Kila mtu ana upekee kwenye alama zake za vidole

Kila mtu ana upekee kwenye alama zake za vidole

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,011
Reaction score
61,261
Alama za vidole ni za kipekee sana kutokana na mchanganyiko wa sababu za kijenetiki na matukio ya nasibu wakati ukikua kama kijusi tumboni kwa mama yako na hivyo kusababisha kutofautiana kwa mifumo ya matuta na mistari kwenye ncha za vidole.

Tofauti hizi, ikiwa ni pamoja na umbo, saizi, nambari na mpangilio wa matuta ama tuiite mistari mistari huhakikisha kwamba hakuna watu wawili hata kama ni mapacha wanaofanana, walio na alama ya vidole sawa.na hizi alama hubakia vilevile unapozaliwa hata unapokufa hazibadiliki.

Kama alama ya vidole ambaO hakuna mwingine duniani mnafanana ulimi pia una umbo lake, umbile lake, na matuta madogo na matuta yaliyotawanyika katika muundo ambao ni wa kipekee kwako tu.


how-fingerprints-get-t.jpg


images (8).jpeg
 
Back
Top Bottom