unajua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mawematatu

    JamiiForums Tanzania Unajua alipo huyu Sylvia Bahame?

    Nampenda sana Bahame. Nime mfollow sana maeneo mengi. Ana mwanae nahisi ama anasoma Kusini au wanaishi wote somewhere in the South. Dunia ina balance pale kila mmoja akabalansisha mambo...langu mie I love you Sylvia Bahame.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Unajua kwanini katika mikutano ya Rais Samia na viongozi wa dini na machinga hakuna aliyemweleza kuhusu kupanda kwa bei za vyakula?

    Upon mfumumuko mkubwa wa za bidhaa nchini, maeneo yaliyoathirika Zaidi ni nishati na chakula. Kupanda kwa bei hizi kulipaswa kuwa agenda za kujadiliwa kabla ya kujadili siasa. Mtu mwenye njaa ni mwepesi kurubuniwa akawa mwovu lakini aliyeshiba siku zote ukumbuka mkono uliomlisha na kuulinda...
  3. GHIBUU

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar hatuutaki Muungano na Tanganyika

    Kwa Wazanzibar walio wengi leo hii ni kuona kwamba Zanzibar kama Nchi inajitawala wenyewe huku ikiongoza tawala zake kama vile historia ya kweli unavyotufahamisha, jinsi ya utawala halali wa kIzanzibar kabla ya kuja mapinduzi ambayo yamepelekea athari kubwa miongoni mwa Jamii ya Wazanzibar hadi...
  4. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Unajua sababu gani Zanzibar ufaulu Sekondari uko chini sana?

    Tulimsikia Rais Samia akitoa mfano wa Zanzibar wa kuruhusu wasichana wanaopata mimba kurudi kuendelea na elimu ya sekondari kwenye shule za umma. Lakini ambacho hakutaka kusema ni ufaulu hafifu wa muda mrefu wa Zanzibar kwenye mitihani ya kufuzu elimu ya sekondari. Ilifikia hatua hadi kudai...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je, unajua habari za Kionga, ambayo ingekuwa sehemu ya Tanzania?

    Pembetatu ya Kionga ilikuwa eneo dogo la kilomita za mraba 395 kusini mwa Mto Rovuma kwenye Bahari ya Hindi, ambayo ilienea kaskazini mwa Rasi Delgado . Ndani ya eneo hilo kuna mji wa Kionga (Kireno "Quionga"), ambao mwaka wa 1910 ulikuwa na karibu wakazi 4,000. Eneo hili lilikuwa sehemu ya...
  6. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Mabaharia mwenzangu, Hivi unajua "UMALAYA" ni gharama Sana?

    Eeh bwana eeh it's me Mr. Liverpool again. Mwenzenu nimekaa nikawazaa na kuwazua, nikaona dah "BAGOSHAAAA wanaume TUNANYONYWA SANAA" Iko hivi..... Mr. Liverpool ni mkulima wa Parachichi na miti ya mbao. Sasa bana, leo nimekaa nikawa napanga bajeti ya kuingia Shamba. Maana huwa naingia...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika mjadala wa Usonji kwenye Clubhouse ya JamiiForums. Fahamu kwa kina maana, dalili zake na namna ya kukabiliana na tatizo hili

    Ungana nasi leo 29, Octoba 2021, Saa 12 Jioni usikilize na kuchangia kwenye mjadala unaohusu Usonji/ kupitia Clubhouse ya Jamii Forims. Kama una maswali, maoni au mapendekezo kuhusu Usonji unaweza kuyaweka hapa kwenye jukwaa na yatawasilishwa au unaweza kuja kuuliza mojamoja kwenye mjadala na...
  8. Superbug

    JamiiForums Tanzania Je unajua dola inavyosafirishwa? Mfano unaposikia benki ya dunia wametoa msaada dola bilioni kadhaa kwa nchi husika unajua zinafikaje?

    Jibu ni rahisi zinatoka New York au Washington kwa ndege mpaka kwa nchi lengwa. Ila pia ujue kutoka airport mpaka benki kuu haiwezi kabisa kutekwa maana Kuna makomandoo maalumu kwa kila nchi wanaotumiwa kusafirisha pesa. Ya kasusura ni inside job usilete ule upuuzi kwenye huu Uzi.
  9. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Unajua Freeman Mbowe sio mtu wa Kawaida?

    Freeman Mbowe sio mtu wa Kawaida, amini nakuambia. Huyu mwamba amezaliwa kwenye familia ya kitajiri, Baba yake alikua ni tahiti na alimwezesha Mwlm Nyerere kifedha kwenda NY Marekani kudai uhuru. Hakukulia kwenye Manisha ya shida, Amezaliwa ama amekulia katikati ya jiji la Dar es salaam, Sea...
  10. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Hivi unajua ni kiasi gani bosi wa ofisi anayofanyia mkeo anavyomla mkeo?

    Wajumbe mpoo.... Is Mr. Liverpool onces again na ileile kauli mbiu yake MSIOE MSIOE MSIOE ...!!! Twende kwenye mada; 1. 2007 Nilianza kufanya Kazi za ajira 2007 baada tu ya kumaliza form four niliajiriwa kama karani ofisi fulani Dar. Wakati huo nikiwa mdogo (18Yrs) nilikutana na wakubwaa...
  11. LellozWho

    JamiiForums Tanzania Si unajua ni rahisi kumtawala masikini

    Wengi tunadhani maskini ni mtu pekee aliyekosa mahitaji muhim. Lakini ukweli ni zaidi ya hapo. Unajua hizi pia ni sifa za masikini? 1/kushindwa “kufikiria” uzalishaji mali. 2/uvivu 3/kuridhika na ulichonacho 4/kushindwa kua tofauti na wengine. 5/kushindwa kuishi mbali na mazingira hatarishi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya "Unanijua mimi ni nani?" imerudi

    Siipendi hii kauli narudia tena siipendi hii kauli Ni wazi sasa usemi huu umerudi kwa kasi ya ajabu. Unanijiua mimi ni nani ni kauli ilio ilio jizolea umaarufu sana kwenye tawala nyingi sana lakini si awamu ya tano (JPM alihakikisha mwenye cheo hamnyanyasi mwenye hana cheo) Kauli hii imekua...
Back
Top Bottom