuchoma - Nguvu ya Compression: Tofali la kuchoma lina compressive...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Unajua kwanini serikali zilizoko madarakani huwa hazikubali kuachia madaraka kiurahisi?

    Serikali zilizoko madarakani huwa hazikubali kuachia madaraka kiurahisi, kwa sababu nyingi sana, mojawapo ni kulinda yale mabaya waliyoyafanya wakiwa madarakani kama kuteka watu, kujeruhi, kuua, ufisadi, kuficha mali nje ya nchi na mengineyo mengi. Sasa wanajua chama kitakachoingia madarakani...
  12. I

    JamiiForums Tanzania JE, UNAJUA UNAWEZA KUONDOA TAARIFA ZAKO BINAFSI KWENYE GOOGLE NDANI YA DAKIKA 1 TU?

    🔒 JE, UNAJUA UNAWEZA KUONDOA TAARIFA ZAKO BINAFSI KWENYE GOOGLE NDANI YA DAKIKA 1 TU? Watu wengi hawajui kuwa Google inatoa njia ya kujilinda dhidi ya watu wanaotafuta jina lako, namba yako ya simu, email au anwani ya nyumbani mtandaoni. Kwa ulimwengu wa sasa ambapo taarifa zako zinaweza...
  13. Under-cover

    JamiiForums Tanzania Unajua kwanini nacheka hii ni maajabu 🤣🤣

    hi inapendeza kwa CCM kwasababu ndio watajua sasa kuwa wananchi wamewachoka kazi kukamata watu wasio na hatia kisa wanawazidi hoja sasa unamkamata tundulisu kafanya nin mnamkamata heche kafanyanin sikuzote hoja inajibiwa na hoja ila wao CCM badala ya kubishana na hoja eti wanabishana na mtoa...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Unajua madini yana tawaliwa na majoka. Ukweli huu hapa

    Picha hii ilipigwa mwaka 1959 na rubani wa helikopta kutoka Ubelgiji, Kanali Remy Van Lierde, wakati akiwa doria juu ya eneo la Congo. Nyoka aliyemuona alikuwa na urefu wa takriban futi 50 (sawa na mita 15), rangi yake ilikuwa kijani au kahawia iliyokolea na tumbo jeupe. Alikuwa na taya lenye...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ni ishara gani ukiziona kwa mwenza wako unajua leo napewa tunda au sipewi?

    Habari wadau wa JF? Niende moja kwa moja kwenye mada. Maisha ya mahusiano yamejaa visa na burudani za vya kufurahisha na kustaajabisha. Kuna wakati wapendanao hufurahiana sana ila kuna nyakati za kuumizana na kukasirikiana. Mambo haya kwa namna moja ama nyingine huathiri maisha ya kingono...
  16. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania Sipendi kuambiwa "Oya Vepe?" Ni ujumbe gani ukiuona tu, unajua unaye-chat naye hana akili?

    for educational purposes and enjoyment ... Heb tutiririke jumbe ambazo kwako wewe huwa ni za kifala as per your perceptions. Tukiziona tujirekebishe ili tusionekane mazutwa kwa watu. Mimi mtu akinisalimia tu "VEPE .. " basi kanikosa ... Simjib text Hadi kesho . Akirudia Tena bas naachana nae.
  17. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Fun Fact: Unajua kuwa firigisi ni meno ya ndege?

    Ndege hawana meno ya kusagia chakula kama binadamu. Hivyo tumboni mwao wanafirigisi inayofanya kazi kama meno. Firigisi ina misuli yenye nguvu ambayo ikijikunjakunja, pamoja na mawe yaliyomo ndani yake, mawe yale husaga chakula kama vile mbegu ngumu. Kwa watu wa machimbo, firigisi ni kama...
  18. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kila mtu ana upekee kwenye alama zake za vidole

    Alama za vidole ni za kipekee sana kutokana na mchanganyiko wa sababu za kijenetiki na matukio ya nasibu wakati ukikua kama kijusi tumboni kwa mama yako na hivyo kusababisha kutofautiana kwa mifumo ya matuta na mistari kwenye ncha za vidole. Tofauti hizi, ikiwa ni pamoja na umbo, saizi...
  19. Setfree

    JamiiForums Tanzania Je, unajua? Ubatizo wa maji mengi ni ishara ya mtu kufa na kufufuka na Yesu Kristo

    Ubatizo wa maji mengi ni ishara yenye maana sana kiroho. Mtu anapozamishwa ndani ya maji mengi, wakati wa kubatizwa, anaonyesha kuwa utu wake wa kale uliojaa dhambi, umekufa na kuzikwa pamoja na Kristo. Na anapotoka majini, ni ishara ya kufufuka pamoja na Yesu na kuanza maisha mapya ya...
  20. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Je, unajua kwa nini maziwa ya Jersey ni ghali sana? 🐄✨

    Ng’ombe wa Jersey wana uwezo wa kutoa kati ya lita 15 hadi 25 za maziwa kwa siku 🥛, kutegemea na lishe, mazingira, na huduma bora ya mifugo. Ingawa si wengi hutoa lita nyingi kama Friesian (ambao wanaweza kufikia lita 30–40 kwa siku), maziwa ya Jersey yana ubora mkubwa kwa mafuta – jambo...
Back
Top Bottom