Washkaji zangu, embu tuache utani kwenye maisha yetu. Umewahi kucheki tyre ya gari yako ukakuta imetokeza "nundu" au uvimbe fulani hivi pembeni? Wengi tunasema "ah, bado inatembea," lakini ukweli ni kwamba hilo ni BOMU na unatembea nalo!
Sasa, kwanini tyre inavimba hivi? (Hizi ndio sababu)...